Ndo udhaifu wao huo. Mwinyi, Kikwete wote ni matatizo makubwa na ni hasara kubwa sana kwa nchi yetu.
Nyakati za uongozi wao tumeshuhudia mambo mengi ya ajabuajabu tu ikiwemo kuongezeka kwa hali ngumu za maisha.
Fine, lakini wakati ule hali ilikuwa mbaya kwa kila mtu. Tofauti na sasa ambapo hali inakuwa ngumu kwa wachache huku wengine wakineemeka.hali ngumu ya maisha km ya kupanga foleni kupata kipande cha sabuni
Hujai-tackle hoja, badala yake umejibu kama afanyavyo Mwigulu
:flypig:Ukisikia Dhaifu Kaenda mapumzikoni ujue Kaenda Serengeti Bilila kingpisk lodge Kule kuku na dogozzzzzz Kama kawa.
Ulivyo ondoka wakashusha wale twiga walio ibiwa, halafu wamewaletea masai zawadi ya tende.Hata Mimi niliona na walikuwa wanashusha silaha kalikali za kuwinda wanyama. Hakuna hata ofisa moja wa migration alienda.kukagua
Umeshasema ni mtoto wa mfalme,achekiwe nini? Halafu wewe umeacha kazi zako ukaenda airport kutafuta nini? Si uanafiki tu huo
Umeshasema ni mtoto wa mfalme,achekiwe nini? Halafu wewe umeacha kazi zako ukaenda airport kutafuta nini? Si uanafiki tu huo
Tarehe 02 Julai nilikuwepo eneo la uwanja wa ndege kia nikiwa na shughuli zangu binafsi majira ya saa 1430. Ilitua ndege kubwa aina ya ya Airbus iliyovuta hisia za watu wengi sana wakiwemo wafanyakazi wa uwanja huo.
Nilijivuta karibu na kutaka kujua ni kina nani wako na ndege hiyo nilipouliza niliambiwa ni mtoto wa mfalme wa Dubai amekuja kwa ajili ya kwenda kuwinda kwenye kambi yao iliyoko Loliondo.
Kama tunavyojua taratibu za kitaifa au kimataifa mtu yeyote anaeingia nchi yoyote ile awe mwenyeji au mgeni ni lazima akaguliwe na Immigration pamoja na Customs yaani wakiwemo Tra cha kushangaza watu hao wilishuka kwenye Airbus na mizigo yao na kuingia kwenye ndege ingine tayari kwa safari ya loliondo nilipouliza ni kwa nini? Nilijibiwa huyo ndo mfalme ameshamwaga pesa kila kona kwenye idara zote je?
Nchi kama Kenya watu wanaweza kufanya upuuzi huuuu kweli? Sishangai kuona wanyama wakisafirishwa kwenda nje ya nchi pamoja na udongo kwa ajili ya kuoteshea maua ua mfalme wa Dxb ni kutokana na KIA imekuwa kama lango la uhaini, uharamia kwa sababu ya njaaa za viongozi wachache wasiokuwa na uchungu wa nchi yao.
Nawasilisha wandugu.
Ni aibu sana kwa taifa alafu polisi wanakuambia usalama umeimarishwa upuuuzi mtupu
Kwani ulikuwa hujui? Loliondo ilishauzwa siku nyingi si mali yetu tena. Imebaki tu kuhitaji viza kuingia huko. Na hili la mtoto wa mfalme kutokaguliwa ni la kila mara anapokuja. Kuna watu huko kia walidiriki kusema kwamba huwa akija hata kituo cha polisi cha hapo uwanjani huwa kinafungwa kwa muda.hee...wanasema karibu kwenye himaya ya kifalme kumbe tayari hii sio ya kwetu tena
Nani mwenye jeuri ya kumkamata? Nyie ndio wale wanapiga kelele humu jf tu,mbele ya huyo mfalme mna msujudia. Chezea hela wewe.Wezi wote akili zao ziko kama zako. Mwana wa mfalme ni huko kwao hapa ni raia tu hivyo lazima akaguliwe na kama wamemwogopa ni very wrong kwa sababu hawa ndo wezi wa twiga. Tena inabidi wakamatwe watueleze twiga wetu wako wapi
Tena nyie mnaopende huu mchezo ndio dili huko loliondo, nenda kijana unaweza ukarudi hata na kausafiri kako.na ukiwapa vizuri unaweza kupelekwa kwao kama vile wale twiga.Ningekuwa nawe ana kwa ana ningekugeuza nyuma nukakutia dole
Ni aibu sana kwa taifa alafu polisi wanakuambia usalama umeimarishwa upuuuzi mtupu