Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Wewe ndio kilaza wa mwisho kufuata sheria ni kutochukua hatua stahiki kwa wanao teka na kuvamia watu?? Wajinga wengi
Hakuna uvamizi uliofanyika popote na wanateka watu wanaendelea kutafutwa na vyombo vya dola.

Labda kama unawajua wanaoteka watu na ushahidi unao basi peleka taarifa Central Polisi ili watiwe nguvuni na kufunguliwa mashtaka
 
Kama hizo sheria zinafuatwa hakuna tatizo. Sheria zipo kwa ajili ya viongozi na wasio viongozi. Wote twapaswa kuwa watiifu kwa sheria za nchi.
Hakuna aliyejuu ya sheria
 
Nchi ingekuwa na hicho unachokiita 'ombwe' wala usingekaa na familia yako sahivi mnawasha TV zenu, mnakula, mnatembeleana na kwenda na kurudi makazini salama. Unaweza ukasema wewe huridhiki na jambo fulani tukakuelewa na kulijadiri ila si kusema ombwe. Na katika uongozi ni lazima wa kupinga kama wewe wawepo, na wewe kutokuridhika hakuhararishi kwamba kila mmoja haridhiki. Inategemea huridhiki kwa lipi na kwa nini, sababu zingine zaweza kuwa ni wewe mwenyewe kutokujiweza ama mvivu, mzembe ama mlalamishi tu. Wengine baada ya maovu yao kuwekwa kweupe ndo wanalalamika kwa kila staili.
 
**** watu wanaongea/andika kama wehu. Allen unatakiwa ku-define maneno Ombwe na uongozi, halafu uelezee phrase, ombwe la uongozi labla ya hiyo mifano yako inayobainisha kuwa huna conceptual clarity ya hoja unayoijadili.
Kiingereza ni Lugha nisiyoimudu vizuri. Niwie radhi kama hautanielewa ingawa kule kwingine tunaelewana. Ombwe ni utupu ama kwa lugha hiyo ni "Vacuum". Utupu si kutukuwepo kwa kitu bali ni kutokuwepo kwa kitu cha kujaza mahali ambako pako. Uongozi wa kisiasa nchi mwetu ni mfumo unaoratibishwa na Katiba na Tamaduni zetu za kisiasa.

Tunapokuwa mpirani halafu timu yetu ikafungwa magoli 10 kizembe, tutasema hatuna Kipa, lakini kimantiki si kwamba Golini kutakuwa hakuna Kipa, bali tutasema hatuna kipa kwa kuwa kipa alieko hakidhi vigezo vya kuwa kipa. Hapo kutakuwa na Ombwe la Kipa!!

Kama Katiba inatoa nafasi ya Bunge kuisimamia Serikali na Bunge halifanyi hivyo, basi hilo ni Ombwe la Uongozi. Kama Katiba inampa Rais Mamlaka ya kuwaondoa watu waovu kwenye mfumo wa serikali na afanyi hivyo, hilo ni Ombwe la Uongozi.

Ukiona kuna Bunge la Bajeti na sheria inataka serikali itumie hela zilizopitishwa kwenye Bunge la Bajeti, lakini serikali inatumia hela "inavyotaka" na Bunge halifanyi chochote, hilo ndilo Ombwe la Uongozi.!

"Conceptual Clarity" ndiyo uelewa wa hoja au dhana au ni unyoofu wa hoja ama dhana?
 
Kiingereza ni Lugha nisiyoimudu vizuri. Niwie radhi kama hautanielewa ingawa kule kwingine tunaelewana. Ombwe ni utupu ama kwa lugha hiyo ni "Vacuum". Utupu si kutukuwepo kwa kitu bali ni kutokuwepo kwa kitu cha kujaza mahali ambako pako. Uongozi wa kisiasa nchi mwetu ni mfumo unaoratibishwa na Katiba na Tamaduni zetu za kisiasa.

Tunapokuwa mpirani halafu timu yetu ikafungwa magoli 10 kizembe, tutasema hatuna Kipa, lakini kimantiki si kwamba Golini kutakuwa hakuna Kipa, bali tutasema hatuna kipa kwa kuwa kipa alieko hakidhi vigezo vya kuwa kipa. Hapo kutakuwa na Ombwe la Kipa!!

Kama Katiba inatoa nafasi ya Bunge kuisimamia Serikali la Bunge halifanyi hivyo, basi hilo ni Ombwe la Uongozi. Kama Katiba inampa Rais Mamlaka ya kuwaondoa watu waovu kwenye mfumo wa serikali na afanyi hivyo, hilo ni Ombwe la Uongozi.

Ukiona kuna Bunge la Bajeti na sheria inataka serikali itumie hela zilizopitishwa kwenye Bunge la Bajeti, lakini serikali inatumia hela "inavyotaka" na Bunge halifanyi chochote, hilo ndilo Ombwe la Uongozi.!

"Conceptual Clarity" ndiyo uelewa wa hoja au dhana au ni unyoofu wa hoja ama dhana?
Ndugu, ni wazi unachanganya kati ya state of incompetence na vacuum. Again, you seem to discuss your personal perception in contrast with real world (Tanzania). The Government with respect to humanware, software, hardware and organoware is in full control of the state. No vacuum but one may trace some incompetence here and there as isolated cases, which shouldn't be construed as general situation. You need to be objective.
 
Ndugu,, ni wazi unachanganya kati ya state of incompetence na vacuum. Again, you seem to discuss your personal perception with real world in Tanzania. The Government with respect to humanware, software, hardware and organoware is in full control of the state. No vacuum but one may trace some incompetence in isolated cases, which shouldn't be generalised. You need to be objective.
"Personal Perception" ndiyo chanzo cha fikra na falsafa. Wewe kama unaona kuna "Incompetence" mimi naona kuna "Vacuum" kwani si tu kwamba wanashindwa kutenda bali pia huwa wakitenda wanaonekana kama hawajatenda kwa hutenda visivyotakiwa kutendwa. Jaribu kujenga hoja achana na "Character Assassination".

Hizo "Isolated Cases" ndiyo zipi hizo? Maana kwa Mujibu wa Katiba yetu unaposema Serikali humaanishi kila mtu ni serikali. Unaposikia inasemwa Wakili anayemtetea mhalifu mahakamani na yeye akamatwe wewe unaona ni "Isolated Cases"?
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani na kuidumaza akili yako. Mwinyi ambaye aliwahi kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu halina sukani. Aliyewahi kuwa Jaji Mkuu na Waziri Mkuu wa Tanzania pia alitamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kinana pia juzi juzi katamka haya. Hebu acha kujitoa ufahamu na kujifanya hamnazo ili uendelee kutetea uozo wenye madhara makubwa kwa Tanzania na Watanzania.

Mwinyi sio SI unit wa uongozi wa nchi hii hata yeye alileta madudu ya ajabu kwenye nchi haswa kwenye uchumi.
 
Wenye akili tumeshajua wanamhujumu jpm na kwa mtindo huu CHADEMA mtabaki kupata kura za maboda boda tu ila wanaojielewa tumeshawajua kuwa nyie ni ma Potensial fisadi na ndio maana mmenunuliwa na LOWASA
 
Hakuna uvamizi uliofanyika popote na wanateka watu wanaendelea kutafutwa na vyombo vya dola.

Labda kama unawajua wanaoteka watu na ushahidi unao basi peleka taarifa Central Polisi ili watiwe nguvuni na kufunguliwa mashtaka
Haifuti ukilaza wako mkuu
 
Wenye akili tumeshajua wanamhujumu jpm na kwa mtindo huu CHADEMA mtabaki kupata kura za maboda boda tu ila wanaojielewa tumeshawajua kuwa nyie ni ma Potensial fisadi na ndio maana mmenunuliwa na LOWASA
Kama wenye akilo ndio wana mawazo kama haya kweli bora kuto luwa na kichwa kabisa
 
Sorry, you are not amongst ones whose knowledge is mandated/authorised as standard one for universal application. So you may continue ploughing in the mud, no serious discussion a knowledgeable person would engage with you. Sorry I am off.
 
Kama wenye akilo ndio wana mawazo kama haya kweli bora kuto luwa na kichwa kabisa
Unaandika Lugha gani jitahidi kupitia unachokiandika kabla ya kupost itanisaidia kujua nachat na raia mwenye akili level gani?
 
Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.
....Kwa hiyo for the past 50 yrs hii nchi haikuwa na serikali kama somalia? Si mnatuambia kuwa chama kikongwe Afrika kipo hapa?

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Yani Tz hovyo kabisa,Hakuna cha maendeleo wala nini?

Tume huru idaiwe mapema Tanzania
 
Una akili finyu sana wewe! Kuwa na wananchi wenye akili finyu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Mwingine anayemhujumu dikteta uchwara huyu hapa sijui huyu kanunuliwa na nani punguani wewe. Kuna fisadi katika Serikali hii dhalimu kama Magufuli!? Alihusika na ufisadi wa nyumba za Serikali, upotevu wa zaidi ya bilioni 100 kisha kulidanganya Bunge. Pia alihusika na ununuzi wa kivuko uozo cha kwenda Bagamoyo kwa bilioni 8.

Yote haya yameandikwa katika ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali lakini punguani wewe huoni tatizo kuja hapa kuandika pumba zako eti dikteta uchwara anahujumiwa na Chadema bila kuweka ushahidi wa aina yoyote ile kuthibitisha hizo hujuma.

Wenye akili tumeshajua wanamhujumu jpm na kwa mtindo huu CHADEMA mtabaki kupata kura za maboda boda tu ila wanaojielewa tumeshawajua kuwa nyie ni ma Potensial fisadi na ndio maana mmenunuliwa na LOWASA
 
Wewe hujitambui hata chembe uliliona tatizo la Dikteta uchwara kukwapua mabilioni ya wahanga wa tetemeko lakini matatizo mengine yoyote ndani ya Serikali hii dhalimu unayafumbia macho ili kuganga njaa zako.

Rais, Kagera iko Tanzania

Nchi ingekuwa na hicho unachokiita 'ombwe' wala usingekaa na familia yako sahivi mnawasha TV zenu, mnakula, mnatembeleana na kwenda na kurudi makazini salama. Unaweza ukasema wewe huridhiki na jambo fulani tukakuelewa na kulijadiri ila si kusema ombwe. Na katika uongozi ni lazima wa kupinga kama wewe wawepo, na wewe kutokuridhika hakuhararishi kwamba kila mmoja haridhiki. Inategemea huridhiki kwa lipi na kwa nini, sababu zingine zaweza kuwa ni wewe mwenyewe kutokujiweza ama mvivu, mzembe ama mlalamishi tu. Wengine baada ya maovu yao kuwekwa kweupe ndo wanalalamika kwa kila staili.
 
Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.
Heeee kwa hiyo sasa hivi katiba inafuatwa
 
Misimamo ipi unayozungumzia hapa!? Ya kudharau katiba? Ya kulidharau Bunge!? Ya kutudanganya Watanzania kuhusu bajeti hewa ya 29 trilioni wakati pesa halisi zilizotolewa ni 34% ya pesa zote!? Ya kutumia $487 million zaidi ya shilingi trilioni moja pesa ambazo hazikuidhinishwa na Bunge kununua ndege bila kufuata kanuni za Serikali!? Ya kuendesha nchi kwa vitisho kila kukicha!? Ya kukaa kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi na pia kuhusu vyeti vya mhuni na jambazi Bashite ambaye hastahili na wala hana sifa ya kuwemo ndani ya Serikali!? Ya kuangusha uchumi wa nchi kwa sera mufilisi na za kukurupuka zilizosababisha mabiashara mengi nchini kufilisika na uchumi kutetereka!?

Back
Top Bottom