Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.

Uko sahihi ila hapo kwenye red. jibu ni Watanzania wachache wenye fedha na walioteka vyombo vya habari kupinga kupigania 'status quo'. Hao watu sasa wanatumia fedha zao kuteka bunge (kama bado walikuwa hawajaliteka) chini ya uratibu wa dalali mtiifu Bashe.
 
Tatizo letu tunalazimisha kuaminisha wanainchi kuwa Rais ktk hafuati Katiba.

Ukiuliza ni nini anachofanya nje ya Katiba hata hatuelezi chochote zaidi ya kuanza kutoa tu hisia zetu.

Rais Magufuli anafuata sheria kama alivyoapa na Katiba kwa kuitii na kufuata.
Hebu chukua sheria ya vyama vya siasa uone inasema nini na yeye anafanya nini, kisha soma katiba kuhusu haki na wajibu wa vyama vya siasa na yeye ameamurisha kifanyike kitu gani, harafu angaria bashite anafanya nini harafu jiulize kama ningekuwa mimi stahili yangu ningekuwa wapi,baada ya hapo utapata jibu mubashara
 
Tatizo lako liko pale pale sema Rais Magufuli amevunja sheria moja mbili tatu .....ili kila mmoja afahamu kuwa kumbe Rais wetu anavunja sheria

Naona bado unaniambia kuhusu hisia zako tu

Kuhusu Bashite mimi sijui labda utueleze wewe!!
 
Uko sahihi ila hapo kwenye red. jibu ni Watanzania wachache wenye fedha na walioteka vyombo vya habari kupinga kupigania 'status quo'. Hao watu sasa wanatumia fedha zao kuteka bunge (kama bado walikuwa hawajaliteka) chini ya uratibu wa dalali mtiifu Bashe.
Thanks kwa correction I do appreciate
 
Toka lini nyumbu wakajitambuwa?mafisadi wapo kwenye list of shame ambayo baada fisadi mkuu kununua chama chenu mkaamua kuiondoa na kuwasafisha mitandaoni. Pole sana nyumbu, kumsafisha fisadi yapasa kujitoa akili kama unavyofanya

Fisadi Mkuu ndio nani? Ni mahakama ipi ilimtia hatiani.
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani na kuidumaza akili yako. Mwinyi ambaye aliwahi kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu halina sukani. Aliyewahi kuwa Jaji Mkuu na Waziri Mkuu wa Tanzania pia alitamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kinana pia juzi juzi katamka haya. Hebu acha kujitoa ufahamu na kujifanya hamnazo ili uendelee kutetea uozo wenye madhara makubwa kwa Tanzania na Watanzania.

BAK umemjibu vizuri.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna ombwe la uongozi hata kidogo, isipokuwa nchi ilipokuwa imefika ni halali kabisa viongozi wa sasa kuwa strict.
Shida kubwa iliyopo sasa ni kwamba, watu walizoea kufanya watakavyo bila kukemewa. Kwa hiyo kutokana na Mheshimiwa Rais kuwa strict ndiyo maana watu wengi hasa WAPIGA DILI wanatunga uongo wa kila aina ili kuuhadaa umma eti kuna ombwe la uongozi.
 
Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.
Hiyo katiba yako inaruhusu utekaji wa watu?inaruhusu utesaji na mauaji? Hivi Benny angekuwa upande wenu msingewaleta hao Scotland yard kweli? Hebu mwogopeni Mungu jamani
 
Nchi inahitaji Rais mwenye maamuzi na baadhi ya watu tuliomba tupate Rais mwenye element za kiudikteta ili nchi isonge mbele badala ya kusikia maandamano yasiyo na vichwa na ufisadi uliotamalaki. Changamoto iliyopo sasa ni kukosekana kwa standard ktk kushughulikia baadhi ya insue
 
Hii ni moja kati ya kauli nzito kabisa ambayo umeitoa hapa jukwaani.
Kiongozi, nisamehe tu lakini naamini hivyo. Tunahitaji mabadiliko makubwa mno kuanzia mtu binafsi, familia na jamii kwa ujumla.
 
Chagua mwenyewe jibu la awali lako nachojua Mimi ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anafuata sheria kama zilivyoanishwa kupitia ktk Ibara mbalimbali za Katiba ya mwaka 1977 na marekebisho yake.
Nipe ibara inayompa mamlaka ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom