Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Wewe ni punguani mkubwa. Uwezo wako wa kujenga hoja ni SIFURI. Kuandika hujui umedumazwa akili na sasa wanakutumia tu hamnazo wewe ili kuendelea kuwapigia debe.

Ni hasara kubwa sana kwa Taifa lolote lile duniani kuwa na mapunguani kama wewe ambao mmeamua kujitoa ufahamu ili tu kuganga njaa zenu.

Muhimu umelewa nyumbu usisahau tena kupiga mswaki kesho
 
Wewe ni punguani mkubwa. Uwezo wako wa kujenga hoja ni SIFURI. Kuandika hujui umedumazwa akili na sasa wanakutumia tu hamnazo wewe ili kuendelea kuwapigia debe.

Ni hasara kubwa sana kwa Taifa lolote lile duniani kuwa na mapunguani kama wewe ambao mmeamua kujitoa ufahamu ili tu kuganga njaa zenu.
Mtaji wa nyumbu umebaki kupiga ramli na matusi. Masalimie mwenykiti wa nyumbu
 
The greatest and most powerful revolutions often start very quietly, hidden in the shadows. Remember that.
 
Pole sana kwa kutojitambua na kukubali kutumika na wahuni, majangili, mafisadi, watoa rushwa na wapokea rushwa wanaoingamiza Tanzania. Hata kuandika hujui badala ya kurudi shule angalau tu ukajifunze kuandika uko humu kuonyesha ujuha wako hadharani. Kwa kuendelea kuwa na majuha kama wewe nchini Tanzania itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa miaka chungu nzima ijayo huku mafisadi wakiendelea kuiangamiza.

Mtaji wa nyumbu umebaki kupiga ramli na matusi. Masalimie mwenykiti wa nyumbu
 
Pole sana kwa kutojitambua na kukubali kutumika na wahuni, majangili, mafisadi, watoa rushwa na wapokea rushwa wanaoingamiza Tanzania. Hata kuandika hujui badala ya kurudi shule angalau tu ukajifunze kuandika uko humu kuonyesha ujuha wako hadharani. Kwa kuendelea kuwa na majuha kama wewe nchini Tanzania itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa miaka chungu nzima ijayo huku mafisadi wakiendelea kuiangamiza.
Toka lini nyumbu wakajitambuwa?mafisadi wapo kwenye list of shame ambayo baada fisadi mkuu kununua chama chenu mkaamua kuiondoa na kuwasafisha mitandaoni. Pole sana nyumbu, kumsafisha fisadi yapasa kujitoa akili kama unavyofanya
 
Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.
 
Nchi ipo kwenye mstari kuliko wakati wowote ule tangia uhuru. Kama unafikiri nchi ina ombwe la uongozi ingia mtaani uandamane kisha utakuja rejesha majibu kama nchi ina uongozi ama vipi. Mtaleta heshma tu ata kama haupendi na maendeleo ni kila kona mpaka treni za umeme na fly over. Mafisadi wa Chadema Wamepoteana wamebanwa kila kona.
 
Kama kuna ombwe la uongozi wanaolalamika wanamlalamikia nani. Maana kwenye ombwe la uongozi huwa hakuna wa kumlalamikia, ila kila mtu huwa anaswaga tu kivyakevyake, na kwa namna anavyotaka au kuona inafaa. Hali ilikuwa hivyo nchini Congo enzi za Mabutu Sesseko wa Zabanga Kuku. Msigwa &Co. Should learn that Tanzanians have abiloty determine wrongs and rights. Therefore can differentiate between true stories and deciptive ones. We are not fools.
 
Mimi nilivyoona nivigumu sana kurekebisha jamii iliyokuwa imebweteka kuishi kizembezembe kwenda ktk misingi imara kwa mda muchache
Watanzania ifike wakati tuisifu safu ya uongozi wa joni pombe kwa kunyoosha taifa
 
Taahira kweli wewe hebu weka huo ushahidi wa mimi kumsafisha fisadi yoyote yule nchini. Acha kukurupuka kuandika pumba mganga njaa wewe. Dikteta uchwara nchi imemshinda sasa kabaki vitisho tu hata kinana kachoshwa naye baada ya kumvumilia kwa mwaka mzima sasa anamchana hadharani tena mchana kweupe bila hata kumung'unya.

Toka lini nyumbu wakajitambuwa?mafisadi wapo kwenye list of shame ambayo baada fisadi mkuu kununua chama chenu mkaamua kuiondoa na kuwasafisha mitandaoni. Pole sana nyumbu, kumsafisha fisadi yapasa kujitoa akili kama unavyofanya
 
Nchi ipo kwenye mstari kuliko wakati wowote ule tangia uhuru. Kama unafikiri nchi ina ombwe la uongozi ingia mtaani uandamane kisha utakuja rejesha majibu kama nchi ina uongozi ama vipi. Mtaleta heshma tu ata kama haupendi na maendeleo ni kila kona mpaka treni za umeme na fly over. Mafisadi wa Chadema Wamepoteana wamebanwa kila kona.
Pumba nzuri sana kwa kulisha kuku [emoji239] [emoji239] aina ya kuroiler au sasso
 
Taahira kweli wewe hebu weka huo ushahidi wa mimi kumsafisha fisadi yoyote yule nchini. Acha kukurupuka kuandika pumba mganga njaa wewe. Dikteta uchwara nchi imemshinda sasa kabaki vitisho tu hata kinana kachoshwa naye baada ya kumvumilia kwa mwaka mzima sasa anamchana hadharani tena mchana kweupe bila hata kumung'unya.

kama uliamini kuna cheti cha ziro kutoka kwa gwajima sikushangai Leo umeanza kumsifu kinana na kusahau propaganda za huyo Mzee. Alitembea nchi nzima akijifanya anaiponda ccm kumbe ndo alikuwa anakijenga chama Leo katega kamba nyumbu umeingia kichwakichwa. Nimalizie kwa kusema msigwa Alisha sema yoyote mwenye kumuunga mkono fisadi lowasa akapimwe akili. Nikuulize wewe unayejiita msomi mwenye cheti ya div 4 ya 34, unamuunga mkono fisadi lowasa au unamkataa hadharani hpa? Nyumbu mwenye makengeza
 
Wapi nilipomsifu Kinana taahira wewe! Waliowahi kushika nafasi za juu Serikalini Mwinyi, Warioba, Butiku wamemkoromea dikteta uchwara na fisadi mchana kweupe bila hata kumung'unya kwa kutoridhika na utendaji wa huyu fisadi kitu ambacho hakijawahi kutokea viongozi waliowahi kushika nafasi za juu kumkoromea aliyekuwa Ikulu, lakini wapumbavu kama wewe hamjiulizi KULIKONI hawa wastaafu wameamua kumtolea uvivu huyu uchwara mnaendelea kumpa kichwa tu eti anainyoosha nchi wakati nchi inaenda mrama. Kwa akili yako fupi unaimba mtaisoma namba kama vile kuangamia kwa Tanzania katika kila sekta muhimu nchini wewe punguani hakutakuathiri. Nimekwambia weka ushahidi wa kuonyesha nikimfagilia fisadi yoyote. Ungepata hata robo ya akili yangu KAMWE usingekubali kudumazwa akili yako na wahuni, mafisadi, wezi, watoa na wapokea rushwa wanaoiangamiza Tanzania.

Mapunguani na wachumia tumbo ndivyo walivyo!

kama uliamini kuna cheti cha ziro kutoka kwa gwajima sikushangai Leo umeanza kumsifu kinana na kusahau propaganda za huyo Mzee. Alitembea nchi nzima akijifanya anaiponda ccm kumbe ndo alikuwa anakijenga chama Leo katega kamba nyumbu umeingia kichwakichwa. Nimalizie kwa kusema msigwa Alisha sema yoyote mwenye kumuunga mkono fisadi lowasa akapimwe akili. Nikuulize wewe unayejiita msomi mwenye cheti ya div 4 ya 34, unamuunga mkono fisadi lowasa au unamkataa hadharani hpa? Nyumbu mwenye makengeza
 
Umekosea, Watanzania tulizoea kuishi kwa kufuata sheria na katiba ya nchi...sasa hivi tunaongozwa na mzigo flani hivi hujui sheria wala katiba aliyoapa kuilinda ni kitu gani, yan nchi inaendeshwa tu kama kuku asiye na kichwa!
Mawazo na maoni yako hayo tunayaheshimu tu.

Ila Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendeshwa kwa kufuata sheria chini ya Katiba ya mwaka 1977.

Kama kuna mtu anavunja Katiba ni nani huyo na anavunja sheria gani za Katiba??
 
Misimamo ipi unayozungumzia hapa!? Ya kudharau katiba? Ya kulidharau Bunge!? Ya kutudanganya Watanzania kuhusu bajeti hewa ya 29 trilioni wakati pesa halisi zilizotolewa ni 34% ya pesa zote!? Ya kutumia $487 million zaidi ya shilingi trilioni moja pesa ambazo hazikuidhinishwa na Bunge kununua ndege bila kufuata kanuni za Serikali!? Ya kuendesha nchi kwa vitisho kila kukicha!? Ya kukaa kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi na pia kuhusu vyeti vya mhuni na jambazi Bashite ambaye hastahili na wala hana sifa ya kuwemo ndani ya Serikali!? Ya kuangusha uchumi wa nchi kwa sera mufilisi na za kukurupuka zilizosababisha mabiashara mengi nchini kufilisika na uchumi kutetereka!?
Sasa kama ulibajeti kutumia sh 30 na ukatumia sh 10 ndiyo umevunja Katiba??

Bajeti ya Tanzania inayopangwa toka Uhuru ni makadirio tu ..Tunakadiria kukusanya kiasi hili na tutatumia hivi na vile na 60% makusanyo ya ndani na 40% ufadhili toka nje.Sasa hapo kilichokiukwa ni kipi??? Kama pesa iliyotumika ni 34%

Nani sasa anaendesha nchi kwa vitisho,wanainchi wanatishiwa nini?? Ambacho unakiita kitisho ni nini hicho??

Rais ana mandate yake kutumia pesa kufanya baadhi ya mambo chini ya sheria za nchi sio kila kitu kinapita Bungeni.

Bashite hatumjui ndani ya Serikali labda wewe unamjua hatuna jina kama hilo.

Vyeti fake Rais anasubiri ripoti ifike mezani kwake aifanyie kazi na alisema kuna zaidi ya watumishi 9,000 ktk hiyo ripoti wenyewe vyeti fake.

Rais Magufuli hajashusha uchumi wa nchi bali wafanyabiashara wenyewe waliona wafunge biashara zao baada ya Serikali ya awamu hii kufuata kila kinachotakiwa kutekelezwa.
 
....Kwa hiyo for the past 50 yrs hii nchi haikuwa na serikali kama somalia? Si mnatuambia kuwa chama kikongwe Afrika kipo hapa?

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
Hata kama ilikuwepo kwa miaka yote hiyo tuliishi kwa mazoea tu ya kijamaa ambayo ni tofauti sana na ukomunisti.
 
Back
Top Bottom