Kuna Mzungu kafia hotelini may fair Dar es Salaam

Kuna Mzungu kafia hotelini may fair Dar es Salaam

walikuwa wanafanya usafi kila baada ya siku 3 au mbili coz mwenyewe alikuwa anaweka 'do not diaturb' so hata hapo aliweka DND ILA siku zilivyozidi ndo wakapata wasiwasi

Aiseee anatisha ...utadhani ni zombie...hayo mautumbo nayo sijui yametokaje
 
utajiri wa chapuchapu nao ni karaha
 
Na hiyo bomba hapo alivunja kabla hajafa??!!
Kwa nini isiwe aliteleza akagonga hilo bomba then kichwa chini hapo kwa tub labda akasema akae asikilizie ndio akafia hapo akiwa amekaa na huo mchirizi wa damu uwe ulitokana na hiyo kuanguka na kujigonga????!!!

Picha sio mkuu
 
walikuwa wanafanya usafi kila baada ya siku 3 au mbili coz mwenyewe alikuwa anaweka 'do not diaturb' so hata hapo aliweka DND ILA siku zilivyozidi ndo wakapata wasiwasi

Only kilaza kama wewe utaamini hiyo picha
 
Siku 4 ina maana walikuwa hawafanyi usafi kwenye hiyo room?

Ndugu yangu kuna hii kitu..........wakiikuta wale housekeepers wanahamia chumba ingine hata iwe mwezi mzima!!!

SignDoNotDisturb_res.jpg

Mungu tuepushie mbali .... maana Ebola inaweza kufanya life expectancy to decline to 22 once likomaa...
 
Back
Top Bottom