Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Hujakosea mkuuMadam! You sound familiar, ww si yule mwenye tulipatana tukutane Weekend?

Lakini ukae ukijuwa kuwa mwanamke huwa anaanza kudanganya kwanza kuwa ana mimba ili kuona uelekeo wako akiona unauelekeo wa kumsikiliza na kukubali ndo anakuja na hoja yake kuwa ana mimba yako bila kujali ni yako ama laa kwani huwa wanataka mwanaume wa kumlea na si vinginevyo, usilala ndugu amkaSasa na ww mkuu, kuthibitisha mimba ni ya kwangu si ni mpaka mtoto azaliwe, lakini vipimo vya kuthibitisha kama mimba imedungishwa vipo
Mipango tuliifanya kwenye huu uzi?Sasa imekuaje tena Weekend imetupita Madam
AiseeIko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini habahatiki kushika mimba, anadai Mahusiano yake ya mwisho ambayo yalikuwa serious yamedumu mwaka na miezi kadhaa lakini mambo bado yakawa magumu (hakuweza kupata mimba)
Mahusiano yao na huyo mtu yakafa kwasababu wanazozijua wao, lakini Sasa huyu mwanamke amekiri kwamba alishawahi kutoa mimba kipindi Cha nyumba akidai kwamba hakutaka kuzaa na mtu ambae tayari ana familia, yani hataki kuzaa na Mume wa mtu na pia hataki kuzaa na Mwanaume ambaye tayari ana mtoto,
Sasa bhana leo huyu mwanamke ametoka kwangu hapa sasa hivi kuniambia kwamba ameshika ujauzito kitu ambacho yeye pia haamini kama ni kweli japokuwa amepima na kuthibitisha, ila sasa mtiti upo hapa[emoji1484]
Demu kaniomba kwamba anataka iwe Siri yangu Mimi na yeye tu kuhusu hiyo mimba, Kuna mtu anataka kumpatia hiyo mimba, Nikamuuliza "unataka kumpatia nani?"
"Unajua (Jina langu) Mimi na wewe hatujapanga kuwa na mtoto, mm kuna mtu namjua ndio nataka nimwambie hii mimba ni ya kwake, kwahiyo hilo ww niachie mm"
Amenishangaza kwakweli baada ya kuniambia hivyo ila sikutaka kumuoneshea, Nikamuuliza tena bila ya kupanic "kwahiyo nilikubaliana na ww hapa Ina maana huyo mtoto anakuwa sio wangu tena, na kwanini unataka kufanya hivyo?" Akanijibu
"(Jina langu) nimekuambia kwasababu nakupenda na umeweza kunipa kitu ambacho nimekuwa nikikitafuta kwa muda mrefu sana kwahiyo naomba tukubaliane katika hili kwasababu nilikuwa na uwezo wa kukaa kimya na usingejua lolote kuhusu Mimi"
Nikamuambia nikikataa je? "Naitoa, Bora niitoe tukose tu wote"
Alivyonambia Habari za kutoa tena mimba nikaona kweli huyu yupo serious, ila huyu mwanamke alinambia yupo katika Mahusiano na mtu ambaye ana muhudumia kwa Kila Kitu lakini anahisi huyo jamaa ni kama ana familia kwasababu ikifika usiku mawasiliano yanakuwa hafifu kwasababu hawaishi pamoja.
Sasa wadau nilichokifanya mm nikamwambia tu aende nyumbani kwanza aniache peke yangu nitafakari then nitamjibu
Ila kiukweli wakuu nilichoamua ni kwamba nimkubalie tu kufanya hivyo alivyoamua kufanya kuliko nimkatalie harafu akaenda kuua hicho kiumbe ambacho hakina hatia na pengine anataka kumpa mtu ambaye mwenye uhitaji nacho zaidi yangu, sema ubaya ni kwamba jamaa anaenda kudanganywa kama mimba kaidungisha yeye kitu ambacho sicho
Kama kuna maamuzi mengine mazuri zaidi ya hayo ebu nishaurini kabla sijamtamkia rasmi nilichokiamua
🤣🤣We unajuaje kama haujasingiziwa?
Mban una hatari wew kijanaIko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini habahatiki kushika mimba, anadai Mahusiano yake ya mwisho ambayo yalikuwa serious yamedumu mwaka na miezi kadhaa lakini mambo bado yakawa magumu (hakuweza kupata mimba)
Mahusiano yao na huyo mtu yakafa kwasababu wanazozijua wao, lakini Sasa huyu mwanamke amekiri kwamba alishawahi kutoa mimba kipindi Cha nyumba akidai kwamba hakutaka kuzaa na mtu ambae tayari ana familia, yani hataki kuzaa na Mume wa mtu na pia hataki kuzaa na Mwanaume ambaye tayari ana mtoto,
Sasa bhana leo huyu mwanamke ametoka kwangu hapa sasa hivi kuniambia kwamba ameshika ujauzito kitu ambacho yeye pia haamini kama ni kweli japokuwa amepima na kuthibitisha, ila sasa mtiti upo hapa[emoji1484]
Demu kaniomba kwamba anataka iwe Siri yangu Mimi na yeye tu kuhusu hiyo mimba, Kuna mtu anataka kumpatia hiyo mimba, Nikamuuliza "unataka kumpatia nani?"
"Unajua (Jina langu) Mimi na wewe hatujapanga kuwa na mtoto, mm kuna mtu namjua ndio nataka nimwambie hii mimba ni ya kwake, kwahiyo hilo ww niachie mm"
Amenishangaza kwakweli baada ya kuniambia hivyo ila sikutaka kumuoneshea, Nikamuuliza tena bila ya kupanic "kwahiyo nilikubaliana na ww hapa Ina maana huyo mtoto anakuwa sio wangu tena, na kwanini unataka kufanya hivyo?" Akanijibu
"(Jina langu) nimekuambia kwasababu nakupenda na umeweza kunipa kitu ambacho nimekuwa nikikitafuta kwa muda mrefu sana kwahiyo naomba tukubaliane katika hili kwasababu nilikuwa na uwezo wa kukaa kimya na usingejua lolote kuhusu Mimi"
Nikamuambia nikikataa je? "Naitoa, Bora niitoe tukose tu wote"
Alivyonambia Habari za kutoa tena mimba nikaona kweli huyu yupo serious, ila huyu mwanamke alinambia yupo katika Mahusiano na mtu ambaye ana muhudumia kwa Kila Kitu lakini anahisi huyo jamaa ni kama ana familia kwasababu ikifika usiku mawasiliano yanakuwa hafifu kwasababu hawaishi pamoja.
Sasa wadau nilichokifanya mm nikamwambia tu aende nyumbani kwanza aniache peke yangu nitafakari then nitamjibu
Ila kiukweli wakuu nilichoamua ni kwamba nimkubalie tu kufanya hivyo alivyoamua kufanya kuliko nimkatalie harafu akaenda kuua hicho kiumbe ambacho hakina hatia na pengine anataka kumpa mtu ambaye mwenye uhitaji nacho zaidi yangu, sema ubaya ni kwamba jamaa anaenda kudanganywa kama mimba kaidungisha yeye kitu ambacho sicho
Kama kuna maamuzi mengine mazuri zaidi ya hayo ebu nishaurini kabla sijamtamkia rasmi nilichokiamua
Hpan usitoe mimba acha azae tu then kitajukikana mbelekwambeleHivi kutoa mimba ni dhambi ww? tumia akili yako vizuri ni bora utoe kuliko kumpakazia mtu wawatu. Alafu naww unapenda kumtesa huyo mtoto atakayezaliwa baadaye, fikiria mbali kidogo.
Tatizo mnaanza mahusiano wote mkiwa hamna akili timamu. Zamani ilikuwa nadra sana watoto kama ninyi kuanza mahusiano na kutaka watu wazima waje wachangie mawazo. Inasikitisha sana.Iko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini habahatiki kushika mimba, anadai Mahusiano yake ya mwisho ambayo yalikuwa serious yamedumu mwaka na miezi kadhaa lakini mambo bado yakawa magumu (hakuweza kupata mimba)
Mahusiano yao na huyo mtu yakafa kwasababu wanazozijua wao, lakini Sasa huyu mwanamke amekiri kwamba alishawahi kutoa mimba kipindi Cha nyumba akidai kwamba hakutaka kuzaa na mtu ambae tayari ana familia, yani hataki kuzaa na Mume wa mtu na pia hataki kuzaa na Mwanaume ambaye tayari ana mtoto,
Sasa bhana leo huyu mwanamke ametoka kwangu hapa sasa hivi kuniambia kwamba ameshika ujauzito kitu ambacho yeye pia haamini kama ni kweli japokuwa amepima na kuthibitisha, ila sasa mtiti upo hapa[emoji1484]
Demu kaniomba kwamba anataka iwe Siri yangu Mimi na yeye tu kuhusu hiyo mimba, Kuna mtu anataka kumpatia hiyo mimba, Nikamuuliza "unataka kumpatia nani?"
"Unajua (Jina langu) Mimi na wewe hatujapanga kuwa na mtoto, mm kuna mtu namjua ndio nataka nimwambie hii mimba ni ya kwake, kwahiyo hilo ww niachie mm"
Amenishangaza kwakweli baada ya kuniambia hivyo ila sikutaka kumuoneshea, Nikamuuliza tena bila ya kupanic "kwahiyo nilikubaliana na ww hapa Ina maana huyo mtoto anakuwa sio wangu tena, na kwanini unataka kufanya hivyo?" Akanijibu
"(Jina langu) nimekuambia kwasababu nakupenda na umeweza kunipa kitu ambacho nimekuwa nikikitafuta kwa muda mrefu sana kwahiyo naomba tukubaliane katika hili kwasababu nilikuwa na uwezo wa kukaa kimya na usingejua lolote kuhusu Mimi"
Nikamuambia nikikataa je? "Naitoa, Bora niitoe tukose tu wote"
Alivyonambia Habari za kutoa tena mimba nikaona kweli huyu yupo serious, ila huyu mwanamke alinambia yupo katika Mahusiano na mtu ambaye ana muhudumia kwa Kila Kitu lakini anahisi huyo jamaa ni kama ana familia kwasababu ikifika usiku mawasiliano yanakuwa hafifu kwasababu hawaishi pamoja.
Sasa wadau nilichokifanya mm nikamwambia tu aende nyumbani kwanza aniache peke yangu nitafakari then nitamjibu
Ila kiukweli wakuu nilichoamua ni kwamba nimkubalie tu kufanya hivyo alivyoamua kufanya kuliko nimkatalie harafu akaenda kuua hicho kiumbe ambacho hakina hatia na pengine anataka kumpa mtu ambaye mwenye uhitaji nacho zaidi yangu, sema ubaya ni kwamba jamaa anaenda kudanganywa kama mimba kaidungisha yeye kitu ambacho sicho
Kama kuna maamuzi mengine mazuri zaidi ya hayo ebu nishaurini kabla sijamtamkia rasmi nilichokiamua
nyote nyie mnamawazo ya kizamaniHpan usitoe mimba acha azae tu then kitajukikana mbelekwambele
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
kwann asikubali??? Heeee watanzania bhana. Kwani mimba ni nini? Upuuzi wawatu wawili walikuwa wanaburudishana au? Think biologically Bro.
Kwani kwani huyo ni katibu wa mchungaji?Hivi kwa Nini mnaanza mapenzi katika umri mdogo?
😀😀😀😀😀ndio hivyo itolee mbali huko.Khaaaaaaaa
Ww ni me au ke😀😀😀😀😀ndio hivyo itolee mbali huko.
Wanashabihiana.Kwani kwani huyo ni katibu wa mchungaji?