nywele moja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 251
- 354
Kama uzazi ulikataa mwanzo ,na amekuja PATA uyo kwa shida ASIJE akatoa iyo mimba ,anaweza asipate kabisa .....
na kufanya uzinziKidini zote ni dhambi SAwa na uuaji.
Dhambi, kupiga nyeto ni dhambi SAwa na muuaji, uzinzi ni dhambi SAwa na ya kuua.na kufanya uzinzi
Kwamba????Kwasababu kanithibitishia
Huyo Malaya tu kamaya wengine keshazoea kutupa watoto chooni!Sasa mkuu, nisipokubali anavyotaka huyu mwanamke amesema ataitoa na hiyo mimba yenyewe
Anacheza na akili yako na amefanikiwa.....hongera ba kijachoSasa mkuu, nisipokubali anavyotaka huyu mwanamke amesema ataitoa na hiyo mimba yenyewe
Sasa mbona sentence zako zinakinzana, Uhakika nilionao ni kwamba hataki kitu chochote kutoka kwangu, kwa hivyo hakuna mtu anayeweza kusingiziwa Mimba halafu asitake matunzo ya mtoto kutoka kwakoNawaza tu [emoji1484]
Una uhakika gani ya kuwa wewe ndo ume mdungisha mimba?
Uwezo wa kumlea mama mjamzito hauna,ndo maana umekubali ki rahisi.
Naona kuna mauaji mengine yatatokea juu ya hili swala.
Kwasababu hataki kitu chochote kutoka kwangu, na ndio nimethibitisha kwa vipimoMkuu tukishamwaga hatuzoi na wewe una uhakika gani km mimba ni yako?
Umethibitisha na vipimo?
Acha kujipa presha narudia tena tukishamwaga hua hatuzoi
Napita hivi...
Mkuu umenifurahisha sana, umenifanya nifikirie kdg nikawaza inaweza kua trick kali sana ya huyo demu kwa mwamba wetu, ili ajiandae kisaikolojiaKweli wajingaa bado wapo lait ungejua wew ndo muhusika ambaye umelegwa kusingiziwa iyo mimba ila ametumia trick moja hatar sana yaani utakuja kuniambia wew ndo upo kwenye mtego wa kulea mimba mpaka mtoto soon........Uyooo dem ni haland mtupu soon utakula gori tatu muhimu.......