Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

toka uwe mshabiki wa ccm akili zote zimekutoka hayo ni mafunzo ya kijeshi ww leo hii urusi akifanya madunzo ya kijeshi na nchi yyte ya NATO au U.K utasema hiyo ni mafunzo tu
anachokizungumza jamaa kina ukweli sema ti impact yake ni ndogo sababu taifa letu si kubwa kijeshi na kiuchumi
tunafahamu tanzania haifungamani na upande wwte lakini hii seta ni ya ki makarayasi na sio uhalisia
Mkuu umekua kimya sana
 
Niliyasema haya upitie upya uzi
 
They do understand each other without using English language since none of them is fluent in it.
 
Hakika
Elimu mtu anaruhusiwa kusoma popote duniani.Kuna hadi wamarekani wanasoma vyuo vya urusi na wako warusi wanasoma vyuo vya marekani.Elimu ziko nyingi kuna za kawaida au za kijeshi.Waweza soma popote au kufundishwa na yeyote.Hilo hata wamarekani wanajua.Hata wewe uko huru kwenda kusoma urusi au marekani ukitaka.Au kusoma hapa hapa ukifundishwa na mwalimu wa kirusi au kimarekani elimu yoyote ya kawaida au kijeshi
 
Back
Top Bottom