Kuna nini Old Moshi high school

Kuna nini Old Moshi high school

Jaman waalimu wa Tuitionz moshi mjini wanapatikana kwa upande wa phys bios and chems?? Au ndo hivyo m2 akifunga skuli mpaka Dar ndo atapata waalimu wakali??
MKUU walimu wapo nenda pale mjini ulizia AMBER utaelekezwa ni opposite na Kilimanjaro hospital
 
Dogo huende ukasome huko sio ukaangalie mpira muccobs
 
Hivi huyu atakiwa ajafa...Maana jamaa kwa siku anavuta pakti tano za sigara..
Wanamwita gari moshi manake unatangulia moshi kabla hajatokea,ila ana mikwala na madaftar yake alyosomea advanc,yule babu wa namba me ndo namkubali alikuwa anashusha namba bila kitabu na pombe zikiwa kichwan
 
Hamna atakaye kilazimisha kwenda Prepo...Ila!!! Kama ni kukesha utakesha bila kupenda....

Mazingira ni tulivu sana na majirani zenu ni Mucoobs...

Mabweni ya Hanang na Meru yako poa sana...
318344_288615187815822_1778157058_n.jpg
 
huyo atakuwa madam utata bila shaka mkuu, ticha asiyeolewa mpaka kufikia umri ule.... ila alipata mchumba na sasa kaolewa na pale amehamishwa..alikuwa mwalim wangu wa domitory MAWENZI 3

dogo pora, duh hilo jina la pora nimekumbuka mbali sana, kulikuwa kuna kitu kinaitwa pora marathoni kutoka shengena hadi dh kila siku majira ya saa kumi na 2 asubuhi.
Fanya mchezo na pora!
 
huyo atakuwa madam utata bila shaka mkuu, ticha asiyeolewa mpaka kufikia umri ule.... ila alipata mchumba na sasa kaolewa na pale amehamishwa..alikuwa mwalim wangu wa domitory MAWENZI 3
Utata nimemkumbuka....Hahahah ameolewa na umri wote ule......? Ulikuwa unakaa Shengenah ehhhh.....
 
Duhhh!!!!! Maeneo ya Hanang hapo karibu na darasa la PCM.....Mkuu hizo sura nazifahamu sana....Wewe ni yupi kati ya hao.....Nimekumbuka mbali mno..
me wa pili kutoka kushoto kaka nilikuwa na aka yangu ukiitaja tu bas utakuwa unanijua kaka
 
Mkuu a.k.a yako nimeisahau...Ila nakukumbuka ile kinoma...Darasa la kina Chegue Vara a.k.a tiGo
yah tulimaliza na kina Chegue Vala kaka
kwahyo mkuu wewe ulikuwa o-level au advance kipind hicho
 
Back
Top Bottom