Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
:thumbdown:
hata mimi pia jamani acheni kuvunja watu mbavu hii ishu inatisha hebu tuwekeeni picha ya ukweli
Hiyo picha hapo juu imenifanya nicheke japo hili swala ni serious.
Wengine huweka hii kabisa........
![]()
Only kilaza kama wewe utaamini hiyo picha
Alimeza dawa za kulevya, zikampasukia tumboni.
Nilikuwepo wakati anatolewa....harufu mbaya sana, utumbo ulitoka nje....jamani....wazungu twawapenda tu lakini mhhhhh!!!!
Hata mimi wakati nilipoenda "hani muun" na mchuchu wangu niliweka hiyo kitu mlangoni.Wengine huweka hii kabisa........
![]()