Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Andika vizuri basiii ueleweke..Sasa anasikiliza support him
Andika vizuri basiii ueleweke..Sasa anasikiliza support him
Andika vizuri basiii ueleweke.kwanini somo la mwandiko kwako lilikuwa gumu??mbona Ku malkia unaandika vizuri.
Anasikiliza maoni ya wapinzani ameanza kuyafanyia kazi give him some time.Andika vizuri basiii ueleweke..
Bwana hashauriki yule!!!?au wewe mtu wa system Ndio unajua anayafanyia kazi ya wapinzani? Una uhakika na unacho kinena???Anasikiliza maoni ya wapinzani ameanza kuyafanyia kazi give him some time.
Ndio tunawaambia,muwe mnasikilizaga akili za viongozi wa upinzani.
Sio kila wanalolishauri serekali ni mbaya,it's for the sake of waTz,sisi ambao hatuna nguvuvya kuongea. Tunasemelewa na Hao hao mnaowaona wapuuzi,end of the day mnayala matapishi yenu.
BAK nakuona BAK...
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa
Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi
ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa
na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida
tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya
hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea. Hawakuzungumza
chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea
wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia
ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Uliwahi kumshauri lini? Umejuaje kama hashauriki? Mtu asiyependa ushauri huwa haundi kamati kwa sab kamati ni panel za ushauri. Unakumbuka alimteua siang'a siku mbili baada ya ushauri wa bulaya bungeni?Bwana hashauriki yule!!!?au wewe mtu wa system Ndio unajua anayafanyia kazi ya wapinzani? Una uhakika na unacho kinena???
[emoji7] [emoji7] [emoji7] U make me strong...I felt to tell them what's inside uvungu wa moyo wangu,Maana viongozi wangu ninao waamini wakiongea wanapuuzwa.Nipo hapa nafuatilia watu wanavyoshusha nondo za hali ya juu. Nakuona na wewe ulivyo mkali kwenye kushusha nondo.
Hili swali unawauliza CCM au nani?Walikuwa wapi siku zote wakati tunaibiwa?
Mnakimbia vivuli vyenu.wanufaika na hii mikataba/ biashara mbovu ni vigogo wa CCM wakiongozwa na Mkapa aka LodilofaWakati mwingine inatia mashaka kuwa huenda maslahi yao yameguswa
au kuna namna wananufaika kwa kutetea wezi.
Uliwahi kumshauri lini? Umejuaje kama hashauriki? Mtu asiyependa ushauri huwa haundi kamati kwa sab kamati ni panel za ushauri. Unakumbuka alimteua siang'a siku mbili baada ya ushauri wa bulaya bungeni?
Halafu wanataka kuruka kesi kuwageuzia upinzani eti wana shares.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tumewashtukia,watanzania wasasa si wa miaka ya 70-60'sMnakimbia vivuli vyenu.wanufaika na hii mikataba/ biashara mbovu ni vigogo wa CCM wakiongozwa na Mkapa aka Lodilofa
Nimekuuliza umewahi kumshauri ili nikupime una ushahidi gani kuhusu hili? hauna wala lissu hana ushahidi ni lugha tu za kisiasa. Anyway kweli kabisa ccm imefanya makosa mengi lkn kama kuna maeneo inajaribu kurepent tuisupport kwa sababu nchi ni yetu sote lkn tukiamua kuiponda tu mpk upande unaotaka utawale uingie madarakani hilo ni tatizo.Mi ninauwezo wa kukaa nae nikaongea nae? Yeye namuachia viongozi wangu kina Lissu waongee nae,Mi nitaongea na wewe Hapo Ili mawazo yako yawe Sawa,usiwe Bendera fuata upepo.
Penye jema ona,penye haki ina,penye mapungufu kugundua,penye kurekebishwa kubali.
Mangapi anaambiwa anajifanya amefunga macho?
tuachane na hayo,tubaki kwenye point ya msingi. The chaka,the kuingizwa him.
Mimi nikisikia mtu analaumu nchi hii kupigwa dili sijui uwizi halafu haitaji CCM mnashangaa sana. Wizi ,ufisadi na CCM ni sawa na Samaki na maji.Hii ni kwasababu wasomi wetu wengi wametumia elimu yao kuwaibia Watanzania walio wengi. Wengi wao wameishi kwa kupiga dili badala ya kutumia kisomo chao kusimamia haki za Watanzania. Wengi wao wakipiga suit, wanauvua Utanzania wanajiunga na wapiga dili wanaojiita wawekezaji na kuwaona Watanzania wenzao wajinga na hawana elimu. Sasa wataisoma number, Watanzania TUNATAKA ukweli
Majinga haya majitu ya CCM. Wanataka kusingizia wasomi wakati wasomi ni wao wenyewe walioingia kwenye biashara ya hasara sasa wanataka kuhamisha magoli. Tumewashtukia.[emoji23] [emoji23] [emoji3]Halafu wanataka kuruka kesi kuwageuzia upinzani eti wana shares.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tumewashtukia,watanzania wasasa si wa miaka ya 70-60's
Mfano miwili out of 200???? Are you mad??Nimekuuliza umewahi kumshauri ili nikupime una ushahidi gani kuhusu hili? hauna wala lissu hana ushahidi ni lugha tu za kisiasa tu. Anyway kweli kabisa ccm imefanya makosa mengi lkn kama kuna maeneo inajaribu kurepent tuisupport kwa sababu nchi ni yetu sote lkn tukiamua kuiponda tu mpk upande unataka utawale hilo ni tatizo.
Kuhusu mtu anayependa ushauri au asiyependa anapimwa kwa vitendo vyake mifano nimekupa hapo juu.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] U make me strong...I felt to tell them what's inside uvungu wa moyo wangu,Maana viongozi wangu ninao waamini wakiongea wanapuuzwa.
Misomi yao wenyewe kina mi makiembe. Halafu wanataka kutufanya sisi wajinga. Kutuzuga kumtoa kafara muhonga kutawapendeza wachache wasio elewa sio woteMajinga haya majitu ya CCM. Wanataka kusingizia wasomi wakati wasomi ni wao wenyewe walioingia kwenye biashara ya hasara sasa wanataka kuhamisha magoli. Tumewashtukia.[emoji23] [emoji23] [emoji3]