Kuna mwenye uzoefu na matairi ya goodride?

nimeshazitumia kwa 3 yrs na safari chache za Arusha dar, iringa chacha, tatizo lake kubwa ni kuvimba Mwenyekiti side wall
 
nimeshazitumia kwa 3 yrs na safari chache za Arusha dar, iringa chacha, tatizo lake kubwa ni kuvimba Mwenyekiti side wall
Mkuu ni kweli kabisaa yana tabia ya kuvimba kwenye side wall na hii nimeshuhudia kwa watu kadhaa hivi
 
120,000/= moja mkuu gerezani pale. Nipo mkoa kwasasa ila kuna fundi anajua vema tairi kuzichagua maana nyingine mbichi na pia anajua kuzifunga. If you want his contacts I can help

Note: Gari yangu ni Crown
Naomba namba ya huyo fundi
 
Unapo nunuwa tairi kuna vitu vya kuzingatia kwanza.kusema aina hii ni bora kuliko ingine bila ya kusoma no zinazotakikana kwa tairi huwa ni makosa makubwa wengi wanafanya.pili ujazaji upepo kwa matairi ni kitu muhimu sana cha kuzingatia.ndipo utajua ubora wa tairi,sio kutizama muundo na saizi tu kuna no ambazo zinaumuhimu sana hasa kwa upepo,ubebaji,utembeaji wa tairi.
 
120,000/= moja mkuu gerezani pale. Nipo mkoa kwasasa ila kuna fundi anajua vema tairi kuzichagua maana nyingine mbichi na pia anajua kuzifunga. If you want his contacts I can help

Note: Gari yangu ni Crown

Tuaaidie basi namba ya hiyo fundi twende kesho
 
Back
Top Bottom