Je, tupo peke yetu ulimwengu mzima?

mjizu123

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
349
368
JE, TUPO PEKE YETU ULIMWENGU MZIMA?

Kutafuta maisha zidi ya sayari zingine tofauti na dunia

Wanasayansi wameweza gundua galaksi nyingi, na zingine zikiribia kufanana kwa asilimia kubwa na galaksi yetu
Kuna ma elfu ya sayari nje ya solar system. Pia kuna zaidi ya galaksi trilioni.

Lakini hakuna bado ushaidi kama kuna maisha sehemu nyingine tofauti na dunia(viumbe kuishi)

MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU

1. Je, tupo peke yetu,ulimwengu mzima?

2. Katika sayari trilioni zote. Je, duniani tupo wenyewe,na dunia ndiyo tunaweza pafanya nyumbani

3. Je, maisha kutoka kwenye solar system uwafikia majirani zetu walioko nje ya mfumo wetu?
 
mjizu123 hili ni fumbo rafiki ,
images (97).jpeg

Voyager1 and voyager2 are only man made spacecraft ambazo we can atleast say zmejtahd kufikia the edge of solar system.
The idea is very controversial but infinity possibility that we are not alone is never an option.
 
sayari zote zina maisha na viumbe vinavyoishi humo na kuingiliana. kuna watu ambao inasemekana walikufa hapa duniani. wapo kwenye sayari ya Neptune, ina Sound ni ukichaa lakini ukipata bahati ya kujua ama kushuhudia hichi nilichoandika wewe ni mmoja wa waliochaguliwa..ama maliza mission yako kwanza utaelewa huko mbele, ama ukijua kabla ya kuzaliwa ulikuwa nani? basi utakuwa karibu sana na swali ulilouliza apo awali. kifupi tu, android, naposema Android simaanish OS ya Android namaanisha Android kiumbe kina exist.
 
JF raha sana
 
JE, TUPO PEKE YETU ULIMWENGU MZIMA?

Kutafuta maisha zidi ya sayari zingine tofauti na dunia

Wanasayansi wameweza gundua galaksi nyingi, na zingine zikiribia kufanana kwa asilimia kubwa na galaksi yetu
Kuna ma elfu ya sayari nje ya solar system. Pia kuna zaidi ya galaksi trilioni.

Lakini hakuna bado ushaidi kama kuna maisha sehemu nyingine tofauti na dunia(viumbe kuishi)

MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU

1. Je, tupo peke yetu,ulimwengu mzima?

2. Katika sayari trilioni zote. Je, duniani tupo wenyewe,na dunia ndiyo tunaweza pafanya nyumbani

3. Je, maisha kutoka kwenye solar system uwafikia majirani zetu walioko nje ya mfumo wetu?
Kuna mahali nilisoma kidogo kuhusu universe (ulimwengu). Kwamba the universe is made up of millions of galaxies, and is constantly expanding. Solar system yetu (mfumo wa hii nyota tunayoiita jua) iko katika galaxy inaitwa 'the milkway'. Katika hii galaxy na nyinginezo Kuna billions of nyota, na billions among them zina mifumo yao kama solar system yetu. Kwa hiyo kuna mabilioni ya 'majua' yenye idadi tofauti ya sayari. Miongoni mwa sayari hizi, kuna uwezekano mkubwa kuwepo zenya mazingira ambayo maisha yanawezekana- maana yake hali ya hewa, maji, udongo nk, kma hapa duniani.
Sasa ni vigumu sana Kwa ujuzi aliona binadamu kuweza kuzitambua na kuzifikia hizo sayari. Kwamba Kwa mfano kutoka duniani utoke nje ya mfumo wa dunia, upite utoke nje ya solar system yetu, u-cross system nyingine kwenye galaxy yetu, hadi kufika galaxy nyingine, Kwa kutumia chombo chenye spidi ya mwanga itakuchukua mamiloni ya miaka. Kwa hiyo mission hiyo ni impossible (at least for the time being), hata Kwa kigezo cha life span tuu ya binadamu ambayo ni hardly 100 years.
Kwa hiyo, katika universe Kuna uwezekano wa kuwepo viumbe wengine kama sisi, lakini sisi kujaribu kufika hizo ng'ambo ni ndoto. Labda hawa viumbe wawe smart kuliko sisi, weje watutembelee duniani. 🤣🤣🤣
 
sayari zote zina maisha na viumbe vinavyoishi humo na kuingiliana. kuna watu ambao inasemekana walikufa hapa duniani. wapo kwenye sayari ya Neptune, ina Sound ni ukichaa lakini ukipata bahati ya kujua ama kushuhudia hichi nilichoandika wewe ni mmoja wa waliochaguliwa..ama maliza mission yako kwanza utaelewa huko mbele, ama ukijua kabla ya kuzaliwa ulikuwa nani? basi utakuwa karibu sana na swali ulilouliza apo awali. kifupi tu, android, naposema Android simaanish OS ya Android namaanisha Android kiumbe kina exist.
Wewe unajua maisha yako kabla ya kuzaliwa na baada ya kufa??

Hizi story huwa siziamini coz nyie mashuhuda kuna vitu mnaficha.
 
JE, TUPO PEKE YETU ULIMWENGU MZIMA?

Kutafuta maisha zidi ya sayari zingine tofauti na dunia

Wanasayansi wameweza gundua galaksi nyingi, na zingine zikiribia kufanana kwa asilimia kubwa na galaksi yetu
Kuna ma elfu ya sayari nje ya solar system. Pia kuna zaidi ya galaksi trilioni.

Lakini hakuna bado ushaidi kama kuna maisha sehemu nyingine tofauti na dunia(viumbe kuishi)

MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU

1. Je, tupo peke yetu,ulimwengu mzima?

2. Katika sayari trilioni zote. Je, duniani tupo wenyewe,na dunia ndiyo tunaweza pafanya nyumbani

3. Je, maisha kutoka kwenye solar system uwafikia majirani zetu walioko nje ya mfumo wetu?
Commander Hatonn; Commander Ashtar.
 
Nadhani kwenye hizo galaxies zingine bila shaka wapo viumbe hai wanaoonekana kama sisi binadamu wanaishi huko. Hii inatokana na nadharia kwamba, galaxy yoyote yenye solar system, patatokea sayari moja ambayo itakuwa supportive kwa viumbe hai (kama binadamu), kwa maana kutakuwa na hewa ya kupumua, maji, ardhi nk. Mambo haya yatawezekana kwakuwa kuna nguvu ya jua kwenye solar system hiyo. Tumekuwa tukisikia kuna viumbe wenye uwezo mkubwa sana wa akili, wanaitwa aliens, hawa wanatokea galaxy ipi?
 
Back
Top Bottom