Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
Dah, mzee Ommy... nakumbuka peregee. Kuna mwalimu wa chakula alikua anaitwa Lisapita sijui bado yupo?
Toxicer, Kuhusu mambo ya prepo hiyo ni wewe tu, hakuna mtu ana time na wewe,shule iko very free, ukiamua kuishi mtaani, sawa, ukiamua kushinda library ya town sawa, ila kilichokua kinanikera ni kulazimishwa kurudi darasani baada ya chakula cha mchana na waalimu kulipwa kama hela ya ziada. Tulikua tunatozwa mchango wa lazima elfu 10 ila niliwahi ongoza mgomo 2003..
lisa pita aka lisapicha, anatukana yule mwalimu! alikuwepo hadi mwaka 2010 na alikuwa ni mkuu wa idara ya wasiøona