Kuna Mzungu kafia hotelini may fair Dar es Salaam

inasemekana jamaa alimeza madawa ya kulevya... sasa mzigo ulimpasukia tumboni akiwa mwenyewe chumbani...
 
Hawa jamaa nao hawana kazi huku tz sema nji hii wagen wana Uhuru kuliko wazalendo njia nyingine Usikute tuu unazagaazagaa utakiona
 
Kuna siku nimeandika humu kuwa watumishi wengi wa umma huwajali zaidi wageni kuliko raia wenzao hata kama wageni hao wanakiuka sheria, mtu mmoja akapinga sana,
 
Na hiyo bomba hapo alivunja kabla hajafa??!!
Kwa nini isiwe aliteleza akagonga hilo bomba then kichwa chini hapo kwa tub labda akasema akae asikilizie ndio akafia hapo akiwa amekaa na huo mchirizi wa damu uwe ulitokana na hiyo kuanguka na kujigonga????!!!
 
Nyingine hiyo...mmmmhhhh dawa za kulevya ndo zimtoe maviungo ya ndani...mmhh...shidaa..hiyo hotel nao hawafanyagi usafi khaaa
 
Attachments

  • 1410847133478.jpg
    1410847133478.jpg
    49.3 KB · Views: 785
Na hiyo bomba hapo alivunja kabla hajafa??!!
Kwa nini isiwe aliteleza akagonga hilo bomba then kichwa chini hapo kwa tub labda akasema akae asikilizie ndio akafia hapo akiwa amekaa na huo mchirizi wa damu uwe ulitokana na hiyo kuanguka na kujigonga????!!!

You know Africans dear... tunaconclude facts hata zisizokuepo...
 
Nyingine hiyo...mmmmhhhh dawa za kulevya ndo zimtoe maviungo ya ndani...mmhh...shidaa..hiyo hotel nao hawafanyagi usafi khaaa
walikuwa wanafanya usafi kila baada ya siku 3 au mbili coz mwenyewe alikuwa anaweka 'do not diaturb' so hata hapo aliweka DND ILA siku zilivyozidi ndo wakapata wasiwasi
 
Hizo koki pacha za bomba zimechomoka mahala pake, kama palikuwa na mpambano hivi!!!
 
Nadhani aliingia hapo bafuni ili aanze kutoa pipi alipohisi zinaanza kuleta mchepuko.
 
Na hiyo bomba hapo alivunja kabla hajafa??!!
Kwa nini isiwe aliteleza akagonga hilo bomba then kichwa chini hapo kwa tub labda akasema akae asikilizie ndio akafia hapo akiwa amekaa na huo mchirizi wa damu uwe ulitokana na hiyo kuanguka na kujigonga????!!!

Mkuu vifo huja na mazingira tofauti tofauti!huenda hizo bomba hapo ni ile hali ya kupigania uhai wakati roho inatakiwa kutoka!
 
Back
Top Bottom