Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini

Una akili finyu sana wewe! Kuwa na wananchi wenye akili finyu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Mwingine anayemhujumu dikteta uchwara huyu hapa sijui huyu kanunuliwa na nani punguani wewe. Kuna fisadi katika Serikali hii dhalimu kama Magufuli!? Alihusika na ufisadi wa nyumba za Serikali, upotevu wa zaidi ya bilioni 100 kisha kulidanganya Bunge. Pia alihusika na ununuzi wa kivuko uozo cha kwenda Bagamoyo kwa bilioni 8.

Yote haya yameandikwa katika ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali lakini punguani wewe huoni tatizo kuja hapa kuandika pumba zako eti dikteta uchwara anahujumiwa na Chadema bila kuweka ushahidi wa aina yoyote ile kuthibitisha hizo hujuma.

Lala dogo malalamiko kwenye mitandao ya kuficha id hayatakusaidia acha kuwekeza kwa wanasiasa wekeza kwenye nguvu na akili zako we unafikili huyo mamvi atakuletea wali na ugali kwako akiwa rais.ACHANA NA KUTEKWA KIFIKRA.
 
Hakuna ombwe la Uongozi nchini kaka bali watanzania walio wengi hawakubaliana na misimamo na maamuzi wa Rais Magufuli ktk kuendesha Serikali kwasababu tulizoea kutofuata Sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa Kikatiba.
Umekosea, Watanzania tulizoea kuishi kwa kufuata sheria na katiba ya nchi...sasa hivi tunaongozwa na mzigo flani hivi hujui sheria wala katiba aliyoapa kuilinda ni kitu gani, yan nchi inaendeshwa tu kama kuku asiye na kichwa!
 
Huna hoja taahira wewe! Umejazwa ujinga kichwani mwako na wewe umekubali kuidumaza akili yako kwa kukubali huo ujinga uliojazwa bila hata kutumia dakika chache tu kutafakari kwa kina. Katika kundi la wendawazimu nchini wewe ni miongoni mwao. Umeweka mbele tumbo lako na kusahau kabisa maslahi ya Watanzania.

Lala dogo malalamiko kwenye mitandao ya kuficha id hayatakusaidia acha kuwekeza kwa wanasiasa wekeza kwenye nguvu na akili zako we unafikili huyo mamvi atakuletea wali na ugali kwako akiwa rais.ACHANA NA KUTEKWA KIFIKRA.
 
Huna hoja taahira wewe! Umejazwa ujinga kichwani mwako na wewe umekubali kuidumaza akili yako kwa kukubali huo ujinga uliojazwa bila hata kutumia dakika chache tu kutafakari kwa kina. Katika kundi la wendawazimu nchini wewe ni miongoni mwao. Umeweka mbele tumbo lako na kusahau kabisa maslahi ya Watanzania.
Matusi yanatoka wapi kukosa kwako ajira kusikufanye uwe na hasira kama mjamzito
 
Aliyekwambia mimi sina ajira nani taahira wewe!? Acha kujibaraguza kwa kujifanya unanijua.
Ok wekeza kwenye shughuri zako lakini epuka kuwekeza kwenye siasa za bongo nakushauri
 
Shughuri ndiyo nini wewe! Acha kutuharibia Kiswahili. Unanishauri wewe kama nani!? Nilikuomba ushauri lini!? Kujadili kuhusu mustakabali wa nchi yangu ni moja ya shughuli zangu. Siwezi kukaa kimya huku nikiiona nchi yangu ikienda mrama na hata katiba inanipa haki hiyo. Hivyo acha kuonyesha udumavu wa akili yako hadharani.

Ok wekeza kwenye shughuri zako lakini epuka kuwekeza kwenye siasa za bongo nakushauri
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani na kuidumaza akili yako. Mwinyi ambaye aliwahi kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu halina sukani. Aliyewahi kuwa Jaji Mkuu na Waziri Mkuu wa Tanzania pia alitamka kwamba nchi imepoteza mwelekeo. Kinana pia juzi juzi katamka haya. Hebu acha kujitoa ufahamu na kujifanya hamnazo ili uendelee kutetea uozo wenye madhara makubwa kwa Tanzania na Watanzania.

Bado kidogo uwe mwehu unaleta mada unapewa majibu unaanza kuunganisha tafsiri zako ulizotafsiri toka kwa viongozi wa CCM
 
Mwehu utaanza kuwa wewe punguani. Hakuna chochote nilichoandika ambacho ni cha uongo. Huwa sikurupuki humu kama wewe mchumia tumbo usiyejitambua uliyekubali kujazwa ujinga na kutetea uozo mkubwa nchini.

Bado kidogo uwe mwehu unaleta mada unapewa majibu unaanza kuunganisha tafsiri zako ulizotafsiri toka kwa viongozi wa CCM
 
Misimamo ipi unayozungumzia hapa!? Ya kudharau katiba? Ya kulidharau Bunge!? Ya kutudanganya Watanzania kuhusu bajeti hewa ya 29 trilioni wakati pesa halisi zilizotolewa ni 34% ya pesa zote!? Ya kutumia $487 million zaidi ya shilingi trilioni moja pesa ambazo hazikuidhinishwa na Bunge kununua ndege bila kufuata kanuni za Serikali!? Ya kuendesha nchi kwa vitisho kila kukicha!? Ya kukaa kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi na pia kuhusu vyeti vya mhuni na jambazi Bashite ambaye hastahili na wala hana sifa ya kuwemo ndani ya Serikali!? Ya kuangusha uchumi wa nchi kwa sera mufilisi na za kukurupuka zilizosababisha mabiashara mengi nchini kufilisika na uchumi kutetereka!?
Huo ni mtizamo wako na chuki zako ndo zinafanya uwe na chongo kiasi hicho lakn kwa weny akili hamna kilichopindshwa, ndo maana unaamin gwajima kuliko necta
 
Bashite mwingine huyu wa kutoka Kolomije! Wapi nimeandika kuhusu Necta na Gwajima!?

Sikushangai nyumbu ndo jinsi walivyo umeshasahau na uoni usiano kat ya bashite, vyeti, gwajima na necta. pole sana mpiga ramli toka jamii ya nyumbu
 
Nyumbu baba yako na mama yako. Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika punguani wewe!

Sikushangai nyumbu ndo jinsi walivyo umeshasahau na uoni usiano kat ya bashite, vyeti, gwajima na necta. pole sana mpiga ramli toka jamii ya nyumbu
 
Back
Top Bottom