Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,339
Ndo maana yake.Hakuna kuchukulia mambo siriazi sana.Ndiyo maana huwa nikirudi nyumbani kutoka kubeba mizigo stendi,watoto ni full shangwe.Hakuna nongwa.Haaaa haaa we Kamanda sana .No stress.
Nasikia eti inaleta nyege kwa mwanamke akitumiAJana nilipita mitaa ya makumbusho Kuna bishoo fln kijana nilikutana nae na kwa muonekano Ni mtanashati Sana tu .baada ya dakik kadhaa nikamuona anazama mfukoni na kuibuka na ugoro chapu akafungua na kuutia mdomoni ,nikasema kama huyu kijn anatumia HV vitu je kwa walio secondary s balah ..je nn mzuka wa kutumia ugoro mzuka wake ukoje
Haijajulikana Mara moja adhari za matumiz yake kiafya mpk sasa kwa watumiaji wake
HV ugoro c Kama bangi tu ukikamatwa nayo si kesi hyo ama vip ?
HV asili ya ugoro Ni kabila gani
Kwa wamasai wanaita ndiani je kwa kabila lenu mnaitaje ?
Note
Kuna rfk angu aliwai kutumia ugoro kumzima mwanamke aliyemnywea bia zake alichukua ugoro kidg na kuchanganya katik bia anazo tumia yule mwanamke badaa ya muda fln mwanadada alilewa na kushindwa kujitambua alijibebea mwanMke huyo kiulaini na kwenda nae kwake .mkp Sasa haijajulikana kilichotokea
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Leo Tena asbh nimesoma makal fln kuwa wanawake watumia ili kukata hamu ya nyege huko Tabora Kuna wanawake wameojiwa na kukiri kutumia ugoro kupoteza hamuNasikia eti inaleta nyege kwa mwanamke akitumiA
Duh!Hii nayo kiboko.😂😂😂Nasikia eti inaleta nyege kwa mwanamke akitumiA
Hatari hili nadhnai mamla ya dawa ilitazame na hiliWamasai wanatuharibia sana vijana wenzetu
Wakija mjini wanawafundisha kula ugoro .wanatema mate Kama nyoka.
Bado Ana double kick,Ana Winston,Ana bangi.kijana ukimuona sura imekomaaa kabla ya muda wake
Mie natamani kujua unatengenezwa na nini
HV unamtambuaje mtu mla ugoro achilia kutematemaWnavoongeaga sasa wala ugoro
Umejuaje mkuu? Yani navyovutaga lip ya chini mdoni halafu naumwaga na kuachia lip inaroll maamae kitu kinastumulate balaa.Huyu Maghayo anatumia
Ile ni fresh drugs haina chemical yoyote ni kama bhangi tu. ila madhara yake nasikia ni yanajikusanya baadae yanatengeneza TB japo nafikiri ni propaganda za Akina team Janabi
Watu wengi wanaokaa kwa dada zao huwa wanatumia ugoro kama kituliza maumivu ya kulala kwenye sofa sebuleniUmejuaje mkuu? Yani navyovutaga lip ya chini mdoni halafu naumwaga na kuachia lip inaroll maamae kitu kinastumulate balaa.
Wakati huo wewe hapo Kwa shemeji Yako sebuleni unavizia dogo mtoto wa dada yako abakishe msosi ubugie.
Ngoja wamasai waje mnk nais hao ndio waanzilishi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mzuka wake huo ni kunya kunya hovyo yani wakishabwia wanapata choo fasta na wakienda toi wanasikia rahaaa
Kama alivyosema Petro hapo ni kwamba, ugoro unatengenezwa kwa kukaanga tumbaku.Mie natamani kujua unatengenezwa na nini
hata bibi yangu nilikuwa namuona anapiga zake tuMm kule kwetu Arusha Kuna wazee nawafahamu toka enzi na enzi mkp leo wapo na wanatumia na hakn dhara lolote limewakumba Ni unga fln ambao Ni broan tupu mlainii
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app