Siuseme tu kura ulimpigia maumviNiweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Elimu ya magharibi ilikuja kukidhi mahitaji ya walioileta mkuu. Ni bahati tu pale inapoonekana kutusaidia hata sie lakini lengo lake 90% ilikuwa ni kutuenslave, hivyo usishangae matunda haya kuchepua kwani mti tayari ulishatiwa mbolea.
Sipati picha Lissu akiteuliwa kuwa waziri wa nishati na madini.Ha ha ha ha.. Unataka wafanyaje?
Ikiwa watu wenyewe walishaonywa lakini hawakukubali ushauri wakaona wengine zero brain kwa sababu tu wana mamlaka ya kufanya mikataba kwa namna waitakayo wao.
Wawaponde tu,tena accacia wampe deal lissu wakaiburuze mahakamani.
Wanadhani kila sehemu ya kuifanyia u dikteta??
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Nani amethibitisha kuwa wamedanganya content kwenye makinikia?Mikataba inawaruhusu kudanganya content kwenye makinikia?
kwa hiyo umeamua kupingana na wasomiNiweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Dunia inaenda kwa sheria, wote tumechukizwa na kuibiwa lakini lazima tuwasikilize wasomi wetu
Mimi napendekeza ili usome sheria inatakiwa uwe uumesoma Physics,Language,na Chemistry basi maana hii nchi field ya sheria inaongoza kwa vilazaWataje. Unalenga kujenga hoja halafu unaishia kuropoka. Jenga hoja kwa mfano.
Kuna jambo la msingi ambalo kwa bahati mbaya wengi hatulijui, na ambalo hata wasomi wenyewe hawalijui.Western education is part of the great Illuminati conspiracy, kama ilivyo western medicine.Nia ya elimu waliyotuletea Illuminati ni kutufanya tuwe better slaves,kwa hiyo wasomi wanachofanya as slaves ni kuwatumikia mabwana zao,bila wao wenyewe kujijua!Very sad. On the other hand,nia ya dawa za hospitali sio kutuponyesha bali kutuua pole pole.Thesis and antithesis scenario. We would have been better off with our local herbs!!Tumeingia kichwa kichwa sana. Sasa wanachezea afya zetu wanavyotaka.Nadhani wenye akili wameshayaona haya.Dunia inaenda kwa sheria, wote tumechukizwa na kuibiwa lakini lazima tuwasikilize wasomi wetu
Acha uwendawazimu, kwani lazima wote tumuunge mkono Magu? Wakati wanapitisha hawakujua kama tunaibiwa? Toeni ujinga hapaNiweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.