Kuna nini wasomi wanaibuka na kuwatetea wezi?

kulaumu mangaribi wala hakutotusaidia kutatua matatizo yetu
Kasome vitabu ndo ukabishane na waliotafiti. Kasome hata waandishi maarufu upande wa African Literature walau itakusaidia kutofautisha ukweli na kulaumu
 
Elimu ya Magharibi ndio elimu gani na wewe mbona hamuishiwi pumba nyie vijana wa Town Street. Si muifute basi turudi kule kwenye elimu ya kufundisha watu wetu kuwinda wanyama, kusaga nafaka kwa mawe na kuwasha moto kwa vijiti.
Akili ya kupewa imekufanya kukariri, na unajisikiaje wewe msomi wa leo kuzidiwa akili na watu walioishi Afrika miaka 100 iliyopita tena kwa kujitambua? Nyinyi ni machotara wa kiafrika tu ..ngozi nyeusi mkiwa watumwa wa weupe
 
Mwizi huchukua mali yako bila ruhusa yako na mara nyingi kwa kificho ili usigundue kuwa amekuibia.

Hawa tunaowaita wezi wa madini walikaa meza moja na wawakilishi wetu wakuu wakasaini mikataba ikawaruhusu kupewa vitalu vya madini, tena maeneo mengine kwa kuwafukuza wananchi waliokuwa wakiishi kwenye vitalu hivyo kwa kutumia polisi.

Baada ya kujenga migodi yao chini ya uangalizi wa serikali wakaanza kuchimba madini na kupeleka dhahabu na mchanga wenye dhahabu nje ya nchi na kwa usimamizi wa vyombo vya serikali kwa miaka takribani ishirini mfululizo.

Yaani wametumia Barabara zetu, bandari zetu na wamesimamiwa na vyombo vyetu muda wote huo. Bado hao unawaita wezi kweli? Yaani kusoma hujui hata picha huwezi kuona?
 
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa
Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi
ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa
na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida
tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya
hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea. Hawakuzungumza
chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea
wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia
ni namna gani tutapambana nao.

Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
wewe kuwa na paja kwa paja wachiliya mbali bega kwa bega nani aliye leta hii corrupt system sio CCM. CCM ndio walioifikisha Tanzania hapa tulipo leo. CCM ndio chama cha Magufuli na yeye anatekeleza ilani ya CCM halafu huyo huyo eti aje na solution ya system hii corrupt ya CCM are you kidding
 
Tanzania wasomi wapi ww wAnatafsiri Lugha za dunia tu hakuna ht kisomi,Usomi mzuri ni ule unakusaidia kuyakomboa mazingira yako uliyomo strugle against the nature, Sasa Wao wanatafsri vitu vilivyotungwa abroad ,watetee kwenye nature yao tuuone usomi wao.
Heshima kwako.
 
Tuhuma nyingi za mikataba isiyo na maslahi kwa taifa zinaihusu awamu ya 3 na ya 4, CCM ikiwa madarakani chini ya mawaziri wakuu Sumaye na Lowasa. Ndio maana sio ajabu kwa sasa Chenge au Werema akisema jambo linapewa frontpage na Tanzania daima!.
 
Ccm wametuingiza gizani 2020 mwisho

Swissme
 
Kasome vitabu ndo ukabishane na waliotafiti. Kasome hata waandishi maarufu upande wa African Literature walau itakusaidia kutofautisha ukweli na kulaumu
huo ukweli tulishaufaham kitambo tu na uko wazi so kuendelea kulialia hautosaidia kitu
 
Akili ya kupewa imekufanya kukariri, na unajisikiaje wewe msomi wa leo kuzidiwa akili na watu walioishi Afrika miaka 100 iliyopita tena kwa kujitambua? Nyinyi ni machotara wa kiafrika tu ..ngozi nyeusi mkiwa watumwa wa weupe
Unamaanisha chifu Mangungo wa Msowelo aliyetalaghaiwa na Carl Peters?

Rweye hakuna anayepinga juhudi za fair-share ya rasilimali zetu.
Hilo ni obvious sote tupo pamoja. Tusichokubaliana nacho ni approach inayotumika hsitatusaidia wala kutunufaisha na zaidi yaweza kutuingiza kwenye hasara zaidi kuliko faida. Ni aibu kwa dunia ya leo mtu kuja kuiita elimu hii tuliyonayo ati elimu ya kimagharabi!!!
 
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.

Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.

Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.

Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.

Waulize hawa wawili kwanini waliwasaidia wezi?

Douglas Lake Minerals Board of Directors and Director of Exploration Appointments

Last update: 3:15 p.m. EDT Aug. 4, 2008

VANCOUVER, Aug 04, 2008 /PRNewswire-FirstCall via COMTEX/ -- Douglas Lake Minerals Inc. (OTC BB: DLKM./ Frankfurt: D6O.F) announced today the appointment of two senior Tanzanian officials to the Board of Directors. Mr. Gus Sangha and Dr. David Groves have stepped down from the Board and the Company thanks them for their valuable assistance during their tenure. Dr. Groves will remain with Douglas Lake as Director of Exploration.

Dr. Medard M.C. Kalemani, LLB, LLM, PhD, Mining Management - Director

Dr. Kalemani is the General Counsel to the Millennium Challenge Account Tanzania, Ministry of Finance, which is an autonomous government entity responsible for managing energy, transportation and water projects in Tanzania. He served as State Attorney of the Tanzanian Ministry of Energy and Minerals from 1999 to 2007, and from 1997 to 1998, he was a Legal Officer and Manager of the Tanzanian Branch of the International Rescue Committee, UNHCR. He was also legal consultant to UNDP Vienna in Tanzania and an independent consultant on a team that reviewed the Minerals Act of the Republic of South Africa. In 2002, Dr. Kalemani authored a thesis titled "Comparative Study of Mineral Laws" which compared laws between Tanzania, South Africa, Namibia and Botswana.

Prof. Abdulkarim Mruma, BSc, MSc, PhD, Geology - Director

Prof. Mruma is the Chief Executive Officer of the Geological Survey of Tanzania, Ministry of Energy and Minerals and since 2004, he is the Vice Chairman of the Association of Geological Survey of Africa. He was the Head of the Department of Geology at the University of Dar es Salaam from 1994 to 2004. Other positions he has held include: National Coordinator, International Geological Correlation Programs; External Examiner, Department of Geology of the University of Nairobi in Kenya and the University of Makerere in Uganda. He also has had extensive involvement as a board and steering committee member of numerous geological and environmental research projects and groups. Prof. Mruma has published over thirty international publications, mainly in the fields of structural geology, precambrian geology, stratigraphy and mineral deposits. He has consulted on and authored more than twenty technical reports in the fields of resource assessments and engineering geology. He is currently a member of the Geological Society of Africa and the Tanzania Geological Society. Prof. Mruma is also a Board Member of Williamson Diamonds Limited, Diamond Mine at Mwadui. The Williamson Diamond Mine is owned by De Beers and the Government of Tanzania.

Dr. David Groves, BSc, PhD, Geology - Director of Exploration

Dr. David Groves, BSc Honours and PhD, started his career working for the Geological Survey of Tasmania. In 1972, he joined the University of Western Australia where he progressed to full Professor by 1987, teaching undergraduate classes in field and structural geology and ore genesis/economic geology. From 1987 to 2005, Dr. Groves was Director of both the Centre for Strategic Mineral Deposits and Centre for Global Metallogeny. During his academic career, he authored and co-authored over 500 papers and is widely published on Archaean evolution, the nature and genesis of komatiite-hosted Ni-Cu and orogenic gold deposits, global metallogeny and conceptual targeting of mineral deposits. He was President of the Geological Society of Australia and the Society of Economic Geologists, and is currently President-Elect of SGA (European Society of Economic Geologists). He has received nine medals for his research, including the Silver Medal of the Society of Economic Geologists and the Geological Association of Canada Medal. Dr. Groves has also been contracted as a consultant to the Geological Survey of Tanzania.

About Douglas Lake

DLKM is an emerging mineral exploration company focused on exploring and developing gold, copper, nickel, uranium, and diamond mining opportunities in Tanzania. For more information, go to www.douglaslakeminerals.com

This release contains forward-looking statements which involve risks and uncertainties. Complete forward-looking statement available at www.douglaslakeminerals.com/forwardlooking.html.
 
Ndio maana nimekwambia be patient hata hii bado inafanyiwa kazi. Yeye kuwepo au kushiriki kwenye makosa hakumnyimi nafasi ya kujirekebisha.

Na hawa aliowateua kuwa Wenyeviti wa Tume aliyoichagua na huyu Mwninge ati Naibu wa Wizara ya Nishati na Madini.Inamaana JPM alikuwa hayajui haya??AU kwa vile ni Home boy?

Issue ni kwamba tikitumia ubabae tutapata hasara zaidi ya hiyo tunayopata sasa. Chamsingi itafutwe namana bora ya kuresolve hii issue ili tusiendelee kuibiwa
 
Nashukuru umeanza kwa kudeclare kwamba wewe ni mbumbu ktk tasnia zinahusika ktk hili sakata, nyie ndo wale ambao Lissu alisema jana kwamba haongei na watu wa level yenu.....Kwa hiyo,wewe endelea kufurahia maamuzi ya ki......ili mradi tu yamefanywa na naniliuuu
 
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.

Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.

Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.

Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.

Uhuru wa kuwaza na kutoa Maoni tofauti upo kila sehemu na kwny kula Sector, ukishangaa Watu kuwaza Tofauti na alivyowaza Rais ni ukosefu wa Fikra pana
 
Back
Top Bottom