mkulukunde
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 313
- 199
Anapiga za usoHuyo mzushi kimambi
Anapiga za usoHuyo mzushi kimambi
China wana madharaNi bora tuwe vibaraka wa china kuliko Us,Uk na Urusi manake china wanafaidika hadi raia wa chini.
Ila ni wabaguziAt least hawatatufungia mambo ya hao wengine.
Russians wanatoa mafunzo mazuri na utaalamu pia, ni vizuri wakaleta na meli zao kabisa wakawa based hapa na zingine ndogo wakaziweka lake Nyasa
Basi Tanzania ni wakupotea msaada toka kwa wote, china nao nshawaona mitaa ya kigambon navyNinavyofahamu mimi ushikiano wa Tanzania na USA ni wa kiuchumi na kibiashara zaidi na siyo masuala ya kijeshi...naishia hapo kwani masuala ya jeshi ni nyeti, siyo kuzungumzia mambo hayo mtandaoni, ni masuala yanayohusu usalama wa nchi...
Nyasa [emoji23] [emoji23]At least hawatatufungia mambo ya hao wengine.
Russians wanatoa mafunzo mazuri na utaalamu pia, ni vizuri wakaleta na meli zao kabisa wakawa based hapa na zingine ndogo wakaziweka lake Nyasa
Una maana Russians? Ubaguzi upo kila mahali weusi wanauwawa amerika kila leo, in fact hata sisi wapo racist wengi tu, Russians nimefanya nao kazi sijaliona hilo tatizo kwao kwa huko kwao labda lakini likija suala la kazi ubaguzi pembeniIla ni wabaguzi
Huona wameshupalia mipaka? Ngoja tuweke kambi ya uhakika hapo [emoji109]Nyasa [emoji23] [emoji23]
Basi Tanzania ni cha wote, china nao nshawaona mitaa ya kigambon navy
OkMmmmmh inaelekea wewe bado ni kijana mdogo hujui historia ya Jeshi la Tanzania...tungeonana tukiwa wawili tungezungumza mengi lakini siyo mtandaoni...Ila naomba ufute maneno 'Tanzania ni cha wote'...Kwa kuwa inaelekea wewe bado ni kijana mdogo nakuomba tu uwe na imani na jeshi letu...Hii nchi iko salama, usicheze na TPDF na majeshi yote ya ulinzi na usalama...
Mkuu "kishoka" ndo nini?Kuanzisha nyuzi ni moja ya kazi zako ulizojipa ama ulizopewa. Kujadiliana na wewe kwa hoja ni kupoteza muda, maana hoja sio nia yako.
... Bora nitazame 'kishoka' nikimaliza nijichue.
Nimeish Rostov Mara kadhaa nanusulikaUna maana Russians? Ubaguzi upo kila mahali weusi wanauwawa amerika kila leo, in fact hata sisi wapo racist wengi tu, Russians nimefanya nao kazi sijaliona hilo tatizo kwao kwa huko kwao labda lakini likija suala la kazi ubaguzi pembeni
Filamu za kikubwa, za mamba kumla mwanae...Mkuu "kishoka" ndo nini?
Naamini inatokea nchi nyingi duniani ni chuki binafsi kwa baadhi ya watu, pole ndio dunia ilivyoNimeish Rostov Mara kadhaa nanusulika
Nimeuliza madhara hasi na chanyaWwe mbona unashirikiana na sisi na hakuna madhara yoyote na ndo maana umekua huru kuandika ugoro kama huu
Wala Malawi hatumuwaziiiHuona wameshupalia mipaka? Ngoja tuweke kambi ya uhakika hapo [emoji109]
Wamepitwa na wakatiKwanini tusichague German
Wala Malawi hatumuwazi
Hatumuwazii Malawi maana sisi tunawaza maendeleo, anachotaka Malawi kutuyumbishaKauli kama hizi siyo nzuri, britanicca...
Ujerumani wapitwe na wakati?Wamepitwa na wakati