Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,382
- 13,194
Nimesikia tetesi kuwa kuna Mzungu kakutwa kafia ndani ya Hotel maeneo ya Myfair na yasemekana Mwili wake umekutwa na michiliziko ya damu iliyokauaka room ilipoanza kutoa harufu baada ya siku ya nne ndipo walipojua kuna mtu kandei... sasa kama alikuwa na huo ugonjwa si keshaueneza kuanzia airport hadi hapo hotelini...!
Mwokozi nitoe Roho niepuke hili balaa Maisha tunayachezea leo hii tunashangazwa na Watendaji wetu
Mwokozi nitoe Roho niepuke hili balaa Maisha tunayachezea leo hii tunashangazwa na Watendaji wetu