Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,111
Likes
588
Points
280
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,111 588 280
Obviously naongelea binadamu wa zamani. Ndio kuna vitu havieleweki lakini uwezekano wakutengenezwa na binadamu ni mkubwa zaidi kuliko na viumbe wengine.
Anyways only time will tell.
UFO's zimekuwa zkionekana zikiwa zinaendeshwa na binadamu ambao wanaoekana kuwa wana Teknoloji ya juu mno kutuzidi sisi. Kwa hiyo kwa kipindi hiki, vitu ambavyo vinaonekana kuwa havikutengenezwa na binadamu wa kawida kama sisi, the chances ni kwamba vimetengenezwa na binadamu hao au vimetengenezwa na binadamu wengine ambao waliwahi kuishi hapa duniani kabla ya kizazi chetu hiki, ambao walikuwa ma-giants na pia walikuwa na teknoloji ya juu kuliko ambayo tuliyonayo sisi hadi kufikia sasa!ana
 
wachanganya

wachanganya

Member
Joined
Aug 22, 2017
Messages
54
Likes
52
Points
25
wachanganya

wachanganya

Member
Joined Aug 22, 2017
54 52 25
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja (100,000,000,000) katika Universe na bado nyingine zinaendelea kugunduliwa kadri teonolojia inavyozidi kuongezeka.
View attachment 1011198
View attachment 1011199

Pia wanasayansi kwa kutumia Teleacope na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wamegundua kuwa kuna sayari nyingi nnje ya Solar system yetu zina vyanzo vya maji sema zipo mbali sana linapokuja swala la kuzifikia ndio inakuwa nibshida kulingana na Teknolojia ya sasa.
View attachment 1011200

Je katika Universe nzima ambayo hadi sasa zimeonekana sayari zaidi ya Billioni 100, yawezekana viumbe hai tupo peke yetu tu hapa Duniani au kuna sehem nyingine huko anga za mbali kuna wenzetu wanaishi kama sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
wapo tena wengi na wananguvu na akili kuliko sisi biblia neno La mungu linasema hivi Kuna vitu vinavyo onekana na vinavyo onekana vyote vimeumbwa na yehova mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
48
Likes
122
Points
40
Wordsworth

Wordsworth

Member
Joined Jan 14, 2019
48 122 40
UFO's zimekuwa zkionekana zikiwa zinaendeshwa na binadamu ambao wanaoekana kuwa wana Teknoloji ya juu mno kutuzidi sisi. Kwa hiyo kwa kipindi hiki, vitu ambavyo vinaonekana kuwa havikutengenezwa na binadamu wa kawida kama sisi, the chances ni kwamba vimetengenezwa na binadamu hao au vimetengenezwa na binadamu wengine ambao waliwahi kuishi hapa duniani kabla ya kizazi chetu hiki, ambao walikuwa ma-giants na pia walikuwa na teknoloji ya juu kuliko ambayo tuliyonayo sisi hadi kufikia sasa!ana
Lol. Scientifically uwezekano wa unacho kisema ni mdogo sana (ni kama haupo). Sio rahisi kama unavyodhania kwa life kuevolve mpaka ikafikia hatua hii ya intelligence, let alone kuwe kuna intelligent life before humans.
Kuhusu hizo UFOs ambazo una claim sawa kuna watu wamesema wameziona na huezi kumbishia mtu. Lakini hii kitu ime remain definitively unsolved. Hivyo basi mpaka sasa hatuna kielelezo chochote tunachoweza kusema kwamba we have been in contact with extraterrestrial intelligent life.
 
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
5,646
Likes
3,550
Points
280
Age
33
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
5,646 3,550 280
Hawa ndugu zetu wanao tumia ungo wanaweza kuzifikia kama wanaweza kwenda Marekani kwa sekunde na wakarudi Tanzania siku hiyo hiyo..Panaitajika utashi wa kisiasa kuwatumia hawa watu waende kwenye sayari za mbali labda kuna viumbe hai au madini
Mungu hajajificha fahamu Mungu si kiumbe hawezi kuonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,111
Likes
588
Points
280
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,111 588 280
Lol. Scientifically uwezekano wa unacho kisema ni mdogo sana (ni kama haupo). Sio rahisi kama unavyodhania kwa life kuevolve mpaka ikafikia hatua hii ya intelligence, let alone kuwe kuna intelligent life before humans.
Kuhusu hizo UFOs ambazo una claim sawa kuna watu wamesema wameziona na huezi kumbishia mtu. Lakini hii kitu ime remain definitively unsolved. Hivyo basi mpaka sasa hatuna kielelezo chochote tunachoweza kusema kwamba we have been in contact with extraterrestrial intelligent life.
You believe in the theory of evolution siyo? Facts zilizopo wewe zinakuonyesha nini sasa hivi? Anyway ukipata muda, sikiliza hii documentary hapa chini, especially katika sehemu ambayo inaongelea ki-piramidi kidogo cha pembeni ambaco mtafiti alirudi baada ya siku kadhaa na kukuta kimefanyiwa marekebisho na haijulikana ni kiumbe wa aina gani alifanya marekebisho hayo!

nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
13,445
Likes
10,732
Points
280
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
13,445 10,732 280
Mkuu usiseme sayari nyingi siyo supportive kwa maisha.Usichukulie kuwa viumbe wote wawe kama viumbe wa sayari hii walivyo.Wanaweza kuwa na hali kulingana na hali ya mazingira ya sayari za huko. Biblia inaunga mkono hicho kitu.
Matayo 18:12-13 Neno: Bibilia Takatifu
12 “Mnaonaje? Kama mtu ana kondoo mia moja na mmoja wao akapotea, hatawaacha wale tisini na tisa mlimani aende kumtafuta yule aliyepotea? 13 Na akisha mpata, nawaambia kweli, anafurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko kwa wale tisini na tisa ambao hawakupotea.

Luka 15:8-10 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Shilingi Iliyopotea
8 “Au tuseme mwanamke ana shilingi kumi halafu apoteze moja. Si atawasha taa afagie nyumba na kutafuta kwa uangalifu mpaka aipate? 9 Na akisha kuipata atawaita marafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile shilingi yangu iliyopotea!
Kutoka kwenye hiyo mistari inaweza kuwa ni taarifa kuwa sayari yetu iliyoingia dhambini ni asilimia moja katika ya sayari zenye binadamu lakini Mungu /Yesu akaacha zile zingine akaja kutafuta /kukomboa moja iliyopotea.
ulipochanganya propaganda za biblia zimefanya andiko lako lote liwe irrelevant
 
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Messages
7,738
Likes
5,810
Points
280
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2011
7,738 5,810 280
Viumbe lazima vipo.Huenda vimeshakuja hata kututembelea na kuondoka.

Mwaka 1967 wansayansi marekani waligundua radio signals kutoka angani kwa kutumua telescope.Ila waliogopa kurudisha signals kwa kuogopa kukaribisha viumbe ambavyo vingekuja kutumaliza.Kuna usiri mkubwa kuhusu aliens
 
Damaso

Damaso

Senior Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
128
Likes
72
Points
45
Damaso

Damaso

Senior Member
Joined Jul 18, 2018
128 72 45
Viumbe lazima vipo.Huenda vimeshakuja hata kututembelea na kuondoka.

Mwaka 1967 wansayansi marekani waligundua radio signals kutoka angani kwa kutumua telescope.Ila waliogopa kurudisha signals kwa kuogopa kukaribisha viumbe ambavyo vingekuja kutumaliza.Kuna usiri mkubwa kuhusu aliens
Kwa msaada mtu akatafute uzi unaohusu area 51 USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
W

Wapigwe tuu

Senior Member
Joined
Jan 31, 2015
Messages
176
Likes
157
Points
60
W

Wapigwe tuu

Senior Member
Joined Jan 31, 2015
176 157 60
Kila nyota ni Jua na ina sayari zake (solar system) kuna jua nyingi sana na hivyo lazima kuwe na Jua ambalo lina planet iliyo karibu au mbali kuwez ku support maisha! Nakubali na nina amini kuna dunia nyingi sana huko mbali na sisi na wana maendeleo kama yetu au zaidi au bado wannaanza ku evolve!
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,194
Likes
2,763
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,194 2,763 280
Kila sayari ina mfumo wake wa ku support maisha ya viumbe hai. Dunia yetu inasupport life in 3D dimension (physical). Akili zetu zimefungwa na time and space ndio maana maswali kama haya tunashindwa kuyajibu kwa sababu yapo nje ya uwezo wako, ili kufahamu ukweli lazima uwe beyond the time and space

Mkuu lifecoded pitia hapa
Mkuu...Watu hawataelewa kwanini tunadelay kupata mawasiliano ya moja kwa moja na viumbe toka mbali ,..........

,Ni kwa sababu ya Time space continuum tofauti iliyopo katika anga la dunia hii na ulimwengu unaotuzunguka..

3D ndo inayotufanya tushindwe kujua what is happening outside au ndani ya ulimwengu huu kwa undani.

Leo hii tunahangaika na Treni za mwendo kasi lakini wenzetu toka sayari za mbali wapo kwenye HYPERLOOP technology ambayo treni zinakimbia kwa kutumia magnetic forces za LAVITATION halafu tunadanganywa kuwa ELON MUSK ndo anayebuni sijui kupata cretivity wakati anajaribu ku unlock hidden reality katika higher technology ya sayari za mbali huko tena wao washapita...

Telescope tulizonazo zina uwezo wa kuview distant objects katika 3D na kidogo 4D ambayo tunaita Euclidean 4D space ambayo inatumia continum moja ya time
tu..

Kwa hiyo 4D ni time wakati 1D ni height ,2D ni length kama sijazichanganya na 3D ndi hizo tatu zinazo involve Heinght ,length na Width ( x,y,z planes).

Lakini hiyo 4D tu yenyewe imetushinda kuielewa vizuri make bado kuna utata sana katika kupata exactly value ya vitu katika movement ya 4D ..

Ukisoma Superstring Theory,ambayo inaiongelea vizuri the fifth and sixth dimensions ,inasema kuwa this is where the notion of possible worlds arises,na kuna uwezekano kuwa kuna 5D na 6D .

If we could see on through to the fifth dimension, nathani tungekuwa na uwezo wa kuona vitu katika dimension kubwa sana kwa mfumo tofauti tofauti...

we would see a world slightly different from our own that would give us a means of measuring the similarity and differences between our world and other possible ones.

Wakati movement katika sayari za mbali inakadiliwa kuwa katika 10D ( ten dimension)..so katika dimension hii tunaweza kuona kila kitu wala hakuna uhitaji wa kuwa na CCTV camera kabisa....unaweza view hata vitu vilivyopo juu ya kichwa chako au kichogo chako ....

We arrive at the point in which everything possible and imaginable is covered. Beyond this, nothing can be imagined by us lowly mortals, which makes it the natural limitation of what we can conceive in terms of dimensions.

Ila ukisoma a grand unifying theory a.k.a the Theory of Everything (TOE) there is the belief that ,the universe is made up of ten dimensions na hapa kila kitu kipo wazi huhitaji kitu kingine kuona hata virusi..your eyes can view hata utumbo wa virusi kama upo...ila sasa kufikia huko ni ngumu ndo mana wakati mwingine tunashindwa kuwaona wale viumbe sadikika kama sio kuzungumzika katika lowest dimension form (3D).

Ila wao wanatuwachi mpaka ndani ya ubongo wetu ndo mana kila wazo unaloliwaza tayari linafanyiwa reverse kama ni baya zidi yao...they might be real watching us...

Utofauti huo wa 3D na Dimension zingine ndo unaotufanya tuseme kuwa kuna parallel universe kabisa katika maisha haya...

Means ya parallel universe ni kwamba wewe unatazama vitu kwa mfumo flani ila mwenzako anautazama zaidi ya wewe hence kufanya mpishane ha hamtaweza kuonana wala kugusana na parallel universe meansi mnaishi kwa kuview na kuishi katika mfumo tofauti ambao hamuwezi ingiliana ..

That's is parallel life form ...yani yeye anaweza akapita hata katikati ya mwili wako bila wewe kuhisi contact yoyote au akaweza kupanua hii space hii ili apate njia ya kupita.......

The dimension difference existing ndo inayotufanya tuwe tofauti na tushindwe kuonana ...mpaka wao wajiweke wazi kwetu..kumbuka wapo katika The last 10D ambayo hii 3D yetu ipo ndani so they can manipulate the dimension view yoyote wanayotaka wao...wanaweza kuja duniani wakaamua kuonekana au wasionekane kwa sababu wanao uwezo huo wa kuviolet time space continuum yetu...

Ndo mana mimi huwa nanyamaza ninapowaona watu wakibishi( sha) na kusema kuwa hakuna Viumbe toka sayari za mbali( Aliens) with other names you can call ..

==========

Watu wanasema kama kweli wapo kwanini hawajawahi kujiweka wazi tuwaone kwa macho yetu...macho yetu...?? real....?? yani viumbe wapo 10D humo wewe 3D na macho yako hayo yenye kuview vitu kwa megapixel 756 wakati wao macho yao yanabiew katika Gigapixeal kabisa....daaah...

wanakomaa kweli eti kama kweli wangekuwepo kwanini wasijioneshe kwetu...??

Jibu ni kwamba wao wapo katika 10D na sisi tupo kwenye 3D ambapo bado tunahangaika kuimaster hata hiyo 4D ambayo ni muda( Time ) ili tusynchronize na space ili tupate kitu kimoja cha spacetime ili tuweze nasi angalau kusafiri kwa speed ya light lakini tulijaribu hilo kupitika jaribio la Philadelphia EXPERIMENT na madhara makubwa yalionekana nadhani kila mmoja anaweza google walau apate ABC ya madhara ya Philadelphia experiment...ni hatari sana..narudia tena kumaster 4D ni kazi kubwa sana ,sembuse 10D huko.......!!! mmmmh...

===========

Tuendelee kuwa wapole tu...nchi za mbali huko walishakubali kabisa kuwa lazima tuwe wapole tuelekezwe namna ya kusavaivu kwenye huu ulimwengu wenye options nyingi za kuishi....la sivyo tutakiona cha moto cha kubaki kama mazezeta...

Unachokiona huko China,U.S.A ,RUSSIA na kwingineko ambapo technology inakuwa kwa kasi wemeshakubali kwa lolote ili mradi mwanadamu apate kujua hatima ya mind yake na kujua limitation zake pamoja na kuzivuka...

So kuna mengi ya kuzungumza juu ya uwepo wa mwanadamu na uhusiano na hao viumbe wakuu...Usione serikali zimenyamaza tena kwa kuufyata mdomo kabisa...there are strange stories about reality....Sent using Nokia 8 Plus
 
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
3,369
Likes
3,952
Points
280
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
3,369 3,952 280
Mkuu...Watu hawataelewa kwanini tunadelay kupata mawasiliano ya moja kwa moja na viumbe toka mbali ,..........

,Ni kwa sababu ya Time space continuum tofauti iliyopo katika anga la dunia hii na ulimwengu unaotuzunguka..

3D ndo inayotufanya tushindwe kujua what is happening outside au ndani ya ulimwengu huu kwa undani.

Leo hii tunahangaika na Treni za mwendo kasi lakini wenzetu toka sayari za mbali wapo kwenye HYPERLOOP technology ambayo treni zinakimbia kwa kutumia magnetic forces halafu tunadanganywa kuwa ELON MUSK ndo anayebun sijui kupata cretivity wakati anajaribu kunlock hidden reality katika higher technology ya sayari za mbali huko tena wao washapita...

Telescope tulizonazo zina uwezo wa kuview distant objects katika 3D na kidogo 4D ambayo tunaita Euclidean 4D space ambayo inatumia continum moja ya time
tu..

Kwa hiyo 4D ni time wakati 1D ni height ,2D ni length kama sijazichanganya na 3D ndi hizo tatu zinazo involve Heinght ,length na Width ( x,y,z planes).

Lakini hiyo 4D tu yenyewe imetushinda kuielewa vizuri make bado kuna utata sana katika kupata exactly value ya vitu katika movement ya 4D ..

Ukisoma Superstring Theory,ambayo inaiongelea vizuri the fifth and sixth dimensions ,inasema kuwa this is where the notion of possible worlds arises,na kuna uwezekano kuwa kuna 5D na 6D .

If we could see on through to the fifth dimension, nathani tungekuwa na uwezo wa kuona vitu katika dimension kubwa sana kwa mfumo tofauti tofauti...

we would see a world slightly different from our own that would give us a means of measuring the similarity and differences between our world and other possible ones.

Wakati movement katika sayari za mbali inakadiliwa kuwa katika 10D ( ten dimension)..so katika dimension hii tunaweza kuona kila kitu wala hakuna uhitaji wa kuwa na CCTV camera...unaweza view hata vitu vilivyopo juu ya kichwa chako au kichogo chako ....

we arrive at the point in which everything possible and imaginable is covered. Beyond this, nothing can be imagined by us lowly mortals, which makes it the natural limitation of what we can conceive in terms of dimensions.

Ila ukisoma a grand unifying theory a.k.a the Theory of Everything (TOE) there is the belief that ,the universe is made up of ten dimensions na hapa kila kitu kipo wazi huhitaji kitu kingine kuona hata virusi..your eyes can view hata utumbo wa virusi kama upo...ila sasa kufikia huko ni ngumu ndo mana wakati mwingine tunashindwa kuwaona wale viumbe sadikika kama sio kuzungumzika katika lowest dimension form (3D).

Ila wao wanatuwachi mpaka ndani ya ubongo wetu ndo mana kila wazo unaloliwaza tayari linafanyiwa reverse kama ni baya zidi yao...they might be real watching us...

Utofauti huo wa 3D na Dimension zingine ndo unaotufanya tuseme kuwa kuna parallel universe kabisa katika maisha haya...

Means ya parallel universe ni kwamba wewe unatazama vitu kwa mfumo flani ila mwenzako anautazama zaidi ya wewe hence kufanya mpishane ha hamtaweza kuonana wala kugusana na parallel universe meansi mnaishi kwa kuview vitu katika mfumo tofauti ambao hamuwezo ingiliana ..

That's is parallel life form ...yani yeye anaweza akapita hata katikati ya mwili wako bila wewe kuhisi contact yoyote ....the dimension difference existing ndo inayotufanye tuwe tofauti na tushindwe kuonana ...mpaka wao wajiweke wazi kwetu..kumbuka wapo katika The last 10D ambayo hii 3D yetu ipo ndani so they can manipulate the dimension view yoyote wanayotaka wao...wanaweza kuja duniani wakaamua kuonekana au wasionekane kwa sababu wanao uwezo huo wa kuviolet time space continuum yetu...

Ndo mana mimi huwa nanyamaza ninapowaona watu wakibisha na kusema kuwa hakuna Viumbe toka sayari za mbali( Aliens) with other names you can call ..

==========

Watu wanasema kama kweli wapo kwanini hawajawahi kujiweka wazi tuwaone kwa macho yetu...macho yetu...?? real....?? yani viumbe wapo 10D humo wewe 3D na macho yako hayo yenye kuview vitu kwa megapixel 756 wakati wao macho yao yanabiew katika Gigapixeal kabisa....daaah...

wanakomaa kweli eti kama kweli wangekuwepo kwanini wasijioneshe kwetu...??

Jibu ni kwamba wao wapo katika 10D na sisi tupo kwenye 3D ambapo baso tunahangaika kuimaster hata hiyo 4D ambayo ni muda( Time ) ili tusynchronize na space ili tupate kitu kimoja cha spacetime ili tuweze nasi angalau kusafiri kwa speed ya light lakini tulijaribu hilo kupitika jaribio la Philadelphia EXPERIMENT na madhara makubwa yalionekana nadhani kila mmoja anaweza google walau apate ABC ya madhara ya Philadelphia experiment...ni hatari sana..narudia tena kumaster 4D ni kazi kubwa sana ,sembuse 10D huko.......!!! mmmmh...

===========

Tuendelee kuwa wapole tu...nchi za mbali huko walishakubali kabisa kuwa lazima tuwe wapole tuelekezwe namna ya kusavaivu kwenye huu ulimwengu wenye options nyingi za kuishi....la sivyo tutakiona cha moto cha kubaki kama mazezeta...

Unachokioma huko China,U.S.A ,RUSSIA na kwingineko ambapo technology inakuwa kwa kasi wemeshakubali kwa lolote ili mradi mwanadamu apate kujua hatima ya mind yake na kujua limitation zake pamoja na kuzivuka...

So kuna mengi ya kuzungumza juu ya uwepo wa mwanadamu na uhusiano na hao viumbe wakuu...Usione serikali zimenyamaza tena kwa kuufyara mdomo kabisa...they are stranger stories about reality....Sent using Nokia 8 Plus
Dah haya mambo yanafikirisha. Mkuu na vipi kuhusu uwepo wa Mungu maana inawezekana nalo likawa ni mojawapo ya manipulation ya hao 10D creatures.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,194
Likes
2,763
Points
280
lifecoded

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,194 2,763 280
Dah haya mambo yanafikirisha. Mkuu na vipi kuhusu uwepo wa Mungu maana inawezekana nalo likawa ni mojawapo ya manipulation ya hao 10D creatures.

Sent using Jamii Forums mobile app
10D ndo kila kitu ....huyo Mungu minght be the beings above our dimensions ,make wao ndo wanaotumanipulate...sidhani kama Mungu mkuu ambaye katuumba angeruhusu viumbe toka sayari za dimension kubwa waje waharibu humanity kiasi cha kuivert hata mind kwa kutumia manipulation waitakaho wao...Tuwe wakweli...tusikalie ufia dini bila kuhoja hata mambo yanavyoenda...yani kila kitu unaambiwa kuna Mungu ila usiulize uwepo wake...daaah...yani ni Ungese wa hali ya juu sana ...

We are monitored by higher intelligent beings and not other wise...

These stories are kept secret kwa sababu maalumu...usione serikali zinamua kutolitolea ufafanuzi hili la juu ya uwepo wa hizo beings...

There is massive benefit from the differece in dimension existing...ndo mana mwanadamu anabaki kukubali kuelekezwa kila kitu...

Naomba ukasome au google youtube juu ya "Hyperloop technology" uone kidogo jinsi mambo yatakavyokuwa harafu uje hapa unambie mwanadamu atakuwa katika maisha yapi... ...mwanadamu anasoma maelezo juu ya ule mradi utakavyokuwa unaratibiwa na sio kubuni.

Tunaomba miradi mikubwa halafu tunapewa ramani na kuambiwa tutekeleze kwa msaada wa hao beings......

Au kasome kuhusu Mradi mkubwa unaojengwa Norway unaoitwa ""Norway's $47BN Costal highway ""
Utaniambia technolojia hiyo mwanadamu ataelekezwa na nani na ifuatilie kwa makini sana utaona wanachozungumza kuhusu dunia hii inavyoenda kuwa...

Sent using Nokia 8 Plus
 
msabillah

msabillah

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,564
Likes
1,233
Points
280
Age
32
msabillah

msabillah

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,564 1,233 280
Naamini kila sayari ina mfumo wake wa maisha ya tofauti na vile sisi tunavyofikiria. Inawezekana kabisa viumbe wengine wakija huku wanajua hakuna maisha yanayoendelea kabisaaa
Kweli Aise yaani tunavyoshangaa sisi kuwa kwenye jupiter hakuwezi kuwa na maisha ndivyo nao hushangaa kuwa kwenye hii dunia hakuna maisha kabisa.
Tumuache Mungu aitwe Mungu.
 
Forum statistics

Threads 1,262,453
Members 485,588
Posts 30,122,838