Tetesi: Kuna nini kinaendelea bima? Hospitali hazijalipwa madai zaidi ya miezi 5

Binadamu ni corruptible akipata chance au upenyo ataiba tu...; Cha muhimu dunia ya sasa tuna uwezo wa kila kitu (mali ya UMMA kuwa transparent) tujue senti imetumikaje / imekwenda wapi na hawa watumishi wetu ikiwemo Rais wanatugharimu kiasi gani...

Bila hivyo Kodi / Pesa zetu zitaendelea kuwaneemesha wachache
 
bima ya watoto nayo naona wameiua kiaina.
Shule zinalazimishwa kupeleka kuanzia majina 100.
Nina watoto 3 shule tofuati toka mwaka jana wote shuleni majina hayajatimia 100
Kufuta Bima ya watoto ni upumbavu kabisa yaani Bima inakuwa haisaidi WANANCHI

Changamoto ya nchii watu wakikaa serikalini akili zinakuwa zaupigaji tu na kuonea watu
 
Hakuna uzalendo Kwa Sasa zaidi ya Title
 
Kufuatia habari zisizo sahihi katika mitandao ya kijamii, mkurugenzi wa NHIF Mfuko wa Bima ya Afya kupitia mkurugenzi wake mkuu wafanya press conference kutoa ufafanuzi :

29 February 2024

🅻🅸🆅🅴 : SAKATA LA NHIF KUTOLEWA UFAFANUZI MUDA HUU/TANGAZO LA APHTA/MVUTANO /MAJIBU YA NHIF


View: https://m.youtube.com/watch?v=2sFDJ5vHPn8Kwa niaba ya kamati ya maboresho ya kitita cha mwaka 2023 yalianza mwaka 2018 kufuatia maelekezo ya wizara ya afya dokezo la 2017. Mara ya mwisho mabadiliko yalifanyika 2016.

Mabadiliko ya kiteknolojia mengi yamezuka tangu 2016 hivyo kulàzimu kuboresha kitita cha mafao 2023 na hivyo mwaka January 2024 APHTA kuomba kushirikishwa kama wadau MAT (Madaktari), hospitali za kanisa CSS, hospitali za BAKWATA na wataalamu wa wizarani:

Za ziada kwa kina hapa chini :





Source : https://www.nhif.or.tz/announcements/maboresho-ya-kitita-cha-mafao-kwa-wanufaika-wa-mfu#gsc.tab=0
 
Nchi imefilisika huko mbeleni hata penseni haita kuwepo🤣🪑🤣🪑🤣🪑🎶🎶🎶
 
Pesa za bima wamejengea maghorofa ya gharama na uwekezaji mwingine mkubwa na hawa ndiyo wanajilipa mishahara mikubwa kuliko yeyote. Acha ife tu wahuni hawa wanaelewa uchumi lakini wanajilipua tu acha ife ili wajue faida yake.
 
Unazungumzia NHIF au hata akina Jubilee et el?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…