Kuna mwanaume anaeweza kusubiri?

Kuna mwanaume anaeweza kusubiri?

Sasa hamu zangu nitamalizia wapi? Unaniruhusu ku cheat indirectly. Lets be realistic, wakati hizo issue za kusubiri hadi ndoa zinapangwa au kuandikwa watu walikuwa wanaoa/kuolewa wakibalehe tu.

Sasa mimi na uzee huu uniambie nikusubiri hadi ndoa wewe ambae unaweza kuwa mzee mwenzangu si vituko hivyo? Hata nikikubali kuna mahali nitakuwa najipoza tu nikija kwako nazuga nina genye.
Duuh..
 
Maisha ya ndoa ni zaidi ya papuchi mnato au papuchi mdebwedo.Ndoa ni maisha ya zaidi ya watu wawili,majukumu ya maisha ni magumu sana.Muombe Mungu sana kupata mwenza ambaye ni rafiki kuliko kuwa Mke/Mme,kuna muda mnaweza kupitisha hadi mwezi hamja duu,hadi wife inabidi akuingie kiutani japo kukujenga kihisia.Mambo ya kibamia sijui bwawa kwenye ndoa halipo,kwani wachepukaji wote wake/waume zao wana mabwawa/vibamia? Hapana,ni hulka tu,kuna watu wana mihogo/minato lakini wenzi wao ndio mabingwa wa kuchepuka.Kuvumiliana ni rahisi kama mtaanzisha urafiki kwa kuambizana kila kitu kinacho wahusu
Nadhani hii inawahusu watu wanaojua maana ya kupenda
 
Mkuu;
Swali lako mbona rahisi tu ka abcd?? Mwanamume akikupenda kweli, hakika atakuheshimu na atakutunza sana. Upendo hauangalii hayo makando kando. Mwanamume anayetaka kukuvua pichu kabla ya ndoa, hakika hajakuthamini. Kama wewe ni mwaminifu kwa nini akuvue nguo kabla??
Kama akifanikiwa kukuvua kuna shida gani akiisha ondoka, huyo kijana wa chumba cha pili ambaye amekuwa akikununulia mlo si naye apate pipi kidogo??
Uaminifu huanza tangu siku mmeamua kupendana. Asikuguse hadi ndoa na wewe usimpe mtu mwingine tena hadi usiku huo wa ndoa. Msichana usijirahisishe kihivyo. Ndo maana huwa vijana wengine wanakuuliza; Umeshatembea na wangapi?? Ka huniambii ndoa hakuna. Mwisho kwa ujinga unaanza toa mahesabu na kuishia kuachwa bure.
Bado najiuliza kama wapo hawa vijana ktk nchi yangu, maana kila nakogeukia ni majanga. I'm so disappointed hadi nikaamua kurusha hewani..
 
Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa? Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninao waamini kua ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa. Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?
bora kupeana tu, kama ulitoa kabla yake y yeye asipate haki yake ya msingi😱
 
"Subira yng ndio iloniponza ngoja ngoja naonekana zoba" banana zoro
.
Unachomeshwa mahindi ukisubir ndoa halaf kunaboya huko anapewa mzigo free of charge ukija kugundua huwa inauma kupita maelezo...
.
Bora tumegane tu kisela tukiamianiana kwamba panapomajaaliwa tutaoana
Na kama huyo mwanamke hagawi kokote, unashindwa nini kuvumilia
 
Kama bikra sawa. Ila tayari huko alafu mie unisubirishe?



☆Steve
 
Ukiwa huna pesa au Bahili Hayo majibu utaaambiwa sana! wakati we unasubiri kwanza wanapewa wenye pesa zao.....
 
Kwa sasa hivi unajidanganya, unamchumbia binti mwenye vidume 6, wakati wewe unamsubiri mpaka mfunge ndoa vidume wenza vinachapa mzigo!!
 
Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa? Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninao waamini kua ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa. Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?
Wapo na wameshika neno LA Mungu sawasawa
 
Kusubiri kwa maana ipi?

wewe si bikira?atakusubiri wewe..

au unataka hata huko pembeni nako asiende kabisa?

wanaume kibaiolojia sex ni kutoa kitu..
ina release a lot of tension inasaidia mtu ku think straight..

inamuepusha na mifadhaiko mbali mbali...


Kama unataka akusubiri wewe ni sawa..
lakini akishindwa huko pembeni usimlaumu


wengine wakiwa na mahitaji ya sex wanaweza kuwa 'wehu' kidogo
unachokiweza wewe sio kila mtu anakiweza.....

watu wanakula chakula daily.....unafikiri maana halisi ya afya njema ni ipi?
Nimekuelewa mkuu, maximum unaweza kuvumilia bila kufanya sex Kwa mda gani
 
Yes tunaweza kusibiria bila shaka...

Tatizo lipo kwa mwanamke... Mwanaume unaweza kuvumilia na kusubiria, lakini mwisho wa siku mwanamke unayemsubiria anakuja kuliwa kizembe na mwingine... Alafu anakuja na story za bahati mbaya...


Cc: mahondaw
Always tatizo ni mwanamke duuuuuh!!!!
 
Kwa sasa hivi unajidanganya, unamchumbia binti mwenye vidume 6, wakati wewe unamsubiri mpaka mfunge ndoa vidume wenza vinachapa mzigo!!
Hivi inawezekana hii kitu? Huyo atakuwa hayuko tayari kwa ndoa maana tabia hiyo hawezi acha hata baada ya ndoa.
 
Kusubiriana haimo. Mnafika kwenye ndoa mnakuta kibamia na bwawa ndoa itakuwepo kweli? Bora ujaribu ujue ni kipi utaenda kukitumia kwa maisha yako yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom