Superleta
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 466
- 538
Nilikua napitia mashirika mengi wanatangaza kazi mbalimbali kipengele kikubwa wanataka mtu mwenye uzoefu tena unakuta ni miaka 5 hadi 7
Sasa ndugu zangu humu kuna mtu amewahi kuomba kazi hizi za NGO's na akapata akiwa from fresh student yaani kamaliza chuo na hana uzoefu wowote?
Nauliza maana nilimaliza chuo mwaka jana na nina degree ya Maendeleo ya Jamii natamani sana kuomba kazi kwenye mashirika ila hapo kwenye kigezo cha Uzoefu na pia wanataka mtu mwenye uwezo wa IT kabisa mimi sina elimu ya IT wala sina uzoefu kabisa ndo kwanza naanza kuzisaka hizo ajira