Kuna penzi hapa au nishaachika kitambo!?!

Alokwambia nani kuwa mambo ya mke ni kupika na kufua? Mambo ya mke ni mambo ya chumbani? Hiyo kupika na kufua hata house girl anafanya.

Hapana nduguyangu si play part ya mke mana sifui sipki nashinda hostel ila kulala ilikuwa ni kawaida lazma nilale kwake,,hata nikikaa wiki sifanyi mambo ya mke
 
Snowhite unacheza na kuhudumiwa...si unaona anauliza kama ameshaachika wakati hata kuolewa hajaolewa.
Watu hawatoi pesa zao bure...huu ni utumwa aisee. Na kwa nini kijana aoe wakati anapata sex kwa frequency sawa na wenye wake?

Una akili sana,huyu dada akikuelewa itamsaidia mno!
 
Salito..nasoma ndugu na yeye ndo msomeshaji nifanye nn

We kama ni msichana unayejitambua,ni vyema uangalie masomo yako.. Hata kama yeye ndo mlipaji wa ada.
Ni vyema ungetulia hostel kwako na usiwe na kiherehere cha kumpigia cmu mara kwa mara ukijifanya kuonesha mapenzi..We onesha mapenzi kwenye masomo.
Ila jitahidi kumbembeleza akulipie ada hadi mwisho.
 
pole sana dada,
inaelekea you are vulnerable kwa huyo mkaka
vipi umeshajaribu kuomba mkopo?
huyo kaka ana mambo mengi, na usipoangalia hata iyo degree ya hutoifahidi.
jaribu kufiri vizuri, there is always a way.
 
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho mana nahisi mapenz yamenifumba macho. Mimi nina mpenz wangu tuna kama 2years now,lakin miez miwili ilopta mwenzangu anabadirika na sikuzinavozidi kwenda nazidi kupokea vituko,mwez flan alikua hataki labsa kufanya mapenzi na mm akidai mazoez yanamchosha sana,lakin badae akabadlika zaid akaanza kurud sa8,9,hadi sa10 usiku/alfajir na haitaji kufanya mapenz akidai anamawazo sana yanmpotezea hamu na uwezo wa kumudu tendo,,mwez kama m1 nilisafiri nikakaa wiki1 nikiwa huko nampigia simu hakuwahi pokea nimerudi nimekaa nae kama siku3 nikaona kama namkera flani..nikarudi hostel nikiwa nampigia hapokei wala hakuwa na muda wakuuliza y umeondoka au njoo home,zimepta kama wiki2 hapokei simu hapgi wala hajibu msg nikafanya kukubari kuwa nimechokwa namimi nimuache nimekaa wiki1 bila kumpgia na yeye hakujaribu kunipgia,juzi nikasema nimshitukize nikaenda kwake usiku saa4 nikamkuta kalala pekeake jana akanipgia akanambia nije tuongee tuyamalize nimefika yy kaenda kuoga nikashika simu yake naona msg za mwsanamke naemfahamu na yy ananifahamu akisema baby nahisi ninamimba,na msg za ex gal wake akisema nakupa lakini roho inaniuma bado nakuitaji,,,mwenzangu kawa mkali hatak kuongea lolote kuhusu wanawake hao,,leo kano drop hostel akanambia hatokuja kunichukua so niwahi kurud kwake mwenyewe, saa11 jion kanipigia kaniuliza nije nikuchukue sangap nikasema hata sasa mm nikotayari akadai atakuja sa2usiku mana anakazi anataka kufanya,mim roho iligoma kabsa nikacgukua tax nimekuja kwake na sijamwambia kama niko kwake nimempgia anasema kama naweZa niende kwake yeye anaratiba ndefu nikamwambia siwez basi tutaonana kesho,saiz nampgia hapokei nimempgia mwanamke aliesema anamimba nae hapokei,,na nimembana houseboy wake kasema majuz ndo alikuja na mwanamke,,,jaman nifanye nini naomben msaada wa mawazo yenu
wee ndo bure kabsaa kwani aliyekwambia kwamba mwanaume ukinanlii naye ndo atakupenda zaidi? haha pole mwee , kwanza kakuchoka anashindwa tu kukwambia ujue nn vile , anajiuliza KAMA YEYE AKI DOUBLE CLICK TU FOLDER LINAFUNGUKA JE ASIPOKUWEPO SI USER MWINGINE ANAWEZA AKA CLICK MARA MOJA TU , DUE TO WEAR AND TEAR A DEPRECIABLE ASSET LOSE IT'S VALUE soma alama za nyakati usipende sana nanlii utaumia ohhoo
 
Snowhite unacheza na kuhudumiwa...si unaona anauliza kama ameshaachika wakati hata kuolewa hajaolewa.
Watu hawatoi pesa zao bure...huu ni utumwa aisee. Na kwa nini kijana aoe wakati anapata sex kwa frequency sawa na wenye wake?

hili hawalijui lakini ndo mana wanachezewa sana na mwisho wa siku anaingia kwnye ndoa na visasi vya wanaume kama sita hivi,unategemea atakuwa mke huyo tena?kitu kidogo tu kashatukna matusi 120 kisa ana hasira ya kuumizwa mara nyingi na matokeo yake anaolewa kutimiza wajib lakini thamani ya mahusiano na mapeznzi kwake haipo,kumbe bila kujijua mess up nying ni yye alizikaribisha

wasichana tumieni muda wenu vizuri.wala hakuna haja ya kuweka roho juu yakuwa usipong'ang'ania hyu hutaolewa,mnawapa hao mabf kila litu kiasi wala hana haja ya kuwa curious ukiwa mke utakuwaje some of ur weaknesses mnaziexpose muda huo,TOOOO EARLY!wanaume wapo wazuri tena wa maana sana lakini kwa huu mwendo mnaenda wadgo zangu kweli kweli naendelea kusisitiza ndoa na wanaume ideal mtazidi kuwaona kwenye tamthilia tu!
 
haya sas wazazi wenzangu!!mi huku presha inapanda presha inashuka,nilikopa benki mwenzenu lakini haya ndo nakutana nayo kila siku humu,mara vitabu vinachomwa,mara huyu sasa huwa silali hostel huku mie najua mtoto yuko chuo mweh!hapa hajaolewa anajua mpaka unyumba unatolewa kwa frequency gani,na anadai kabisa haki yake ya unyumba .binti mi sijui hata nikushauri nini!tulia mwanangu hiyo m*****o utaikuta utaitumia mpaka ikifika usiku utakuwa unanuna!hebu kazana na masomo jamani!
yaani hawa watoto wetu!
 
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho mana nahisi mapenz yamenifumba macho. Mimi nina mpenz wangu tuna kama 2years now,lakin miez miwili ilopta mwenzangu anabadirika na sikuzinavozidi kwenda nazidi kupokea vituko,mwez flan alikua hataki labsa kufanya mapenzi na mm akidai mazoez yanamchosha sana,lakin badae akabadlika zaid akaanza kurud sa8,9,hadi sa10 usiku/alfajir na haitaji kufanya mapenz akidai anamawazo sana yanmpotezea hamu na uwezo wa kumudu tendo,,mwez kama m1 nilisafiri nikakaa wiki1 nikiwa huko nampigia simu hakuwahi pokea nimerudi nimekaa nae kama siku3 nikaona kama namkera flani..nikarudi hostel nikiwa nampigia hapokei wala hakuwa na muda wakuuliza y umeondoka au njoo home,zimepta kama wiki2 hapokei simu hapgi wala hajibu msg nikafanya kukubari kuwa nimechokwa namimi nimuache nimekaa wiki1 bila kumpgia na yeye hakujaribu kunipgia,juzi nikasema nimshitukize nikaenda kwake usiku saa4 nikamkuta kalala pekeake jana akanipgia akanambia nije tuongee tuyamalize nimefika yy kaenda kuoga nikashika simu yake naona msg za mwsanamke naemfahamu na yy ananifahamu akisema baby nahisi ninamimba,na msg za ex gal wake akisema nakupa lakini roho inaniuma bado nakuitaji,,,mwenzangu kawa mkali hatak kuongea lolote kuhusu wanawake hao,,leo kano drop hostel akanambia hatokuja kunichukua so niwahi kurud kwake mwenyewe, saa11 jion kanipigia kaniuliza nije nikuchukue sangap nikasema hata sasa mm nikotayari akadai atakuja sa2usiku mana anakazi anataka kufanya,mim roho iligoma kabsa nikacgukua tax nimekuja kwake na sijamwambia kama niko kwake nimempgia anasema kama naweZa niende kwake yeye anaratiba ndefu nikamwambia siwez basi tutaonana kesho,saiz nampgia hapokei nimempgia mwanamke aliesema anamimba nae hapokei,,na nimembana houseboy wake kasema majuz ndo alikuja na mwanamke,,,jaman nifanye nini naomben msaada wa mawazo yenu
Wonders shall never end... Unajielewa kweli Dada???
 
Changamoto za kimahusiano zipo hatukatai ila mwanaume mwenye kutambua thamani ya aliyenae hawezi fanya ivo hebu kausha tu usijitese jikaze tu
 
Unaanzaje kumuacha mwanaume mwenye gari na pesa zake hapo ndipo panapowashinda wanawake wengi wako tayar kuvumilia maumivu na manyanyaso ili aonekane na yeye anatembea na mtu mwenye hadhi fulan
 
Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho mana nahisi mapenz yamenifumba macho. Mimi nina mpenz wangu tuna kama 2years now,lakin miez miwili ilopta mwenzangu anabadirika na sikuzinavozidi kwenda nazidi kupokea vituko,mwez flan alikua hataki labsa kufanya mapenzi na mm akidai mazoez yanamchosha sana,lakin badae akabadlika zaid akaanza kurud sa8,9,hadi sa10 usiku/alfajir na haitaji kufanya mapenz akidai anamawazo sana yanmpotezea hamu na uwezo wa kumudu tendo,,mwez kama m1 nilisafiri nikakaa wiki1 nikiwa huko nampigia simu hakuwahi pokea nimerudi nimekaa nae kama siku3 nikaona kama namkera flani..nikarudi hostel nikiwa nampigia hapokei wala hakuwa na muda wakuuliza y umeondoka au njoo home,zimepta kama wiki2 hapokei simu hapgi wala hajibu msg nikafanya kukubari kuwa nimechokwa namimi nimuache nimekaa wiki1 bila kumpgia na yeye hakujaribu kunipgia,juzi nikasema nimshitukize nikaenda kwake usiku saa4 nikamkuta kalala pekeake jana akanipgia akanambia nije tuongee tuyamalize nimefika yy kaenda kuoga nikashika simu yake naona msg za mwsanamke naemfahamu na yy ananifahamu akisema baby nahisi ninamimba,na msg za ex gal wake akisema nakupa lakini roho inaniuma bado nakuitaji,,,mwenzangu kawa mkali hatak kuongea lolote kuhusu wanawake hao,,leo kano drop hostel akanambia hatokuja kunichukua so niwahi kurud kwake mwenyewe, saa11 jion kanipigia kaniuliza nije nikuchukue sangap nikasema hata sasa mm nikotayari akadai atakuja sa2usiku mana anakazi anataka kufanya,mim roho iligoma kabsa nikacgukua tax nimekuja kwake na sijamwambia kama niko kwake nimempgia anasema kama naweZa niende kwake yeye anaratiba ndefu nikamwambia siwez basi tutaonana kesho,saiz nampgia hapokei nimempgia mwanamke aliesema anamimba nae hapokei,,na nimembana houseboy wake kasema majuz ndo alikuja na mwanamke,,,jaman nifanye nini naomben msaada wa mawazo yenu
Mpka umwagiwe makoko ndo ujue km umeachwa jipange ww anza maisha yako upya
 
kiukweli watoto wa kike hawapendi kabisa kukaa hostel sijui kwa nini.. akiwa kwenye mahusiano na kijana anaejitegemea mwenye kwake lazima aamie kwa kijana...

yaani wanapenda kupika na kupakua hatari..

analala na mwanaume kama ameolewa vile
 
Winy buanaaa ushaachika halo

Kusoma hujui picha nayo uwezi kuona?
 
Back
Top Bottom