Kuna rocket imetumwa huko angani ikagonge mwamba unaohatarisha kugonga dunia

Hivi unafahamu kwamba annual budget ya NASA ni 22,000,000,000 dollars?
Hiyo ni 22 US billion dollars sawasawa na trilion 45 za kitanzania.
Umehakikisha ukweli wa hiki ulicho kiandika ?

Lakini hii si hoja ya kuonyesha ya kuwa wao wako sahihi wakati wapo kinyume na uhakisia. Huu ujinga waambie wenzako mnaopenda ngano za visasili vya Wanasayansi. Sisi huko tushatoka zamani na sasa tuna hoji uhalisia.
Na hili andiko halijaandikwa na NASA bali limeandikwa na mtu mmoja mwenye uelewa hafifu na haya mambo hivyo bila shaka hawezi kujua chochote kuhusu jinsi gani NASA wamefanya mpaka kuja na majibu.
NASA si ndiyo hao hao waliosema ya kuwa kuna mtu alienda mwezini ? Hizi filamu endeleeni kuziamini nyinyi msiofikiria mambo na kuhoji.

Mimi hata aje nani katika hao mabingwa mnao waamini nikimuuliza maswali yangu hawezi kujibu.

Wewe unajua wamefanyaje mpaka wakaja na majibu ? Tuambie.
Usitumie google bali jifunze kutumia WIKIPEDIA, kule kuna majibu yote kama utakuwa na kichwa cha kuelewa kilichoandikwa.
Googke ni mfumo na Wikipedia kadhalika waendeshaji ni watu kama mimi au wewe wana madhaifu kibao ndiyo maana sisi tunarudi kwenye asili. Sisi tunahoji mambo katika uhalisia leo hii huwezi kuniambia eti jotoridi la jua ni kiasi fulani wakati hujui jua ni nini au imekuwaje likawa hivi kilivyo bali hata kukifikia huwezi na ni muhali au kipenyo cha dunia ni kadha au uzito wa jua ni kadha wakati mchakato wa upimaji uzito tunajua ukoje na wewe huna uwezo wa kufanya hivyo.

Sayansi inakumbwa na tatizo kubwa na la siku nyingi la KUHITIMISHA mambi yao,hapa utakutana na "Assumptions" nyingi katika kanuni tunasema hivi ukiona sehemu kuna "Assumptions" nyingi ujue ukweli wameshindwa kuupata wakaweka uongo ili kukidhi haja zao.
Otherwise you're manchild asking childish questions.
Safi kabisa maswali ya kitoto ambayo wakubwa zenu wameshindwa kuyajibu.

Shukrani.
 
Ukisoma comments za humu na ukaambiwa Hawa ni watu wazima wenye makende yaliyokomaa unaweza ukachoka Aisee,
Hivi wabongo aliyewafundisha ujuaji ni nani?
Watu wapo field wanapiga kazi watu Kama nyie kutoka huko Nanjilinji na namtumbo mmeshika simu za android kupinga project za wanaume wa kazi et AAA uongo,chai,haiwezekani,
bla bla za Mungu wenu sijui kufuru,wanamjaribu Mungu,Mungu Ndie atakaye tulinda,huo ni mpango wa ibilisi sijui hawatafanikiwa!
Daaaaaaa inasikitisha Sana!

Maujinga tu yapo vichwani mwenu Tena wengine ni members ambao hua naona angalau kidogo akili zenu zinachaji kumbe likija swala la kisayansi lakugusa dini zenu mnajulikana Kwa ujuha wenu
Shwain!

Elimu! Elimu!Elimu!

😀😀😀

Balaa
 
Sababu nimepewa akili na hakuna aliyejibu maswali hayo si wakina Eistein wala kina Tesla.

Huu udhaifu wa kutokuhoji wameshaujua Wanasayansi ndiyo maana wanafanya wanayo yataka sababu wanajua watu hawana muda huo.

Soma habari za kina Albert Einstein na Albert Michelson katika issue ya "How Einstein Kept the Stationary Earth Moving and Took Physics Away From Empiricism to the Fantasies of Imagination". Ujue ni kwa namna gani Einstein alivyo kilaza, kwahiyo suala la kuhoji hatuwezi kuacha sababu uhalisia upo na tunaishi nao.
Anhaaa nilijua tu na Now I see.

So kumbe wewe ni wale wanaotumia viblog, viwebsites na vitabu uchwara kupingana na vitu vizito kama hivi?
Wewe huna tofauti na wale conspiracy theorists wanaosema corona inasambazwa na 5G.

Now nakupa ushauri wa mwaka ambao hutoupata popote.
Acha kutumia google na viwebsite vyake kutafuta ukweli kuhusu chochote kile. viwebsites ambavyo waanzilishi wake wanatumia ads kupata pesa ya kula.
Duniani most trustable source of information ni Wikipedia sababu mostly wanaoandika sio vichaa wenye njaa.

Wewe ni moja ya wale watu wanaoamini kila kitu mtandaoni na wanaosoma kitu mtandaoni ili waje kupinga tu na kubisha na sio kwa nia ya kujifunza.
 
Hakuna pengine pa kukimbilia. Kama asteroid ikija huko imeponyoka kutoka kwenye asteroid belt angalau Homo Sapiens tuwe na la kufanya na siyo kuangamia kibudu tu kama walivyoangamia akina dinosaur.

Tuwaache hawa jamaa wafanye mambo yao na sisi tubakie na ujuaji wetu usio na kichwa wala miguu...

Fikiria mwaka huu bajeti ya NASA ni dola bilioni 23.3. Hii si karibia bajeti yetu nzima kabisa? (Sina uhakika). Halafu utasikia mbongo anasema hawa jamaa wanataka kutupiga. Kuwapiga hela zenu za tozo ama? Au mnazopewa kila siku kama mikopo na misaada?
View attachment 2022961
Hii inazidi hata bajeti ya nchi yetu kwa mwaka.
 
Umehakikisha ukweli wa hiki ulicho kiandika ?

Lakini hii si hoja ya kuonyesha ya kuwa wao wako sahihi wakati wapo kinyume na uhakisia. Huu ujinga waambie wenzako mnaopenda ngano za visasili vya Wanasayansi. Sisi huko tushatoka zamani na sasa tuna hoji uhalisia.

NASA si ndiyo hao hao waliosema ya kuwa kuna mtu alienda mwezini ? Hizi filamu endeleeni kuziamini nyinyi msiofikiria mambo na kuhoji.

Mimi hata aje nani katika hao mabingwa mnao waamini nikimuuliza maswali yangu hawezi kujibu.

Wewe unajua wamefanyaje mpaka wakaja na majibu ? Tuambie.

Googke ni mfumo na Wikipedia kadhalika waendeshaji ni watu kama mimi au wewe wana madhaifu kibao ndiyo maana sisi tunarudi kwenye asili. Sisi tunahoji mambo katika uhalisia leo hii huwezi kuniambia eti jotoridi la jua ni kiasi fulani wakati hujui jua ni nini au imekuwaje likawa hivi kilivyo bali hata kukifikia huwezi na ni muhali au kipenyo cha dunia ni kadha au uzito wa jua ni kadha wakati mchakato wa upimaji uzito tunajua ukoje na wewe huna uwezo wa kufanya hivyo.

Sayansi inakumbwa na tatizo kubwa na la siku nyingi la KUHITIMISHA mambi yao,hapa utakutana na "Assumptions" nyingi katika kanuni tunasema hivi ukiona sehemu kuna "Assumptions" nyingi ujue ukweli wameshindwa kuupata wakaweka uongo ili kukidhi haja zao.

Safi kabisa maswali ya kitoto ambayo wakubwa zenu wameshindwa kuyajibu.

Shukrani.
Nakuuliza Swali Jepesi sana na lazima likushinde.

Hiyo simu unayotumia unajua ilipotengenezwa na ilichukua miaka mingapi mpaka kufikia hatua hiyo?

Au uliitengeneza/kuivumbua wewe mkuu?
Nijibu.

Mubarridi
 
Waache kujipa kiki hao jamaa!!Dunia italindwa na yule alieitengeneza Dunia ilivyo!!!!Tena wasije wakafanya yao wakidhani wanatengeneza kumbe ndio majanga yakazidi kwa Dunia!!Hekima ya Binadamu ni upumbavu kwake yeye alieitengeneza Dunia!!WATAJUAJE KAMA HILO JIWE NDIO NGUZO YENYE KANI ISABABISHAYO UTULIVU KWA SAYARI ZOTE???
Unakijua kimondo kilichofutilia mbali kizazi chote cha dinosaria miaka milioni 200 iliyopita? Usichukulie poa! Hicho kimondo kikianguka kinaweza kikafutilia mbali kila chenye uhai!
 
Hiyo wanayofanya ni experiment na sio kwamba hilo jiwe linakuja straight duniani.
Hilo jiwe lipo kwenye orbit yake halina madhara yoyote na dunia.

Dart: Mpango wa kulishambulia jiwe kubwa la Dimorphos linalokaribia kugonga dunia wazinduliwa​

23 Novemba 2021
Imeboreshwa 24 Novemba 2021
 
Unakijua kimondo kilichofutilia mbali kizazi chote cha dinosaria miaka milioni 200 iliyopita? Usichukulie poa! Hicho kimondo kikianguka kinaweza kikafutilia mbali kila chenye uhai!
Hizo ni stori tu mkuu!japo mass extinction ni theory tu za Chordate Zoology wala hazina uhalisia just guess za jamaa za fossil records!!!
 
Sio guess mkuu, maana kama ushahidi upo, shimo lipo,mifupa ipo,carbon 14 imepima na imetoa majibu ya kuridhisha! Sasa una sababu gani ya kutoamini? Hata ukijiuliza je,Hiyo mijusi ilienda wapi sasa? Mbona haipo tena? Jibu ndilo hilo... wote waliangamia kwa kimondo kimoja tu!
 
Umehakikisha ukweli wa hiki ulicho kiandika ?

Lakini hii si hoja ya kuonyesha ya kuwa wao wako sahihi wakati wapo kinyume na uhakisia. Huu ujinga waambie wenzako mnaopenda ngano za visasili vya Wanasayansi. Sisi huko tushatoka zamani na sasa tuna hoji uhalisia.

NASA si ndiyo hao hao waliosema ya kuwa kuna mtu alienda mwezini ? Hizi filamu endeleeni kuziamini nyinyi msiofikiria mambo na kuhoji.

Mimi hata aje nani katika hao mabingwa mnao waamini nikimuuliza maswali yangu hawezi kujibu.

Wewe unajua wamefanyaje mpaka wakaja na majibu ? Tuambie.

Googke ni mfumo na Wikipedia kadhalika waendeshaji ni watu kama mimi au wewe wana madhaifu kibao ndiyo maana sisi tunarudi kwenye asili. Sisi tunahoji mambo katika uhalisia leo hii huwezi kuniambia eti jotoridi la jua ni kiasi fulani wakati hujui jua ni nini au imekuwaje likawa hivi kilivyo bali hata kukifikia huwezi na ni muhali au kipenyo cha dunia ni kadha au uzito wa jua ni kadha wakati mchakato wa upimaji uzito tunajua ukoje na wewe huna uwezo wa kufanya hivyo.

Sayansi inakumbwa na tatizo kubwa na la siku nyingi la KUHITIMISHA mambi yao,hapa utakutana na "Assumptions" nyingi katika kanuni tunasema hivi ukiona sehemu kuna "Assumptions" nyingi ujue ukweli wameshindwa kuupata wakaweka uongo ili kukidhi haja zao.

Safi kabisa maswali ya kitoto ambayo wakubwa zenu wameshindwa kuyajibu.

Shukrani.
yaani wewe jamaa sikufichi Ile difinition ya ignorance inaaply kwako 💯%
Hivi hizo dini hua zinawalisha Nini Aisee yaani mnabisha mpaka vitu ambavyo unaona kabisa hapa Sina maarifa navyo,Aisee aliyesema Religion is Opium hakukosea
Kabisa,waarabu wa Mecca wa Karne ya 19 wamewajaza ujinga mwingi vichwani mwenu
Ilihali waarabu wa Mecca wa mwaka 2021 wanaendelea kula vya wamatumbi wajinga from nanjilinji Na hata hawafuati ujuha wenu na walivyo wapiga chenga ya mwili washaamua kuungana na makafiri og
Ndio ujue walivyokuaminisha wao hawavifuati!

Wake up dude!
 
Back
Top Bottom