Kuna nini Kati ya wanaharakati na January Makamba?

Januari akija kuwa namba moja wale ndugu zake wako standby kufanya Yao .

Msoga dynasty watataka fadhila .

Tegemea kuona wazungu wakirandaranda hapa bongo

By the way ni kijana mzuri ana charisma ya unamba moja

Ila kupe na chawa wanaomzunguka ndio nawaofia zaidi kwa upigaji

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Huyu alikosea mahesabu kwa kuipuuza nyota ya Magu. Ingemtoa jumla kisiasa bahati mbaya hakuona mbali sasa itamfutilia mbali jumla
January atarudi kwenye system.

Kuhusu Magu, Magu naye hakuwa fair kwa mzee Makamba, Mzee Makamba amewahi kulalamika kiutu uzima kuwa ushauri wake umewahi kuitwa wa "kipumbavu" na Magufuli

Pia Musiba ambaye tunajua alikuwa ni kijana wa Magu alikuwa akimvujia heshima Mzee Makamba

Sasa mtu anayedharau baba yako huwezi kumpenda!

Ila kwa michezo ya kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2015 kupitia kile tunachokiita goli la Mkono, January hafai kuwa raisi
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Ukosawa kweli Wewe January awe raisi? Zaidi ya asante kwa Mzee makamba toka kwa JK aliwahi Fanya nini? Afadhali tumpe mlemavu wa ubeligiji
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Hamuary ukiachiliq mapungufu yake ila kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana.

Angalia suala la mifuko ya plastic alivyolimaliza kwa akili kubwa.

ANgekuwa mwigulu watu wangekufaa
 
January ni mpigaji na anaongoza kishikaji, akiukwaa wengi watapewa mapande kama enzi za JK, wizi utarudi na uwajibikaji utaondoka kwa sababu itakuwa serikali ya washikaji.

Kingine nilichojifunza ameweka pesa nyingi sana kuutaka Urais 2025, hajajifunza kwa EL, yoyote ambaye anaonekana mroho wa madaraka ni wa kuogopwa kama ukoma.
Mimi mwenyewe nilikuwa namkubali ,,,lakini baada ya zile clips za Nape,Makamba na Kinana kuvuja wakipanga mipango imani yangu ilitoweka kabisa kwa huyo brother.Na Veronica France sasa hivi ndo anaibua uozo mwingine zaidi ,yaani ni shida
 
January atarudi kwenye system.

Kuhusu Magu, Magu naye hakuwa fair kwa mzee Makamba, Mzee Makamba amewahi kulalamika kiutu uzima kuwa ushauri wake umewahi kuitwa wa "kipumbavu" na Magufuli

Pia Musiba ambaye tunajua alikuwa ni kijana wa Magu alikuwa akimvujia heshima Mzee Makamba

Sasa mtu anayedharau baba yako huwezi kumpenda!

Ila kwa michezo ya kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2015 kupitia kile tunachokiita goli la Mkono, January hafai kuwa raisi

System ipi ambayo hayuko unayo maanisha hapa?
Hafai kwasababu ya kuvuruga uchaguzi au hana uwezo kwa maana ya CV mazonge mazonge na vitu kama hivyo?
 
Ukivuruga chaguzi za wananchi huna tofauti na mhaini, kwa hiyo hufai kuprwa dhamana za juu za uongozi wa nchi
 
Kupita ubunge bila kupingwa ndio kuvuruga uchaguzi? Baraza la Kiswahili sijasikia kuwa mwaka huu lime badilisha maana ya neno karisma. Nilicho sikia ni CDF kusema hamna amirat tunaendelea na amiri.
 
Ukiondoa Ki smart cha kupendwa na watu for no reason km mzee wake wa Msoga (sijui wana share Mgaga)...jamaa ni debe tupu ila lilozungukwa na mchwa wegi...
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
hyo sio mapenzi unampenda halafu unatia walakin tena.
 
January ni mpigaji na anaongoza kishikaji, akiukwaa wengi watapewa mapande kama enzi za JK, wizi utarudi na uwajibikaji utaondoka kwa sababu itakuwa serikali ya washikaji.

Kingine nilichojifunza ameweka pesa nyingi sana kuutaka Urais 2025, hajajifunza kwa EL, yoyote ambaye anaonekana mroho wa madaraka ni wa kuogopwa kama ukoma.
Kwani mwizi uliisha lini hapa Tanzania?
 
Tusubili uzao Mpya labda utakosa kasoro bt kwa wanasiasa tulonao wote wana madoa kuwatofautisha ni utashi tu bt January ana kariba ya uongozi ni state body.
Umekuja nayo hii, vizuri ..ila sijaupokea vema..

Kwamba ana "Kariba ya uongozi is State body" would you care to expand on this.. and more importantly on the word "Kariba" am lost

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.

Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa nyingi sana.

Amekuwa waziri kwa muda mrefu, ana mazuri yake sawa.

Nimeshangazwa hata yule dada wa US nae anampigia chapuo na sio Mara ya kwanza, kwa nini anapigiwa Sana promo?

Hapa hakuna walakini? Yote kwa yote namkubali Sana na natamani siku moja aje kuwa namba 1, Ila hizi promo afanye namna aepukane nazo.
Waingereza wana msemo wao
" DO or DIE "
Ndivyo ilivyo kwa bwana huyu yaani kwa udi na uvumba na manemane .....
 
Back
Top Bottom