Kuna sababu gani mimi kuoa?

Kama maziwa yanapatikana mitaani na nyama mabuchani, kuna haja gani ya kufuga ng'ombe???
Hakuna haja hapo..Cha msingi ni kununua nyama na kuila utakavyo huku ukishushia na maziwa fresh. Kufuga ng'ombe kupotezeana mda tu
 
wewe ni dini gani????
 
Huo ni uoga wako tu. Mbona ajali barabarani ziko kibao ila watu bado wanasafiri na wengi hufika salama huko waendako! Ndoa ni kama safari. Jua dhumuni lako la kuoa... Usifanye kuiga au kushinikizwa. Wewe mwenyewe jitambue kua unahitaji kuoa. Tafuta mwenza mtakaeweza ishi pamoja bila mvurugano. Hapa ndo ambapo Mungu anahitajika zaidi... Muombe akuletee mke wako. Watu wengi huchanganywa na feelings tu. Eti unamuoa mtu kwa sababu unampenda tu. Upendo unaatengenezwa, unakua na unaweza kufa pia... Unaingia kwenye ndoa kwa sababu unapenda tu sijui utafanya nini upendo ukianza kupungua! Angalia sababu zingine na sio upendo tu.
Kingine, swala la kua na michepuko mi naona wanaume ndo kabisa hawawezi jizuia. Ila kama mume husimfanye mkeo akahisi kabisa kua kuna mtu mwingine pembeni. Jali familia yako na muoneshe upendo. Mfanye mkeo awe kama wanawake unaowapenda huko nnje. Kama unapenda wanaovaa vimini, mvalishe mkeo.
Ukimjua mwenza wako wala hakutakua na ugomvi kati yenu.
 
Baba zetu wangekuwa wana fikra za hivi sijui ingekuwaje????nadhani wote humu tungekuwa watoto wa mwendokasi
Heshima sana Baba yangu kwa kumuoa mama yangu laiti ungefikiria kama huyu Leo hii ningekuwa mtoto wa single mother
 
Kama maziwa yanapatikana mitaani na nyama mabuchani, kuna haja gani ya kufuga ng'ombe???
Mwanaune alieoa anaheshimiwa zaidi ya kapela. Yaani unaonesha jinsi gani ulivo responsible. Ata maofisini... Mtu alie na mke anaaminiwa kupewa majukumu fulani.
 
Mwanaune alieoa anaheshimiwa zaidi ya kapela. Yaani unaonesha jinsi gani ulivo responsible. Ata maofisini... Mtu alie na mke anaaminiwa kupewa majukumu fulani.
Bila shaka we ni KE nimehisi.Hivi kama una mke anayechepuka na vitoto vidogo, utaheshimiwa kiaje??? inamaana hujawahi kuona mabachelor wanaojituma ktk kazi, wenye mafanikio??? hiyo siyo alama ya mtu aliye responsible???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila shaka we ni KE nimehisi.Hivi kama una mke anayechepuka na vitoto vidogo, utaheshimiwa kiaje??? inamaana hujawahi kuona mabachelor wanaojituma ktk kazi, wenye mafanikio??? hiyo siyo alama ya mtu aliye responsible???
Ni mawazo yangu tu na jamii niliokulia.
 
kama unapata maziwa haiana haja ya kufuga ng'ombe
kweli kabisa,ifike wakati tuache kuishi kwa mazoea,hizi pingu za maisha,zilishapitwa na wakati,at least watu waishi kwa mikataba,mkichokana au mwisho wa mkataba kila mtu aende kivyake
 
Hahaha umechezeaa watoto wawatu unaogopa kulipwa pole.
 
Yule rais wa Taiwan sijui mwanamke aliulizwa hujaolewa akasema hawezi nunua nguruwe nzima kwa ajili ya sausage. Acha usioe kama Hitaji lako kwa mwanamke Ni Hilo tu utamtesa mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…