Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Nchi ipo kwenye mstari kuliko wakati wowote ule tangia uhuru. Kama unafikiri nchi ina ombwe la uongozi ingia mtaani uandamane kisha utakuja rejesha majibu kama nchi ina uongozi ama vipi. Mtaleta heshma tu ata kama haupendi na maendeleo ni kila kona mpaka treni za umeme na fly over. Mafisadi wa Chadema Wamepoteana wamebanwa kila kona.
Kwahiyo kwako wewe kupiga wanaoandamana ndio kipimo cha uimara wa Serikali?
 
Hata kama ilikuwepo kwa miaka yote hiyo tuliishi kwa mazoea tu ya kijamaa ambayo ni tofauti sana na ukomunisti.
Hebu tufundisheni na sisi wengine, mnapataje ujasiri wa kutetea hali mbovu zinazoongezeka kila uchao? Mna akili sawa kama za kwetu au nyie ni special from Jupiter? Serikali inafanya disbursement ya 34% ya bajeti nyie mnaona sawa tu! Serikali inayotoa 2% katika sekta inayoajiri 80% ya population nyie mnaona sawa tu. Serikali inayoruhusu kiongozi wa ngazi ya regional commissioner kuongoza mob za kijambazi na kuvamia watu nyie mnaona sawa tu. Aseee, kweli watu tupo tofauti sana.
 
Hebu acha kujitoa ufahamu wewe! Bunge kazi yake nini kama Rais anaweza kutumia mapesa chungu nzima ambayo hayakuidhinishwa na Bunge!? Kuna faida gani ya kuwa na Bunge kama Rais anaweza kufanya atakavyoamua kwa kujiona yeye yuko juu ya sheria?

Kwanini wasiwe wa kweli kutoa bajeti inayoshabihiana na mapato badala ya kuudanganya umma wa Watanzania mwaka mzima kwamba bajeti ni 29 trilioni kumbe ni ya 13 trilioni tu!? Wanaudanganya umma wa Watanzania kwa faida ya nani!?

Huelewi vitisho nini!? Tangu lini huelewi vitisho ni nini!? Unaishi chini ya jiwe hata mazungumzo ya Watanzania mitaani huyasemi!? Acha kujifanya hamnazo!

Ni punguani tu aliyejitoa ufahamu ndiyo ham huu Bashite. Sidhani kama angekuwa ni wa Chadema ungejifanya hamnazo.

Magufuli kashusha uchumi wa nchi kwa kukurupuka kwa mambo asiyoyajua hata chembe na kuondoa 500 billioni kwenye mzunguko wa pesa nchini na kuziweka BoT. Matokeo yake mabenki ta biashara yakaacha kutoa mikopo hivyo kusababisha mabiashara chungu nzima nchini yaanguke.

Juzi juzi baada ya biashara nyingi nchini kufungwa na hivyo kusababisha ukusanyaji wa kodi nchini kupungua sana ndiyo yule Gavana wa BoT Ndulu anatangaza kwamba bilioni 400 kati ya 500 ambazo dikteta uchwara aliamua kuziondoa kwenye money circulation sasa zimerudishwa! Cha kushangaza dikteta uchwara hajasema kama alikurupuka na kufanya maamuzi bila ya kuwasikiliza washauri wa kiuchumi na matokeo yake kauathiri uchumi kwa kiasi kikubwa sana.

Tia akili kichwani acha kukurupuka na kuandika pumba zako humu.

Sasa kama ulibajeti kutumia sh 30 na ukatumia sh 10 ndiyo umevunja Katiba??

Bajeti ya Tanzania inayopangwa toka Uhuru ni makadirio tu ..Tunakadiria kukusanya kiasi hili na tutatumia hivi na vile na 60% makusanyo ya ndani na 40% ufadhili toka nje.Sasa hapo kilichokiukwa ni kipi??? Kama pesa iliyotumika ni 34%

Nani sasa anaendesha nchi kwa vitisho,wanainchi wanatishiwa nini?? Ambacho unakiita kitisho ni nini hicho??

Rais ana mandate yake kutumia pesa kufanya baadhi ya mambo chini ya sheria za nchi sio kila kitu kinapita Bungeni.

Bashite hatumjui ndani ya Serikali labda wewe unamjua hatuna jina kama hilo.

Vyeti fake Rais anasubiri ripoti ifike mezani kwake aifanyie kazi na alisema kuna zaidi ya watumishi 9,000 ktk hiyo ripoti wenyewe vyeti fake.

Rais Magufuli hajashusha uchumi wa nchi bali wafanyabiashara wenyewe waliona wafunge biashara zao baada ya Serikali ya awamu hii kufuata kila kinachotakiwa kutekelezwa.
 
Kuna mapunguani Mkuu wanashangaza sana. Acha nchi yetu iendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu miaka nenda miaka rudi.

Hebu tufundisheni na sisi wengine, mnapataje ujasiri wa kutetea hali mbovu zinazoongezeja kila uchao? Mna akili sawa kama za kwetu au nyie ni special from Jupiter? Serikali inafanya disbursement ya 34% ya bajeti nyie mnaona sawa tu! Serikali inayotoa 2% katika sekta inayoajiri 80% ya population nyie mnaona sawa tu. Serikali inayoruhusu kiongozi wa ngazi ya regional commissioner kuongoza mob za kijambazi na kuvamia watu nyie mnaona sawa tu. Aseee, kweli watu tupo tofauti sana.
 
Hatuwezi kushikiliwa akili zetu na watu wengine,hakuna aliyesema anafurahi 34% ya pesa kupelekwa ktk matumizi.Wala kufurahiya bajeti ya 2% kwa mambo ya kilimo.

Na RC hakufanya uvamizi wowote hapo mnaposema Clouds ila mmekuza ule ugeni uliotembelea pale na vyombo vya habari vya ndani ukiona eti ni sifa ya kutoa habari.

Rais Magufuli anasimamia rasilimali za nchi hii kwa nguvu zote na tunajua upinzani anaoupata kwa kuanzisha vita hii mpya ya kimaslahi.
 
Hebu acha kujitoa ufahamu wewe! Bunge kazi yake nini kama Rais anaweza kutumia mapesa chungu nzima ambayo hayakuidhinishwa na Bunge!? Kuna faida gani ya kuwa na Bunge kama Rais anaweza kufanya atakavyoamua kwa kujiona yeye yuko juu ya sheria?

Kwanini wasiwe wa kweli kutoa bajeti inayoshabihiana na mapato badala ya kuudanganya umma wa Watanzania mwaka mzima kwamba bajeti ni 29 trilioni kumbe ni ya 13 trilioni tu!? Wanaudanganya umma wa Watanzania kwa faida ya nani!?

Huelewi vitisho nini!? Tangu lini huelewi vitisho ni nini!? Unaishi chini ya jiwe hata mazungumzo ya Watanzania mitaani huyasemi!? Acha kujifanya hamnazo!

Ni punguani tu aliyejitoa ufahamu ndiyo ham huu Bashite. Sidhani kama angekuwa ni wa Chadema ungejifanya hamnazo.

Magufuli kashusha uchumi wa nchi kwa kukurupuka kwa mambo asiyoyajua hata chembe na kuondoa 500 billioni kwenye mzunguko wa pesa nchini na kuziweka BoT. Matokeo yake mabenki ta biashara yakaacha kutoa mikopo hivyo kusababisha mabiashara chungu nzima nchini yaanguke.

Juzi juzi baada ya biashara nyingi nchini kufungwa na hivyo kusababisha ukusanyaji wa kodi nchini kupungua sana ndiyo yule Gavana wa BoT Ndulu anatangaza kwamba bilioni 400 kati ya 500 ambazo dikteta uchwara aliamua kuziondoa kwenye money circulation sasa zimerudishwa! Cha kushangaza dikteta uchwara hajasema kama alikurupuka na kufanya maamuzi bila ya kuwasikiliza washauri wa kiuchumi na matokeo yake kauathiri uchumi kwa kiasi kikubwa sana.

Tia akili kichwani acha kukurupuka na kuandika pumba zako humu.
Mkuu inabidi urudi shule maana yawezekana hujui maana ya makadirio. Serikali inapotoa makadirio ina maana inajua vyanzo vyake vya mapato, sasa basi huwezi kutoa makadirio ya 100% huku unajua vyanzo vyako vinarani 40%. Makadirio ni lazima yaendane au yakaribiane na uhalisia wenyewe.
 
Nchi ipo kwenye mstari kuliko wakati wowote ule tangia uhuru. Kama unafikiri nchi ina ombwe la uongozi ingia mtaani uandamane kisha utakuja rejesha majibu kama nchi ina uongozi ama vipi. Mtaleta heshma tu ata kama haupendi na maendeleo ni kila kona mpaka treni za umeme na fly over. Mafisadi wa Chadema Wamepoteana wamebanwa kila kona.
Hio ndio maana ya uongozi? OMG
 
Hebu acha kujitoa ufahamu wewe! Bunge kazi yake nini kama Rais anaweza kutumia mapesa chungu nzima ambayo hayakuidhinishwa na Bunge!? Kuna faida gani ya kuwa na Bunge kama Rais anaweza kufanya atakavyoamua kwa kujiona yeye yuko juu ya sheria?

Kwanini wasiwe wa kweli kutoa bajeti inayoshabihiana na mapato badala ya kuudanganya umma wa Watanzania mwaka mzima kwamba bajeti ni 29 trilioni kumbe ni ya 13 trilioni tu!? Wanaudanganya umma wa Watanzania kwa faida ya nani!?

Huelewi vitisho nini!? Tangu lini huelewi vitisho ni nini!? Unaishi chini ya jiwe hata mazungumzo ya Watanzania mitaani huyasemi!? Acha kujifanya hamnazo!

Ni punguani tu aliyejitoa ufahamu ndiyo ham huu Bashite. Sidhani kama angekuwa ni wa Chadema ungejifanya hamnazo.

Magufuli kashusha uchumi wa nchi kwa kukurupuka kwa mambo asiyoyajua hata chembe na kuondoa 500 billioni kwenye mzunguko wa pesa nchini na kuziweka BoT. Matokeo yake mabenki ta biashara yakaacha kutoa mikopo hivyo kusababisha mabiashara chungu nzima nchini yaanguke.

Juzi juzi baada ya biashara nyingi nchini kufungwa na hivyo kusababisha ukusanyaji wa kodi nchini kupungua sana ndiyo yule Gavana wa BoT Ndulu anatangaza kwamba bilioni 400 kati ya 500 ambazo dikteta uchwara aliamua kuziondoa kwenye money circulation sasa zimerudishwa! Cha kushangaza dikteta uchwara hajasema kama alikurupuka na kufanya maamuzi bila ya kuwasikiliza washauri wa kiuchumi na matokeo yake kauathiri uchumi kwa kiasi kikubwa sana.

Tia akili kichwani acha kukurupuka na kuandika pumba zako humu.
Haya Bingwa wa matusi hongera sana kuwa na akili sana kupita wengine
 
Matusi mtukane nyie yanakuwa maneno ya heri eh! Kama unaonyesha ubashite wa kusifia visivyostahili kusifiwa tukuiteje? GENIUS!? watakuwa wamekuchuuza kule mtaa wa lumumba kwamba wewe ni genius lol!

Acha kuonyesha ujuha wako hadharani na kuidumaza akili yako. Mwinyi ambaye aliwahi kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu halina sukani. Aliyewahi kuwa Jaji Mkuu na Waziri Mkuu wa Tanzania pia alitamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kinana pia juzi juzi katamka haya. Hebu acha kujitoa ufahamu na kujifanya hamnazo ili uendelee kutetea uozo wenye madhara makubwa kwa Tanzania na Watanzania.

Kwa hiyo unapendekeza nini?
Najua hili ni swali gumu sana kwa bavicha!
 
Ungesoma kwa kina niliyoyaandika wala usingeuliza hili swali. Kamuulize Kinana pale Lumumba baada ya kusema haya anapendekeza nini!? Kamuulize Pole pole pale lumumba baada ya kusema haya anapendekeza nini? Kawaulize wastaafu Mwinyi, Warioba na Butiku baada ya kusema nchi inaendeshwa kama gari bovu haina sukani, nchi imepoteza mwelekeo na Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania wote hawa wanapendekeza nini?

Confirmed!
 
Nimejikuta ninamsikiliza huyu mbunge, kwanza nawasikitikia waliompigia kura. Ameonyesha kuwa anaguswa sana sana kwenye maslahi na anasaga meno awamu hii.

Kweli mbunge anapewa dk zote anazunguka weeeeee, halafu anadai yeye sio muoga ha ha ha haaaaaaa...wewe ni muogaaaa, hata ukitaka wwngine wajitokeze ha ha haaaaa awamu ya tano sio za kabla eeeh

Kazunguka weeee, ndani ya dk1 nikaamua nimsikilize zaidi nione kama nitashushuka. Kwa kujiambia kuwa lazima anataka kuwaongelea viongozi wetu waleeee si mnawajua wachapa kazi eeeeh wawanaotujali wananchi.

Ha ha ha haaaaaa, nyoka watazidi kutoka pangoni. Ameongeaaa weeee hata kusema angependa ili au lile lifanyike hajaweza kwa uoga anajua atashushuka... kwa sababu Raisi hasikilizi hao wanaosaga meno wadaku. Amejitia aibu zaidi... eti sio muoga halafu akaongeaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeee bila lolote only... eeeeeeeeh

Aliyoyaongea wakisikia wapiga kura wake watalia....kimombo chote sijui kilugha mwisho porojo tu. Watamuuliza mbona na wewe hautuwakilishi bali umedandia kicosta kibovuuuu kinachopata pancha kila dakika chenye madereva wengiiii na mmekaa ndani mnahema hema tu na kulialia kwa uoga hamuaminiani sababu mu wa vyama tofauti hata wa wale wachache wa kinachotawala... huku mnaisoma namba na kusaga meno mkijaribu kulifikia lori kumuomba dereva wa lori apaki pembeni, ili mumuombe aache kuendesha lori lake kwa sababu spidi yake imevunja rekodi na hata kuiba kazi awamu hii.

Ni vizuri kabisa kabisa kuwa NO bunge live irudishwe eeeeh....wamejaa misifa kutaka kutafuta kiki wakijua watakuwa live. Hawafikirii juu ya majimbo yao bali kupigania uovu . Vikiwemo upngozi bora mzuri na madawa ya kulevya mjini Dar na mikoa mingine wanapofata alichoanzisha Mh. Makonda. Shukurani kwake aliyeanzisha vita hiyo inazaa matunda nchini. Wabunge wana njaa na akili za hata kujifanyia biashara hawana, inabidi wabadilike hatutaki porojo. Mbunge anaongelea TISS haulizi hata makosa ya watu, anasema tu eti sijui nini nae aongeee tu... kesho ISIS wakitinga nchini na kufanya yao mtasema walilala...mnasahau yaleeeee ya ubalozi wa Marekani na walikuwa wafuasi wa nani...huu ni mfano tu mdogo

JPM hata hiyo live ya saa moja au vipi, naona iondoe tu. Na ile ya marudio iwekwe bila wabunge kujua kama watarushwa au la, bali hoja za maendeleo na kujadili ya nchi na wananchi na maendeleo pia ndio vionyeshwe tu na sio udaku. Hayo ma blah blah blah wasionyeshe, ndio hawa wabunge watafuta sifa wataacha kupoteza muda wa bunge kwa hoja za kulialia.. kisa wivu uamewajaa na kutaka kuvuruga amani nchini.

Hapa kazi tu
 
Matusi mtukane nyie yanakuwa maneno ya heri eh! Kama unaonyesha ubashite wa kusifia visivyostahili kusifiwa tukuiteje? GENIUS!? watakuwa wamekuchuuza kule mtaa wa lumumba kwamba wewe ni genius lol!
Kwa taarifa yako kwanza Mimi si huko unako kutaja sijui Lumumba.

Then kimaadili hata siku moja hutaaona naandika matusi kama yako au kama ya mwingine yoyote yule.

Na hata uniwekee bastola kichwani sitaweza kutukana tusi lolote lile tulilelewa hivyo toka hata mimba zetu hazijatungwa.

Kwa nyie mliozoe kutukana endeleeni amani ndiyo maendeleo ya siku kutukana.
 
Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.
Kwa hio unaona kuongozwa na akina bashite sawa tu?;unona rais kutoa tu matamako sawa tu?
Sheria zipi anazofuata? Leo mtu anasimama mara hawa wasijaliwe hawa waajiliwe...nchi haiendeshw kwa matamko...nchi inaendeshshwa kwa mjibu wa ssheria na kanuni..ndio maana hata ww hapo nikikuuliza tu ni lini watumishi sserkalin watapanda madaraja,au kuongezewa mishahara hujui kwasababu hatuna mfumo tunassbri matamko ya one centred person.then unakuja hapa unatetea? Shame on you
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimejikuta ninamsikiliza huyu mbunge, kwanza nawasikitikia waliompigia kura. Ameonyesha kuwa anaguswa sana sana kwenye maslahi na anasaga meno awamu hii.

Kweli mbunge anapewa dk zote anazunguka weeeeee, halafu anadai yeye sio muoga ha ha ha haaaaaaa...wewe ni muogaaaa, hata ukitaka wwngine wajitokeze ha ha haaaaa awamu ya tano sio za kabla eeeh

Kazunguka weeee, ndani ya dk1 nikaamua nimsikilize zaidi nione kama nitashushuka. Kwa kujiambia kuwa lazima anataka kuwaongelea viongozi wetu waleeee si mnawajua wachapa kazi eeeeh wawanaotujali wananchi.

Ha ha ha haaaaaa, nyoka watazidi kutoka pangoni. Ameongeaaa weeee hata kusema angependa ili au lile lifanyike hajaweza kwa uoga anajua atashushuka... kwa sababu Raisi hasikilizi hao wanaosaga meno wadaku. Amejitia aibu zaidi... eti sio muoga halafu akaongeaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeee bila lolote only... eeeeeeeeh

Aliyoyaongea wakisikia wapiga kura wake watalia....kimombo chote sijui kilugha mwisho porojo tu. Watamuuliza mbona na wewe hautuwakilishi bali umedandia kicosta kibovuuuu kinachopata pancha kila dakika chenye madereva wengiiii na mmekaa ndani mnahema hema tu na kulialia kwa uoga hamuaminiani sababu mu wa vyama tofauti hata wa wale wachache wa kinachotawala... huku mnaisoma namba na kusaga meno mkijaribu kulifikia lori kumuomba dereva wa lori apaki pembeni, ili mumuombe aache kuendesha lori lake kwa sababu spidi yake imevunja rekodi na hata kuiba kazi awamu hii.

Ni vizuri kabisa kabisa kuwa NO bunge live irudishwe eeeeh....wamejaa misifa kutaka kutafuta kiki wakijua watakuwa live. Hawafikirii juu ya majimbo yao bali kupigania uovu . Vikiwemo upngozi bora mzuri na madawa ya kulevya mjini Dar na mikoa mingine wanapofata alichoanzisha Mh. Makonda. Shukurani kwake aliyeanzisha vita hiyo inazaa matunda nchini. Wabunge wana njaa na akili za hata kujifanyia biashara hawana, inabidi wabadilike hatutaki porojo. Mbunge anaongelea TISS haulizi hata makosa ya watu, anasema tu eti sijui nini nae aongeee tu... kesho ISIS wakitinga nchini na kufanya yao mtasema walilala...mnasahau yaleeeee ya ubalozi wa Marekani na walikuwa wafuasi wa nani...huu ni mfano tu mdogo

JPM hata hiyo live ya saa moja au vipi, naona iondoe tu. Na ile ya marudio iwekwe bila wabunge kujua kama watarushwa au la, bali hoja za maendeleo na kujadili ya nchi na wananchi na maendeleo pia ndio vionyeshwe tu na sio udaku. Hayo ma blah blah blah wasionyeshe, ndio hawa wabunge watafuta sifa wataacha kupoteza muda wa bunge kwa hoja za kulialia.. kisa wivu uamewajaa na kutaka kuvuruga amani nchini.

Hapa kazi tu
Katika kuongeza hoja ya huyo Mbunge tangia nimsike sijawahi kumsikia hata siku moja akikosoa chama chake au kumkosoa mwenyekiti wake hadharani sasa yeye anawabeza wana ccm na mawaziri wamkosoe Rais je yeye aliwahi kukmosoa Mbowe hadharani?
 
Back
Top Bottom