Kuna mzimu gani CCM?

Mzimu huo unaozunguzia hapa bila shaka chimbuko na asili yake hasa ni Chadema. Ebu fikiria mtu kama Lisu ambae alikuwa na misimamo na kauli zisizoyumbishwa na mtu yoyote, lkn mwaka 2015 kakubali kuyumbishwa na deki barabarani kapigishwa kama kawa na Lowasa. Hapo sijamzungumzia Mbowe ambae ni mweupe kbs ki misimamo.

View attachment 1863158

View attachment 1863164

View attachment 1863165
mzimu wenyewe unaitwa "Njaa"

Chadema wana viroja sana
 
Huwezi tenganisha ccm na umasikini.Umasikini ukipungua na ccm itatoweka.Ni nadra Sana kukuta mtu aliyeelimika akashabikia ccm labda tu kuna maslai anapata.Maana ccm ni muunganiko wa vyama vya kichawi vilivyoungana kumuomba shetani awasaidie kuwaondoa wakoloni rejea matambiko ya mapangoni bagamoyo kupitia shehe yahya, Forozo Ganze na wazee wengine masharti yepi waliambiwa na shetani wakayakubali hadi wakoloni wakafungasha bila damu, Nyerere akudai UHURU bidii ilifanywa na wazee Nyerere alipewa tu udereva lakini hakununua gari.Baada ya kupewa udereva akaanza kuwafifisha waliompa udereva,moto ulipotaka kuwaka baada ya kwenda kinyume nao akawaanzishia bakwata Ili kuwapooza.Huwezi ukatenganisha ccm na umasikini.Umasikini uleta ujinga na mtu akiwa mjinga ni rahisi kudanganywa.
HIV kizazi Cha huyu mchawi forozo ganze kipo wapi hebu wajuzi wa Mambo tuchambulieni huyu kiumbe maana ndio alioshikilia dumba ya ccm inatakiwa kizazi Cha Sasa kinachotegemewa kuleta mabadiliko watambue kwa kina juu ya Mambo haya
 
Ikulu ni taasisi hivyo ukiingia pale unafuata unavyowekewa mezani bila hivyo .......
R.i.p magu
 
mataifa yote duniani hufanyiwa matambiko bt hakuna ujinga kama unaofanywa na ccm, mzimu unaowasumbua ccm ni ulafi wa madaraka na ubinafsi.
Hapa nakubali.We check kwa mfano ualimu ndio utoa viongozi wa juu wengi kila awamu lakini wakishapata tu nafasi ni ngumu Sana kuwakumbuka walimu wenzao.
 
Juzi walikua wanashangilia JPM kuondoka leo wanasema heri JPM

Sijui wako serious wapi hawa watu
Hakuna wanasiasa waongo, wenye uchu wa pesa na wanafiki kama hawa wa chadema. Wanachama wao wanawapambania wao, huku wao wanapambania matumbo yao. Just imagine..

2528007_20200919_173148.jpg
 
Huwezi tenganisha ccm na umasikini.Umasikini ukipungua na ccm itatoweka.Ni nadra Sana kukuta mtu aliyeelimika akashabikia ccm labda tu kuna maslai anapata.Maana ccm ni muunganiko wa vyama vya kichawi vilivyoungana kumuomba shetani awasaidie kuwaondoa wakoloni rejea matambiko ya mapangoni bagamoyo kupitia shehe yahya, Forozo Ganze na wazee wengine masharti yepi waliambiwa na shetani wakayakubali hadi wakoloni wakafungasha bila damu, Nyerere akudai UHURU bidii ilifanywa na wazee Nyerere alipewa tu udereva lakini hakununua gari.Baada ya kupewa udereva akaanza kuwafifisha waliompa udereva,moto ulipotaka kuwaka baada ya kwenda kinyume nao akawaanzishia bakwata Ili kuwapooza.Huwezi ukatenganisha ccm na umasikini.Umasikini uleta ujinga na mtu akiwa mjinga ni rahisi kudanganywa.
Umeongea mambo magumu
 
Kuna jambo nyeti na zito sana huwa halisemwi, kuna mtu amezungumzia deep state ambayo nayo sio hii tunayoifikiria... Jambo hili ni zito sana, JK alijaribu kutaka kulivagaa kilichotaka kumkuta ikabidi awe mpole aende mdogo mdogo amalize nngwe yake.....yupo mtu humu anajaribu sana kulizungumzia sana lakini tunamdharau na kumuona taahira...kujinasua kwenye hiyo minyororo ni kazi ngumu sana maana tayari makosa yalianzia awamu ya kwanza...

TANZANIA ni moja na wote ni watanzania na siku tukiuweka utanzania mbele na kuanza kufanya mambo na kupendana kama watanzania kutoka tanzania bila kuangalia factors nyingine tunaweza kujinasua japo vita yake itakuwa ngumu....macho yakawaida hayaoni mambo mengi sana
 
Kuna mzimu fulani ndani ya CCM ambao una nguvu kubwa kuliko ambavyo mtu anaweza kufikiria. Mzimu huu haonekani wala hwezi kuushika. Lakini upo.

Mtu anapokuwa nje ya mfumo wa CCM na serikali yake anaweza kuonekana kuwa mtu wa busara na hekima. Mtu kama kama huyu akiongea huwa anatema nondo tu.

Chukua wanazuoni waliokuwa maarufu kama Prof Kabudi, Dr Mwakyembe na kadhalika. Watu hawa walikuwa wanatema nondo kila mara walipokuwa wanazungumza

kwenye midahalo iliyokuwa inarushwa kwenye runinga. Lakini walipoingia ndani ya mfumo wa CCM wakakumbana na mzimu wa CCM na nguvu zake. Walifanya turnaround ya 360 degrees

na kufanya kinyume cha kile waliokuwa wakikiamini hapo awali. Wengine kama Dr Mwakyembe walikana maadiko yao. Yote haya ni matokeo ya mzimu huu wa CCM.

Lakini ngoja niwaambie kitu kimoja. Mzimu huu haufuati watu wa kawaida tu. Unaweza kufikiri kwamba mzimu huu unaongozwa na kuratibiwa na kiongozi mkuu wa nchi. Na ni sahihi kufikiria hivyo. Lakini sivyo.

Hebu turudi nyuma mwaka 2011 ambapo Rais JK alianzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Binafsi naamini JK alikuwa na dhamira ya kuipatia nachi katiba mpya ambayo mwenyewe alisema inaweza kulipeleka taifa mbele miaka 50 ijayo.

Hata mapendekezo ya tume ya Warioba yalipotolewa aliwaambia wana CCM wenzake kwamba wajiandae kisaikolojia kuwa na serikali 3. Ghafla mzimu usioonekana akini wenye nguvu ukajitokeza.

Siku anahutubia bunge la katiba akawa si JK tuliyekuwa tunamjua hapo awali. Tayari akwa ameshakuwa mhanga wa mzimu wa CCM. Mzimu usioonekana lakini wenye nguvu sana.

Kila nikichingulia ndani ya CCM siuoni mzimu huo lakini upo na unafanya kazi. Wala usidhani mzimu uko ndani ya Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ya CCM.

Hivi ni vyombo ambavyo Rais ndo mwenyekiti wake na anaweza kuviongoza na kuelekeza anavyoona inafaa. Lakini mzimu huu hauko katika vyombo hivyo.

Angalia sasa Rais Samia na suala la katiba mpya. Huyu alikuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge la katiba na alikuwa muumini wa katiba mpya. Ungedhani baada ya kupata madarka ya ofisi nr 1 angemalizia mchakato wa katiba. Lakini naye tayari naye amekuwa mhanga wa mzimu ambao uko ndani ya CCM.

Na kwa sababu amekuwa mhanga eti anazungumzia kwanza kujenga uchumi kana kwamba kujenga uchumi na kuwa na mchakato wa katiba mpya haviwezi kwenda pamoja!

Tufanyeje tuuondoe huu mzimu CCM?
Mara tu bunge LA katiba lilipopiga kura kuamua kupinga kura za siri mapendekezo ya kanuni,nikajua kwamba mchakato umeingiliwa na hofu kwamba mapendekezo yatapita kwa manufaa ya wanaotaka serkali tatu na tume huru ya uchaguzi.Umhimu was kura za siri ni kumshirikisha Mungu kupitia consciousness ya mtu binafsi pasipokuingiliwa.Mi naamini katiba mpya na bora itakuwa na manufaa kwa watu wote na vyama vyote
 
Kuna mzimu fulani ndani ya CCM ambao una nguvu kubwa kuliko ambavyo mtu anaweza kufikiria. Mzimu huu haonekani wala hwezi kuushika. Lakini upo.

Mtu anapokuwa nje ya mfumo wa CCM na serikali yake anaweza kuonekana kuwa mtu wa busara na hekima. Mtu kama kama huyu akiongea huwa anatema nondo tu.

Chukua wanazuoni waliokuwa maarufu kama Prof Kabudi, Dr Mwakyembe na kadhalika. Watu hawa walikuwa wanatema nondo kila mara walipokuwa wanazungumza

kwenye midahalo iliyokuwa inarushwa kwenye runinga. Lakini walipoingia ndani ya mfumo wa CCM wakakumbana na mzimu wa CCM na nguvu zake. Walifanya turnaround ya 360 degrees

na kufanya kinyume cha kile waliokuwa wakikiamini hapo awali. Wengine kama Dr Mwakyembe walikana maadiko yao. Yote haya ni matokeo ya mzimu huu wa CCM.

Lakini ngoja niwaambie kitu kimoja. Mzimu huu haufuati watu wa kawaida tu. Unaweza kufikiri kwamba mzimu huu unaongozwa na kuratibiwa na kiongozi mkuu wa nchi. Na ni sahihi kufikiria hivyo. Lakini sivyo.

Hebu turudi nyuma mwaka 2011 ambapo Rais JK alianzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Binafsi naamini JK alikuwa na dhamira ya kuipatia nachi katiba mpya ambayo mwenyewe alisema inaweza kulipeleka taifa mbele miaka 50 ijayo.

Hata mapendekezo ya tume ya Warioba yalipotolewa aliwaambia wana CCM wenzake kwamba wajiandae kisaikolojia kuwa na serikali 3. Ghafla mzimu usioonekana akini wenye nguvu ukajitokeza.

Siku anahutubia bunge la katiba akawa si JK tuliyekuwa tunamjua hapo awali. Tayari akwa ameshakuwa mhanga wa mzimu wa CCM. Mzimu usioonekana lakini wenye nguvu sana.

Kila nikichingulia ndani ya CCM siuoni mzimu huo lakini upo na unafanya kazi. Wala usidhani mzimu uko ndani ya Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ya CCM.

Hivi ni vyombo ambavyo Rais ndo mwenyekiti wake na anaweza kuviongoza na kuelekeza anavyoona inafaa. Lakini mzimu huu hauko katika vyombo hivyo.

Angalia sasa Rais Samia na suala la katiba mpya. Huyu alikuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge la katiba na alikuwa muumini wa katiba mpya. Ungedhani baada ya kupata madarka ya ofisi nr 1 angemalizia mchakato wa katiba. Lakini naye tayari naye amekuwa mhanga wa mzimu ambao uko ndani ya CCM.

Na kwa sababu amekuwa mhanga eti anazungumzia kwanza kujenga uchumi kana kwamba kujenga uchumi na kuwa na mchakato wa katiba mpya haviwezi kwenda pamoja!

Tufanyeje tuuondoe huu mzimu CCM?
Kajima pia kakwama unazani mchezo!? Ukishakuwa ndani ya kibuyu utaonaje nje sasa
 
CCM ndio tatizo la Tanzania.
 
Back
Top Bottom