Kuna nini uwanja wa Ndege Kilimanjaro?

Hili dege hata tarehe 29 June 2012 mida 1400hrs lilikuwepo na likaondoka. Bahati mbaya picha sikuchukua vizuri.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1341343379346.jpg
    uploadfromtaptalk1341343379346.jpg
    83.5 KB · Views: 168
  • uploadfromtaptalk1341343422796.jpg
    uploadfromtaptalk1341343422796.jpg
    81.7 KB · Views: 154
Hao waalabu kusema kweli wanasaidia sana sehemu au eneo walilokodi kwa ajili ya uwindaji,mbona vibali vya kuwinda vipo na kama wewe una hela unaweza kukata kibali, yule jamaa ana pasi ya kidiplomasia ,unajua huko kwao yeye ni nani zaidi ya kusema ni mtoto wa Mfalme nafikiri ana cheo cha mrithi ikiwa baba yake atafariki.

Huko katika eneo wamejenga kanisa na hospitali na kama sikosei na shule tofauti na wazungu hutujengea mabaa na kugawa ulevi.
 
Son God em hiyo ndege iliyotua Kia hii hapo delivery.jpg 113927913.jpg Twiga wanaingia wazima wazima humu
 
Njowepo Huyu mwarabu kapewa lease ya miaka 99 hata vitukuu vyako vitakutana na ishu ya mwarabu wa loliondo nashindwa kujua jinsi ya kutipia pics ningewapa sasa hivi
 
kama nakumbuka vizuri, ule mkataba wa hao waarabu kumiliki loliondo ulikuwa ni wa miaka mia moja. hivi jamani tutasubiri mpaka hiyo miaka iishe? kutabaki kitu pale? wajukuu zetu wameumia.
 
ukiona hivyo ujue kuna afisa usalama atakufa hivi karibuni.
TISS huwa wanalogana wakigombea kwenda kumlinda mwarabu.
Malaya wa mrina Arusha pia watapungua maana kazi nyingine ya TISS ni kuwakusanya na kumpelekea mwarabu.
Hata mashoga wa Dar na Mombasa pia huenda kuwa viburudisho vya hao waaarabu.
 
Ivi alipewa kwa Loliondo for how long maana siku zaenda!

mkataba ulikuwa wa miaka 99. wengi tulidhani haukusainiwa maana baadhi ya watu walipiga kelele kuhusu suala hilo akiwepo mwandishi wa habari jina Katabalo(kama nakumbuka vizuri,huyu aliuawa).
 
mnakumbuka ule wimbo TANZANIA! TANZANIA! NAKUPENDA KWA MOYO WOTE..... and bla bla bla. nauchukia kupita maelezo this country is f####d
 
this was to be expected.tuliliona hili mapema tangu tulipoona idadi kubwa ya viongozi wa kiarabu wanavyoshindana kuja nchini.ukiuliza utaambiwa ni wawekezaji,na usalama wa taifa wana taarifa na pia kitengo cha intelijensia cha jeshi la polisi nacho kina taarifa na tutaambiwa tusijali.
 
watu wa KIAnasikia wanamwagiwa pilau pale. Wanagombania kama si watu wazima. Chezea waarab weye
 
aliekwambia kuwa JK akienda kokote kuna mtu wa kumsachi ni nani? Hayo ndio mambo ya Geneva convention na diplomatic imunity...kwa taarifa yako hata sisi mabalozi wetu na mawaziri wakienda nchi za nje hakuna mtu wa kuwasachi chochote kile.
 
Back
Top Bottom