Hivi katika hii mada ulivyo isoma hujajiuliza chochote kuhusu ukweli wa mada husika au umependa stori na picha ?Vijana wa bongu ujuaji Mnapinga hata tu. Hata hoja kidogo hamna
Tunaifa la hovyo sana
Mimi nilivyo soma hii mada cha kwanza nilianza kuhoji au kujiuliza juu ya picha ukiangalia kwa umakini hizo picha ni picha bunifu hakuja picha hata moja ambayo ni halisi.
Kingine kuhusu vipimo na utoaji wa majina na maelezo ya jambo husika,maelezo yanaonyesha ya kuwa wahusika hawana maarifa sahihi juu ya anga na vilivyomo. Swali la msingi nililo jiuliza ni kuwa wametumia mchakato gani kujia ukubwa wa hilo jiwe ?
Nani wa kwanza kutambua uwepo wa jiwe hilo na ilikuwa lini na alijuaje kuhusu jiwe hilo ?