Tetesi: Kuna nyufa zimeanza katika idara hii nyeti ya serikali?

Tetesi: Kuna nyufa zimeanza katika idara hii nyeti ya serikali?

The foreign ambassadors generally concluded their speeches with appreciation and positive remarks about Tanzania’s efforts, emphasizing:


1. Respect for Tanzania’s commitment to strengthening diplomatic and economic ties.
2. Confidence in continued cooperation and partnership in areas like development, trade, education, and technology.
3. Support for Tanzania’s stability and progress, highlighting the benefits of collaboration for mutual growth.
4. Encouragement for ongoing dialogue and deeper engagement to further enhance bilateral relations.
 
Ukitizama huo mshonooo unafikirisha sanaaa

Mungu amjalie afya njemaaa na auonee uzee na vitukuu vyakeee
 
NILIPO SEMA HAPA JF KUWA MNAJUA KUWA SAMIA ANAWACHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO JPM WENGI WALIBISHA ..Wapo watu awakutaka Zanzibar ipate uhuru dhidi ya waarabu hivyo wanamchukia sana karume na nyerere.


Mara baada ya kukalia kiti, huyu bibi cha kwanza alichofanya ni kwenda kwa wajomba na binamu zake kuwajulisha kuwa amefanikiwa kukalia kiti, na taratibu atakirudisha kisiwa na pwani yote kwa sultani. Ni mkakati wa mud mrefu, kwanza ni kupitia nguvu za kiuchumi, kukabidhi njia zote za kiuchumi kupitia wawekezaji uchwara wa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ya kusema, sehemu yoyote ya ardhi wadanganyika watayohitaji, wadanganyika wataondolewa, wadanganyika wenyewewawalipe fidia wenzao, na ardhi watapewa hao binamu zake. Ukweli huu ndio unaomfanya afanye kila uharamia kuhakimisha anaendelea ili kuendeleza lengo, na atakapoondoka, lazima amwachie kibaraka mwingine ili kukamilisha uharamia huo.
 
Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika dhidi ya Waarabu, na wakachinjwa na kukimbilia Oman na Uarabuni huko, wakiapa siku moja watalipiza kisasi. Sasa ni suala la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye akili; katika mapinduzi ya Zanzibar, unafikiri Samia angesimamia upande gani?

Ukijibu swali hilo utaelewa kila kitu kinachoendelea sasa hivi


Huyu sasa hivi anafanya kazi kama kibaraka wa waarabu. Kwake uhai wa mtanganyika, ni kama uhai wa kuku.
 
Mara baada ya kukalia kiti, huyu bibi cha kwanza alichofanya ni kwenda kwa wajomba na binamu zake kuwajulisha kuwa amefanikiwa kukalia kiti, na taratibu atakirudisha kisiwa na pwani yote kwa sultani. Ni mkakati wa mud mrefu, kwanza ni kupitia nguvu za kiuchumi, kukabidhi njia zote za kiuchumi kupitia wawekezaji uchwara wa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ya kusema, sehemu yoyote ya ardhi wadanganyika watayohitaji, wadanganyika wataondolewa, wadanganyika wenyewewawalipe fidia wenzao, na ardhi watapewa hao binamu zake. Ukweli huu ndio unaomfanya afanye kila uharamia kuhakimisha anaendelea ili kuendeleza lengo, na atakapoondoka, lazima amwachie kibaraka mwingine ili kukamilisha uharamia huo.
Ndiyo maana walifanya jitihada ya nguvu sana kubadili sheria ya umiliki ardhi kwa wageni...ILA MWISHO WA SAMIA NI LAZIMA UTAKUWA MBAYA KULIKO UBAYA NA UOVU ALIOTENDA HATO KUWA NA MTETEZI MAANA WALIOPO NYUMA YAKE WATAMKIMBIA NA KUMKANA YEYE NA FAMILIA YAKE ..KWA SASA ATACHEKA SANA NA KUJITUKUJITUKUZA ILA MWISHO WAKE KAUANDAA KUWA MBAYA ACHOMOKI WALA HATA KUWA NA MTETEZI...SI HAO MASHEKH WANAFIKI WANAO MPAMPU KUFANYA USHENZI ZAIDI WALA MACHAWA WANAO MSHANGILIA OWA KILA UPUMBAVU AFANYAO KWA SASA.
 
Hao watu kuchinja binadamu asiwe wa dini yao wanaona ni ibada na wanapata dhawabu kwa mola wao mlezi
 
Mada zilizojaa chuki na uongo kama hizi zimekuwa nyingi saana siku hizi
 
Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kutofanikiwa.

Mtazamo uliopo ni kwamba matukio mengi ya ukatili wa kupita kiasi yanayofanywa na Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi, hali ambayo inaonekana kama kunakuwa na element za chuki binafsi dhidi ya wahanga wanaotoka upande mwingine wa nchi.

Na minong'ono inaendelea kuwa mara nyingine wafanyakazi wa idara hii nyeti ya serikali wanaotoka upande wa pili wa nchi ni kama wanaji-organize na kufanya kazi kivyao bila maagizo ya kiofisi, kama vile kujichukulia hatua wao wenyewe kwa kulinda maslahi ya mtu wa juu wanaemuona kuwa mtu wao.

Kuna ishara kwamba baadhi ya wafanyakazi wa idara hii nyeti wanaotoka upande mwingine wa nchi wameanza kuonyesha dalili za kutokubaliana na mambo yanayofanywa na wale wanaotoka upande mwingine wa nchi, na kuona kuwa wanapita kiasi katika yale wanayoona ni majukumu yao ya kazi. Kuna minong'ono kati ya baadhi yao kwamba wanaofanyiwa hivi ni wenzetu!

Kuna mmoja wao amekumbusha kwamba mpasuko wa namna hii ulikuwapo pia wakati wa awamu ya pili, na kukumbusha kwamba watu wa upande wa pili walihusika pia katika kumchinja injinia mwingine pale UDSM wakati wa mgomo uliopelekea UDSM kufungwa kwa mwaka mzima. Kauli ya "hawa jamaa kuchinja mtu ni kawaida yao na wanaona ni jambo dogo tu" ilisikika.

Inaonekana mambo yote haya ni sehemu ya jedwali kubwa ambalo limetia ndani baadhi ya wanene wa serikali kuamua kujitoa kwenye unene wao kutokana na mambo ambayo yamekuwa yakiendelea nchini, ikiwa ni namna ya wonyesho kwamba hawakubaliani na wanayofanyiwa watu wa upande wa pili wa nchi na staili ya uongozi wa nchi kwa ujumla.

View attachment 3392545

Ona pia: Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?
 
Bila Tanganyika Mapinduzi ya Zanzibar yangepinduliwa na manowari za kijeshi zilizokuwa zinatoka Oman kuja Zanzibar kufanya counter revolution. Ndipo Zanzibar haraka haraka wakaomba ufanyike Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ili kufanya nchi ya Tanzania. Kwa msingi huo, manowari za kijeshi kuivamia Zanzibar ingekuwa ni kuivamia Tanzania. Ikabidi zigeuze kurudi Oman.

Watu wengi sana hawaelewi kwa nini muungano ulifanywa haraka sana miezi kama miwili tu baada ya mapinduzi, bila kuwa na majadiliano ya makubaliano ya muda mrefu. Ilibidi Karume amkubalie tu Nyerere, tena yeyey lipendekeza Zanzibar iwe mkoa wa Tanzania, Nyerere raisi yeye makamu wa raisi.

Acha uwongo mkuu.
 
Ni majira ya mimba na uchungu wa kuzaa,

Mama akijifungua tu, mambo yatakuwa salama.
 
Back
Top Bottom