Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
Ndo udhaifu wao huo. Mwinyi, Kikwete wote ni matatizo makubwa na ni hasara kubwa sana kwa nchi yetu.Mzee Mwinyi naye alitukaanga katika hili.
Nyakati za uongozi wao tumeshuhudia mambo mengi ya ajabuajabu tu ikiwemo kuongezeka kwa hali ngumu za maisha.