Usishikilie kitu, kana kwamba kuto kufanya hio kitu ndipo utauona ufalme wa mbinguni.Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa? Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninao waamini kua ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa. Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?
Kwa hiyo utaoa kwa kufuata papuchi mnato? Ndoa zijazo kuna haja kuwa za kiserikali.Kuwe na uhamisho wa mwanaume huyu kuhamia kwa mwanamke mwingine kama waajiriwa wa serikali wanavyo hamishwa kwenye vituo vyao vya kaziNikusubiri mpaka nikuoe then tukifika kwenye ndoa nakuta una uwanja wa taifa na mimi gitaa langu dogo,nikipiga huo mziki mashabiki hawawezi kusikia.
Sio dhambi, ni nature na huwezi bishia nature. Fuatilia habari za mitume ktk Bible na Quaran!! Hao mababa wa imani walizivuruga sana nyuchiDo not justify dhambi kwa interests zako binafsi
Tatizo ndoa za siku hizi zimekuwa ndefu uchumba miaka 5 uliona wapi kawaulize wazee ukifikisha miaka 17 wakati mwili umeanza kuchemka unapewa mke sasa wewe mpaka 35 ujaolewa na kuoa unatengemea nini ndio hicho kinachoonekana kwa sasa, gharama za ndoa mambo mengi yasiyo ya msingi yameletwaHili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa? Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninao waamini kua ni wacha Mungu wanafanya ngono kabla hawajaoa na kusali wanasali sana tu, inatishia amani hata kwa wadogo zetu mabikra watajifunza nini hapa. Kwani kama unampenda mtu akakwambia msubiri tatizo liko wapi? Si unampenda au siku hizi watu hawapendi?



Naaaaam Mkuu tupo.....Wapo.