Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 667
- 1,467
Unaweza ukajiuliza sasa maswali mengi kwanini Jua linashindwa kuifikia sayari hii kwa wingi katika nyakati hizi tulizo nazo na nyakati zilizopita kidogo
Ni wazi ili Mars iweze kuwa habitable tena ni lazima kuwepo na joto kubwa la mithiri ya hapa duniani ili liweze kutoa msaada wa mkubwa kuwezekana kwa ule mchakato wa kubadilisha carbondiozide na kuwa oxygen , si unafahamu kuwa joto kubwa ndilo linachagiza hilo kutokea
Kama kuna carbondioxide kubwa basi inawezekana kuwa mwanzo kulikuwa na uwepo wa oxygen ambayo ni hewa inayotumiwa na viumbe kwa kiasi kikubwa kuwezesha maisha yao kuendelea
i) Umbali baina ya dunia yetu na Mars ni 371.6 Millioni kilomita na kumbuka umbali huu huweza kupungua kutegemeana na uwepo wa ukaribu wa sayari hizi mbili na kupelekea hadi kufika kilomita 62 millioni
ii) Umbali kutoka kwenye Jua hadi Mars ni kilomita 250 millioni
iii) Umbali kutoka duniani hadi kwenye Jua letu ni 150 millioni kilomita
iv) Mwanga husafiri kwa dakika 12 hadi kufika katika sayari ya Mars
Tunafahamu kuwa Mars iliharibiwa kwa kuwa ilipigwa zaidi na Miale mikali ya Jua sasa kwanini kwa sasa miale hiyo imeacha kushambulia sayari hii kwa kasi sana kama zamani na kupelekea kuwapo na hali ya ubaridi sana
Unataka kusema kuwa jua limepunguza uzalishaji wake wa Joto kwamba hapo awali lilikuwa linazalisha joto kali na kubwa zaidi kiasi kufikia katika eneo la sayari hii
Kama pameweza kupatikana Mars katika ncha za kusini na kaskazini basi huenda hata katika maeneo ya katikati mwa sayari hii yalikuwepo na yakaja kukaushwa na uwepo wa Miale mikali ya Jua
Kupata Majibu ya Mars ni kizungumkuti , ila fahamu kuwa katika miaka kichache ijayo Mars itakwenda kuwa eneo la pili kufikiwa na mwanadamu baada ya Mwezi nje ya duniani yetu
Moudyswema
Tanzaniascienceyetu
AstronomyKiswahili