Kuna Mwanaume anaenda kusingiziwa Mimba ambayo sio yake

Kuna Mwanaume anaenda kusingiziwa Mimba ambayo sio yake

Kweli wajingaa bado wapo lait ungejua wew ndo muhusika ambaye umelegwa kusingiziwa iyo mimba ila ametumia trick moja hatar sana yaani utakuja kuniambia wew ndo upo kwenye mtego wa kulea mimba mpaka mtoto soon........Uyooo dem ni haland mtupu soon utakula gori tatu muhimu.......
You nailed it bro😊
 
Okay kama ungekua na mke mambo yangekuja kuwa ovyo huko mbele....ila kwa sasa tulia tu uuangalie mchezo, binafsi haingii kwanini akuambie kuigawa mimba yako ingekua kweli si angeuchuna tu??? Anyway.... ukweli wa yote anaujua mama kijacho uwezekano ni mkubwa kuwa sio yako
Kiukweli hata mm nilijiuliza hilo kwamba kwanini asiuchune tu, mbaya zaidi wakati ananipa hizo taarifa alianza kwa kuniambia nanukuu "Unajua sisi Wanawake tuna mambo mengi pia usiamini vitu vyote unavyoambiwa hasa na Wanawake"

I wish ningemrekodi asee

Lakini kitu kingine kinachoniweka njia panda ni kwamba anajua kama mm nasafiri naenda nchi Jirani tu hapo, sasa aliniambia "Bora hata hutakuwa ukiishi huku maana ungenisumbua na Uzuri hupajui kwetu"
 
Mimi nafikiri serikali itubge sheria dhidi ya paternity fraud..mwanamke arudishe gharama alizofanyiwa na huyo aliemsingizia kwa style hii tutakomesga haya maswala...ya kusingiziana...kizembe
 
Et think biologically.

Unaijua maana ya maisha (from a biological point of view)?

Kama unaijua, what do we call the act of taking life?

And since umeanzisha moral debate, is killing not a sin?
bado unawaza kiafrica
 
Mungu alivyomjanjest yaani mjanja kupitiliza mtoto anazaliwa anafanana na wewe aloo sijui huyo demu atakaa mkao gani
 
Umewaza sana!
Kweli wajingaa bado wapo lait ungejua wew ndo muhusika ambaye umelegwa kusingiziwa iyo mimba ila ametumia trick moja hatar sana yaani utakuja kuniambia wew ndo upo kwenye mtego wa kulea mimba mpaka mtoto soon........Uyooo dem ni haland mtupu soon utakula gori tatu muhimu.......
 
Iko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini habahatiki kushika mimba, anadai Mahusiano yake ya mwisho ambayo yalikuwa serious yamedumu mwaka na miezi kadhaa lakini mambo bado yakawa magumu (hakuweza kupata mimba)

Mahusiano yao na huyo mtu yakafa kwasababu wanazozijua wao, lakini Sasa huyu mwanamke amekiri kwamba alishawahi kutoa mimba kipindi Cha nyumba akidai kwamba hakutaka kuzaa na mtu ambae tayari ana familia, yani hataki kuzaa na Mume wa mtu na pia hataki kuzaa na Mwanaume ambaye tayari ana mtoto,

Sasa bhana leo huyu mwanamke ametoka kwangu hapa sasa hivi kuniambia kwamba ameshika ujauzito kitu ambacho yeye pia haamini kama ni kweli japokuwa amepima na kuthibitisha, ila sasa mtiti upo hapa[emoji1484]

Demu kaniomba kwamba anataka iwe Siri yangu Mimi na yeye tu kuhusu hiyo mimba, Kuna mtu anataka kumpatia hiyo mimba, Nikamuuliza "unataka kumpatia nani?"

"Unajua (Jina langu) Mimi na wewe hatujapanga kuwa na mtoto, mm kuna mtu namjua ndio nataka nimwambie hii mimba ni ya kwake, kwahiyo hilo ww niachie mm"

Amenishangaza kwakweli baada ya kuniambia hivyo ila sikutaka kumuoneshea, Nikamuuliza tena bila ya kupanic "kwahiyo nilikubaliana na ww hapa Ina maana huyo mtoto anakuwa sio wangu tena, na kwanini unataka kufanya hivyo?" Akanijibu

"(Jina langu) nimekuambia kwasababu nakupenda na umeweza kunipa kitu ambacho nimekuwa nikikitafuta kwa muda mrefu sana kwahiyo naomba tukubaliane katika hili kwasababu nilikuwa na uwezo wa kukaa kimya na usingejua lolote kuhusu Mimi"

Nikamuambia nikikataa je? "Naitoa, Bora niitoe tukose tu wote"

Alivyonambia Habari za kutoa tena mimba nikaona kweli huyu yupo serious, ila huyu mwanamke alinambia yupo katika Mahusiano na mtu ambaye ana muhudumia kwa Kila Kitu lakini anahisi huyo jamaa ni kama ana familia kwasababu ikifika usiku mawasiliano yanakuwa hafifu kwasababu hawaishi pamoja.

Sasa wadau nilichokifanya mm nikamwambia tu aende nyumbani kwanza aniache peke yangu nitafakari then nitamjibu

Ila kiukweli wakuu nilichoamua ni kwamba nimkubalie tu kufanya hivyo alivyoamua kufanya kuliko nimkatalie harafu akaenda kuua hicho kiumbe ambacho hakina hatia na pengine anataka kumpa mtu ambaye mwenye uhitaji nacho zaidi yangu, sema ubaya ni kwamba jamaa anaenda kudanganywa kama mimba kaidungisha yeye kitu ambacho sicho

Kama kuna maamuzi mengine mazuri zaidi ya hayo ebu nishaurini kabla sijamtamkia rasmi nilichokiamua
yaani ukaingia kavukavu...such a fool!
 
Kweli wajingaa bado wapo lait ungejua wew ndo muhusika ambaye umelegwa kusingiziwa iyo mimba ila ametumia trick moja hatar sana yaani utakuja kuniambia wew ndo upo kwenye mtego wa kulea mimba mpaka mtoto soon........Uyooo dem ni haland mtupu soon utakula gori tatu muhimu.......
Amepangwa kinoma,afu amejaa mazima.🤣
 
Kweli wajingaa bado wapo lait ungejua wew ndo muhusika ambaye umelegwa kusingiziwa iyo mimba ila ametumia trick moja hatar sana yaani utakuja kuniambia wew ndo upo kwenye mtego wa kulea mimba mpaka mtoto soon........Uyooo dem ni haland mtupu soon utakula gori tatu muhimu.......
NAUNGA HOJA
 
Back
Top Bottom