Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.

Acha kuonyesha ujuha wako hadharani na kuidumaza akili yako. Mwinyi ambaye aliwahi kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu halina sukani. Aliyewahi kuwa Jaji Mkuu na Waziri Mkuu wa Tanzania pia alitamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kinana pia juzi juzi katamka haya. Hebu acha kujitoa ufahamu na kujifanya hamnazo ili uendelee kutetea uozo wenye madhara makubwa kwa Tanzania na Watanzania.
Hv Ni Fly Over ama Ni Kivuko Kutoka Sehemu Moja kufika Sehemu Ingine?Nchi ipo kwenye mstari kuliko wakati wowote ule tangia uhuru. Kama unafikiri nchi ina ombwe la uongozi ingia mtaani uandamane kisha utakuja rejesha majibu kama nchi ina uongozi ama vipi. Mtaleta heshma tu ata kama haupendi na maendeleo ni kila kona mpaka treni za umeme na fly over. Mafisadi wa Chadema Wamepoteana wamebanwa kila kona.
Nchi ipo kwenye mstari kuliko wakati wowote ule tangia uhuru. Kama unafikiri nchi ina ombwe la uongozi ingia mtaani uandamane kisha utakuja rejesha majibu kama nchi ina uongozi ama vipi. Mtaleta heshma tu ata kama haupendi na maendeleo ni kila kona mpaka treni za umeme na fly over. Mafisadi wa Chadema Wamepoteana wamebanwa kila kona.
Jamaa anakariri maneno yale atakayoona yanamsaidia kulialia.BAK, kama maneno ya hao uliwataja ndio msingi wa hoja yako basi rejea pia maneno ya Mhe. Ali Hassan Mwinyi aliyoyatoa mwaka jana kuwa kazi aliyoifanya JPM kwa muda mfupi ilikuwa kubwa kuzidi kazi iliyofanywa na marais watatu kwa miaka 30 kwa pamoja. Tunajua unalipwa kufanya kazi hii, lakini jaribu kustiri utu wako kwa sisi tunaokujua.
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani na kuidumaza akili yako. Mwinyi ambaye aliwahi kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu halina sukani. Aliyewahi kuwa Jaji Mkuu na Waziri Mkuu wa Tanzania pia alitamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kinana pia juzi juzi katamka haya. Hebu acha kujitoa ufahamu na kujifanya hamnazo ili uendelee kutetea uozo wenye madhara makubwa kwa Tanzania na Watanzania.
Kwa maana hiyo tangu ukoloni nchi ina ombwe la uongozi kwa sab hakuna serikali ya awamu yoyote ambayo haikulalamikiwa.Mtu wa kwanza kusema kwamba kuna Ombwe la uongozi nchini mwetu ni Mwalimu kwenye kitabu chake cha "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania. Wakati huo Rais alikuwepo na uongozi kama uliopo sasa ulikuwepo pia. Ombwe la Uongozi si kutokuwepo watu kwenye nafasi bali kuwa na watu wasioenea kwenye nafasi walizopo.
Halafu ujinga wa kudhani eti ukiandamana utakiona cha mtema kuni kama ndiyo ishara ya kuwepo kwa uongozi hauna maana. Leo hii Somalia kuna Ombwe la Uongozi lakini si kwamba ukiandamana dhidi ya waliopo madarakani hautushughulikiwa.
Kusema hakuna Ombwe la Uongozi kwa kuwa Reli inajengwa, Fly Overs zinajengwa, huo tena ni ujuha. Hata kwenye zile nchi zinazotawaliwa kwa mkono wa chuma kama Korea ya Kaskazini hayo pia hufanyika. Jee hizo reli zinajengwa kwa kuwa hakuna Ombwe la uongozi ama zinajengwa kwa kuwa wajengaji na wao wanatafuta mlo wao na wameuona nchi mwetu?
Wewe ndio kilaza wa mwisho kufuata sheria ni kutochukua hatua stahiki kwa wanao teka na kuvamia watu?? Wajinga wengiHakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.
Sheria zip hizo,zisizo na usawa.mbona wengine wameachwa kwenye vyeti feki.?Kama hizo sheria zinafuatwa hakuna tatizo. Sheria zipo kwa ajili ya viongozi na wasio viongozi. Wote twapaswa kuwa watiifu kwa sheria za nchi.