Kuna nini Kati ya wanaharakati na January Makamba?

Kuna nini Kati ya wanaharakati na January Makamba?

Ana ndoto za Kutoka kua muandika notice wa JK hadi kua presidaa
 
Huyu ndo mtu pekee ambae hakuenda kumpigia magoti kumuomba msamaha marehemu aliyekuwa anajifanya Mungu
Msamaha alienda kuomba. Mengine namkubali, Ila hii nguvu anayotumia Ina walakini sana
 
Makamba namwona kama ni Lowasa ajaye, kwa promo anazopigiwa sidhani kama Kuna kiongozi atataka kufanya kazi naye.

Maana anawapambe Sana mitandaoni lakini ukija kwenye uhalisia hakuna lolote zaidi ya ujanja wa kucheza na maneno.

Kuna uzi mwembamba Sana unaomtenganisha Mwanaharakati na Makamba.
Hakika
 
January ni mpigaji na anaongoza kishikaji, akiukwaa wengi watapewa mapande kama enzi za JK, wizi utarudi na uwajibikaji utaondoka kwa sababu itakuwa serikali ya washikaji.

Kingine nilichojifunza ameweka pesa nyingi sana kuutaka Urais 2025, hajajifunza kwa EL, yoyote ambaye anaonekana mroho wa madaraka ni wa kuogopwa kama ukoma.
You have summed it up. Jamaa hafai hafai na hafai. Halafu yuko desparate kweli kweli kupata uongozi hasa urais. Watu wa aina hii ni wa kuogopa sana. Hata uwaziri hafai.
 
Makamba namwona kama ni Lowasa ajaye, kwa promo anazopigiwa sidhani kama Kuna kiongozi atataka kufanya kazi naye.

Maana anawapambe Sana mitandaoni lakini ukija kwenye uhalisia hakuna lolote zaidi ya ujanja wa kucheza na maneno.

Kuna uzi mwembamba Sana unaomtenganisha Mwanaharakati na Makamba.
Hakika mwanaharakati sasa ameanza kudhihirika kuwa ni Januari
 
Alienda kuomba wapi na lini? Lete chanzo chako cha habari
Shida ya humu sijui ni usahaulifu au basi tu?
Gazeti Hilo la mtanzania
Screenshot_20210330-172359_1.jpg
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
mzee mbona hakuna mbaya unavyomkubali wewe ndivyo na watu wanavyomkubali tatizo nini
 
You have summed it up. Jamaa hafai hafai na hafai. Halafu yuko desparate kweli kweli kupata uongozi hasa urais. Watu wa aina hii ni wa kuogopa sana. Hata uwaziri hafai.
Ni kiongozi mzuri, Ila asionyeshe Kama anautaka Sana uraisi kwa kuwa watu wataanza kumuwekea shaka.
Aache kutumia watu kumpigia promo
 
mzee mbona hakuna mbaya unavyomkubali wewe ndivyo na watu wanavyomkubali tatizo nini
Namkubali Sana na nilikuwa mmoja wa watu niliotaka wapige 2015, nilinunua Hadi t-shirt yake ya " tuo8 January "
Ila kwa Sasa akae mbali na hizi chapuo za uraisi.
Promo anayopigiwa sio ya bure,
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
January ni “mshikaji “. Kuna watu neema zao wanaziona January akiingia ikulu.
 
Makamba is a crook. Hafai kupewa madaraka makubwa. Kitu pekee anachojua ni kucheza na media na kuhonga watu wampambe. Ila in reality hana maajabu yoyote kiuongozi. He is unremarkable.

On the other hand watanzania tumezoea 'kuchaguliwa' viongozi waajabu. So haishangazi siku moja akapewa madaraka makubwa.
 
Back
Top Bottom