Kuna nini Kati ya wanaharakati na January Makamba?

Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Duh!
Sijuhi umezaliw alini na usione mateso anayotupa january huku mitandaoni.
Hivi hujuhi nani alikuw achampion wa Cyber crime act?
Hujuhi nani alikuwa bingwa wa kuiba kura 2020 Jiwe anaingia?
Hivi unajua ni matusi mangai tulitukanwa?
by the way huyo ni CCM mwenzenu endeleeni naye tu, hata mkitaka kumpa Uraisi mpeni tu.
 
Najua haumjui january vizuri tafuta CV yake enzi za JK alikuwa mbabe na mwenye kiburi kama bashite enzi za jiwe
NB: yeye kipindi cha Jk alikuwa waziri au naibu waziri wa habari na mawasiliano kama sikosei ndo walipandisha vifurushi vya data wananchi tulilalamika wee tukala za uso, tukaenda kipindi cha uchaguzi 2015 hapo ndo niliona rangi yake uchaguzi ukafanyika mda wamatokea alikiwa kuwa anasema maneno mabaya moja ya kauli zake "CCM haiwezi kutolewa mdalakini kwa njia ya makalatasi " mwisho wakunuu baada ya mda mchache matokeo ya zanzibar yakafutwa chini ya Jecha matokeo yalikuwa yanaonesha seffu anaenda kushinda
Ni mmoja wa vijana wa Jk wapo kwa ajili ya familia zao na matumbo yao
Anamjua vizuri ukute ata ndo yeye mwenyewe january makamba na hiyo ni moja ya account yake.
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Atarudishiwa kitengo chake cha mazingira rizi moko nae ataula ila sijajua atapa chikwa wapi.
Naomba niishie hapo
 
January ni mpigaji na anaongoza kishikaji, akiukwaa wengi watapewa mapande kama enzi za JK, wizi utarudi na uwajibikaji utaondoka kwa sababu itakuwa serikali ya washikaji.

Kingine nilichojifunza ameweka pesa nyingi sana kuutaka Urais 2025, hajajifunza kwa EL, yoyote ambaye anaonekana mroho wa madaraka ni wa kuogopwa kama ukoma.

Kwani chini ya magu wizi haukuwepo? Kuminya vyombo vya habari visitangaze wizi ndio kumaliza wizi?
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Mtu akiwa na tamaa ya kuwa Rais, anakuwa amejiengua katika kuteuliwa kuwa makamu wa rais. Kumbuka huyu dogo aligombea urais 2015
 
Baada ya kukataliwa uwaziri wa nishani na madini. Dogo alipata mpaka ujasiri wa kujipangia nafasi anayoitaka.

Akakutana na "MIMI SIPANGIWI, NA UKINIPANGIA NDIO SIFANYI KABISAAA...."

R. I. P Mtekelezaji
kuna watu wanapenda madaraka aisee
nyalandu akamfuata nae amegizwa sijui na nani uko eti arudishwe wizara ya utalii daah kuna watu hawana iabu aisee
 
Nakumbuka vile vituko vya Dogo Jembe vya mwaka 2015 karibia na uchaguzi. Lakini pia nakumbuka alivyokuwa waziri wa mawasiliano alivyopitisha sheria za mtandao

Kiufupi Makamba hafai kupewa nchi hii
 
January ni mpigaji na anaongoza kishikaji, akiukwaa wengi watapewa mapande kama enzi za JK, wizi utarudi na uwajibikaji utaondoka kwa sababu itakuwa serikali ya washikaji.

Kingine nilichojifunza ameweka pesa nyingi sana kuutaka Urais 2025, hajajifunza kwa EL, yoyote ambaye anaonekana mroho wa madaraka ni wa kuogopwa kama ukoma.
Kuna watu wanaroho zakichawi sana,hivi ukiulizwa Makamba ameweka pesa ngapi kwenye mchakato wa uraisi utakuwa na jibu?
 
January ni mpigaji na anaongoza kishikaji, akiukwaa wengi watapewa mapande kama enzi za JK, wizi utarudi na uwajibikaji utaondoka kwa sababu itakuwa serikali ya washikaji.

Kingine nilichojifunza ameweka pesa nyingi sana kuutaka Urais 2025, hajajifunza kwa EL, yoyote ambaye anaonekana mroho wa madaraka ni wa kuogopwa kama ukoma.
Kwani wizi wa mabilioni umeisha lini?
 
Siwezi kumsemea sana Makamba maana simjui wala yeye hanijui. Ila tu waweza kupata taswira flan flan hivi kwamba ni mtu wa aina gani na anaweza kuwa kiongozi wa aina gani walau kwa baadhi ya interviews zake alizowahi kuzifanya.

Makamba ni vijana wa kimillenia, role model wake kiuongozi ni Obama huko Marekani, na Kikwete kwa hapa Tanzania. Anauhusudu umarekani sijapata kuona. Nadhani uongozi wake hauwezi tofautiana sana na wa Kikwete, na ni aina ya watu walio rahisi kurubuniwa na utapeli wa kimagharibi.
 
Makamba namwona kama ni Lowasa ajaye, kwa promo anazopigiwa sidhani kama Kuna kiongozi atataka kufanya kazi naye.

Maana anawapambe Sana mitandaoni lakini ukija kwenye uhalisia hakuna lolote zaidi ya ujanja wa kucheza na maneno.

Kuna uzi mwembamba Sana unaomtenganisha Mwanaharakati na Makamba.
Hawezi mfikia lowasa......
lowasa alikuwa ni meli
 
Makamba is a crook. Hafai kupewa madaraka makubwa. Kitu pekee anachojua ni kucheza na media na kuhonga watu wampambe. Ila in reality hana maajabu yoyote kiuongozi. He is unremarkable.

On the other hand watanzania tumezoea 'kuchaguliwa' viongozi waajabu. So haishangazi siku moja akapewa madaraka makubwa.
Mkuu umenena vema sana. Makamba sio kiongozi bora ila ni vile kazaliwa ndani ya mfumo wa ccm basi anahisi ana hiyo potential ya kuwa president na anatembelea nyota ya kikwete kuwa ni kijana. Watanzania hatudanganyiki!

Pili pamoja na mapungufu ya jpm lakini alipowapiga benchi genge la jk,tuliona nchi inapumua kwenye ufisadi. Why tunashindwa kujifunza tokea hapo kuwa hawa jamaa sio waaminifu kwenye mali za umma?

Tuvunjeni hii cycle ya utawala labda nchi yetu inaweza kusogea walau hatua kadhaa mbele. Wao wanautaka uraisi kwa maslahi yao na kama fasheni tu.
 
Tusubili uzao Mpya labda utakosa kasoro bt kwa wanasiasa tulonao wote wana madoa kuwatofautisha ni utashi tu bt January ana kariba ya uongozi ni state body.
 
Atarudishiwa kitengo chake cha mazingira rizi moko nae ataula ila sijajua atapa chikwa wapi.
Naomba niishie hapo
Nadhani alifanya vyema kwenye issue ya mifuko ya “plastics”. Rais akaona anataka kumfunika akamtema. I stand corrected.
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Less minded people discusses persons
 
Kigogo2014
 
Back
Top Bottom