Kuna nini Kati ya wanaharakati na January Makamba?

Kuna nini Kati ya wanaharakati na January Makamba?

Najua haumjui january vizuri tafuta CV yake enzi za JK alikuwa mbabe na mwenye kiburi kama bashite enzi za jiwe
NB: yeye kipindi cha Jk alikuwa waziri au naibu waziri wa habari na mawasiliano kama sikosei ndo walipandisha vifurushi vya data wananchi tulilalamika wee tukala za uso, tukaenda kipindi cha uchaguzi 2015 hapo ndo niona rangi yake uchaguzi ukafanyika mda wamatokea alikiwa kuwa anasema maneno mabaya moja ya kauli zake "CCM haiwezi kutolewa mdalakini kwa njia ya makalatasi " mwisho wakunuu baada ya mda mchache matokeo ya zanzibar yakafutwa chini ya Jecha matokeo yalikuwa yanaonesha seffu anaenda kushinda
Ni mmoja wa vijana wa Jk wapo kwa ajili ya familia zao na matumbo yao
Sawa baba
 
Hakuna kiongozi mbovu kama January, yule mpenda ashua za kizungu hajui lolote kuhusu masuala ya uongozi na siasa zaidi ya kumezeshwa vitu DM. Na siku zote anajinasibu katika uswahiba wa baba yake na kiongozi mkubwa wa awamu ya nne.Hawa ni ndege warukao kwa pamoja. Sijui unanielewa?
Hajui au humpendi?
KUna tofauti kubwa kati ya hivyo vitu viwili ujue.
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Amekuwa waziri wa muda mrefu zaidi ya Lukuvi?? au mkuchika?
 
Huyu ndo mtu pekee ambae hakuenda kumpigia magoti kumuomba msamaha marehemu aliyekuwa anajifanya Mungu
Baada ya kukataliwa uwaziri wa nishani na madini. Dogo alipata mpaka ujasiri wa kujipangia nafasi anayoitaka.

Akakutana na "MIMI SIPANGIWI, NA UKINIPANGIA NDIO SIFANYI KABISAAA...."


R. I. P Mtekelezaji
 
Makamba namwona kama ni Lowasa ajaye, kwa promo anazopigiwa sidhani kama Kuna kiongozi atataka kufanya kazi naye.

Maana anawapambe Sana mitandaoni lakini ukija kwenye uhalisia hakuna lolote zaidi ya ujanja wa kucheza na maneno.

Kuna uzi mwembamba Sana unaomtenganisha Mwanaharakati na Makamba.
Ndio wasiwasi wangu ulipo, ni kiongozi mzuri. Ila why inatumika nguvu kubwa Sana Tena na wale ambao wapo against na serikali.
Sikutegemea mange ampigie promo huyu, Wala sikutegemea jamaa wale wa twitter watumie nguvu kupiga promo na kumsafisha kwa kila namna
 
Makamba namwona kama ni Lowasa ajaye, kwa promo anazopigiwa sidhani kama Kuna kiongozi atataka kufanya kazi naye.

Maana anawapambe Sana mitandaoni lakini ukija kwenye uhalisia hakuna lolote zaidi ya ujanja wa kucheza na maneno.

Kuna uzi mwembamba Sana unaomtenganisha Mwanaharakati na Makamba.
Nakumbuka mwanaharakati walipokwaruzana na Makamba's family, mwanaharakati akavujisha mkanda wa Italian analalamika Makamba's wamekula pesa yake.
 
Back
Top Bottom