Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,924
- 20,912
Namaste everybody
Heshima zenu wakuu.
Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa.
Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri. Nyimbo zilikuwa ndefu, unakuta nyimbo dakika 10, mpangilio mzuri wa mashairi.
Personally naukubali.