TumeNani amethibitisha kuwa wamedanganya content kwenye makinikia?

Wewe nani tukuamini tuache kuamini tume ya kitaalam?Mnaelezwa kila siku na hamtaki kuelewa. Mmeshaambiwa kuwa hizo figures za kwenye ripoti ya Mruma haziwezekaniki hata kwa common sense.
Hakuna ounce zaidi ya 200,000 kwenye makontena 277. Ounce 200,000 ni uzalishaji wa mgodi mkubwa sana kwa mwaka....sio kwa mwezi. Hili hamlitaki kilisikia...Mmeng'ang'ania tu eti mko bega kwa bega na Rais. Sawa, ni jambo jema.
Lakini kubalini kwanza kuwa ripoti ya tume ina makosa makubwa ya kimahesabu kupita maelezo. Mkikubali hilo then ndio twende sawa.
Ni hivyo tu...
Ha ha ha ha.. Unataka wafanyaje?
Ikiwa watu wenyewe walishaonywa lakini hawakukubali ushauri wakaona wengine zero brain kwa sababu tu wana mamlaka ya kufanya mikataba kwa namna waitakayo wao.
Wawaponde tu,tena accacia wampe deal lissu wakaiburuze mahakamani.
Wanadhani kila sehemu ya kuifanyia u dikteta??
Tume siyo chombo cha kuthibitisha, na findings zao zinaishia pale!Tume
Tatizo hujataka kutanua mawazo yako na pia una uelewa mdogo sana wa mambo makubwa , tatizo sio kutetea tatizo ni kupingana na sheria tulizo zikubali wenyewe wakati wa ujinga , hao unao waona wewe kwa akili yako kuwa wanapinga ni kwa sababu ya uelewa wako mdogo au pengine ndipo ulipo fikia ukomo wako kimawazo , wao hawapingi bali wana tutahadharisha tu kwa yale tuliyo yapitishwa kwa sheria wakati wa ujinga na sasa tunayavunja kinyume na utaratibu rasmi kitu kina tuweka rehani zaid .Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.

Kwa taarifa yako wezi na wahujumu wakuu sio hawa wanaobeba bunduki huku mitaani bali ni wasomi na kalamu zao maofisini hawa wako tayari kufanya lolote ili kuhakikisha mifumo ya hujuma inaimalika.Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Huu ndio ukweli unaotuletea matatizo yote tunayoyaona sasa hivi na bayo tulikuwa hatuyajui yanatokea wapiWakati mwingine inatia mashaka kuwa huenda maslahi yao yameguswa
au kuna namna wananufaika kwa kutetea wezi.
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Ukikaa kimya hata kama ni mjinga na mpumbavu watu watakuona una busara,lakini kwa vile umeshatuonyesha jinsi ulivyomweupe/tupu kichwani binafsi nimekudharau maana hujui wezi ni kina nani na maadui kina nani,kwa faida yako wezi tunao humu humu nchini tena serikali na ndio viongozi wetu wa sasa,jiongeze uwajue na maadui zetu...we wa wapi!Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa wengi wa Watanzania wa kawaida tulikuwa hatujui chochote kuhusu hili lakini hawa wasomi walikuwa kimya hivyo kutunyima fursa ya kufahamu kinachoendelea.
Hawakuzungumza chochote na wala kushauri kama wanavyofanya sasa mitandaoni na kwenye
vyombo mbalimbali vya habari kwa nguvu kubwa ajabu.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona hawa wasomi wakiwa wameegemea wazi upande wa hawa maadui zetu, badala ya kusaidiana kama taifa kuangalia ni namna gani tutapambana nao.
Niseme wazi kuwa mimi kama Mtanzania niko bega kwa bega na Raisi JPM ingawa
katika uchaguzi kura yangu iliangukia kwa Hashim Rungwe.
Hawezi kukuelewa kabisa anaona hili JIWE linajua kila kitu kumbe jiwe hajui hata kumekuchwa saa ngapi anyway time will tellWanachoponda ni kurupuka hao watu Wana mikataba inayo walinda alichotakiwa wakae chini nao ili aombe wa review mikataba, na wakati mikataba inapita ni miongoni waliotika kwa sauti ya juu ndiyooooo
Maadui zetu wakubwa ni hawa wanasiasa ambao wapo mdarakani na ambao walikuwa madarakani kipindi tunasaini mikataba mibovo, na kwa kifupi kurekebisha sio kuvunja mikataba ki holela bali ni kukaa na hao tuliwapa mikataba na kuirekebisha tulipo kosea na sio kuwaita ni maadui. Adui wako mkubwa bi huyo unaemuunga mkono (JPM) yeye ndio mkurupukaji mkubwa na atatutia hasara kubwa kama bado hatujaingia kwenye hiyo hasara.Niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Madini wala hiyo inayoitwa Sheria ya madini, kinachonishangaza ni hili la msururu wa wasomi ambao umeibuka na kuanza kuponda kile kilicho au kinachofanywa na Rais Magufuli.