Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

Hatumuwazii Malawi maana sisi tunawaza maendeleo, anachotaka Malawi kutuyumbisha

Samahani, britanicca....nisamehe bure...nilikuelewa vibaya nilidhani neno 'hatumuwazi' ulikuwa umekosea spelling ukimanisha 'hatumuwezi'....Duh, samahani sana...
 
Ushirikiano wa kijeshe hauna mipaka,nenda pale Lugalo au Monduli utakutana wanajeshi wa mataifa mbalimbali.
Wamekuja kusoma na wengine wamekuja kutufundisha vitu ambavyo hatujajifunza.
 
Samahani, britanicca....nisamehe bure...nilikuelewa vibaya nilidhani neno 'hatumuwazi' ulikuwa umekosea spelling ukimanisha 'hatumuwezi'....Duh, samahani sana...
Yes ndo maana yangu
 
Mimi nadhani ni maelewano tu kama wanavyoelewana kiuchumi na mataifa kama china katika biashara, basi hawa wamekubaliana kusaidiana kijeshi. Hakuna tatizo lolote.
Ni mawazo yangu.

Bunyebunye
 
Wapi ambako hakuna ubaguzi? Marekani? Kuna ubaguzi wa weupe na weusi kibao! Uchagani na Pemba hakuna ubaguzi?
Asia hawa wabaguzi japo tumawa term kama Europeans lakin mabaguzi
 
Matokeo yake n kama haya hali ya uchumi kushneh manake anajifanya anawapenda wachina wazungu wana akili sana watamgalagaza kama mugabe
 
Mmarekan mnafk sana na hafai kutoa mafunzo kwa wajesh wetu wa ulinzi na usalama hataaaaaaaaaa kwa sec
 
Kwanini tusichague German
Ujerumani ni wazuri kwenye logistics
Ukitaka upate wanajeshi wazuri kwenye logidtics peleka ujerumani
Na wanatusaidia sana mpaka Lugalo hospital imekuwa rufaa ni wao mafunzo na vifaa
 
Ninavyofahamu mimi ushirikiano wa Tanzania na USA ni wa kiuchumi na kibiashara zaidi na siyo masuala ya kijeshi...naishia hapo kwani masuala ya jeshi ni nyeti, siyo kuzungumzia mambo hayo mtandaoni, ni masuala yanayohusu usalama wa nchi...
Thread kama hizi ingekuwa vyema kama zingeliangaliwa upya na moderators kama zinatosha kuendelea kujadiliwa Jukwaani.
Ni sawa na kutoa mafunzo/siri ya/za kijeshi kwa adui usiyemjua.
 
Kwanza ufahamu tunaruhusiwa kwenda kokote kupata elimu yeyote.yeye km anaona uhusiano wetu na wake hauna manufaa si anasitisha? Unapopeleka nchi tofauti unapata vionjo tofauti pia kuna faida ya kimazingira,kimfumo kiuchumi nk. Ukiwa una diverse ya mafunzo.
Mwisho mkuu kupanga ni kuchagua usije ukaweka mayai yako yote katika kapu moja maishani
 
Back
Top Bottom