Biashara ya kukuza na kunenepesha Mbuzi!!

Xi jiping

JF-Expert Member
May 7, 2021
414
527
Nilikua na wazo hili muda sana.
Baada ya kufanya utafitu nikaona Kununua na kuuza mbuzi nikaona kma kununua mbuzi wadogo au waliokonda na kuwanenepesha kisa kuwauza itakua poa!!

Je kuna mtu mwenye uzoefu na hii biashara.


Kati ya makalannilizosoma soma kuusu zoezi hili pendwa

Hatua hii inayofanywa na mfugaji kabla ya kuuza mbuzi wake, huchukua takribani miezi miwili mpaka minne kabla ya kuchinja ama kuuza mbuzi wake.

SABABU ZA KUNENEPESHA
IMG_1298.jpg
 
Back
Top Bottom