Kuna muda hizi siasa huwa zinachekesha sana

Doji MD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,472
Reaction score
5,322
Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁

Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
 
Screenshot_20250814-194640~2.jpg
 
Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁

Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Kwa kawaida binadamu ambae sio smart kichwani Huwa hajui kutofautisha alikotoka na alipo na anakokwenda.Anaishi kama mnyama Kwa kuangalia Changamoto za Leo Leo.

Na pia Kwa kawaida binadamu Huwa haridhiki na Maendeleo hayana mwisho ndio maana hata wanaokita wameendelea mambo ni Yale Yale jap wao wame mature kiasi.

Mwisho kibay Ukiwa nacho na kizuri ukikikosa.
 
Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁

Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Hahaha… Mkuu, huenda una hoja, lakini mark my words, it won’t work out for this regime in the future. Maana utawala huu umeshakataliwa mbinguni na duniani.
 
Kumbe umeona huu upumbavu
Ndiyo maana nasema mama akae hadi 2035 hawa nyumbu nikuwatosa baharini tuu

Wapumbavu kabsaa hatuwez kuwapa nchi
 
Kwani aliyekuwepo hakuacha kwenye deni kubwa??
Weka madeni yao hapa
Ndio maana nimeandika hapo Juu ,Nchi imejaa vilaza hata hawajui wanaongea nini.

Hawana uwezo hata kidogo wa uchambuzi.Asilimia 60% ya Pesa ya kuendesha Uchumi wa Nchi Duniani ni mikopo na madeni na Uchumi unakua na maisha yanaendelea.

Sasa sijui Nchi kukopa inawezaje kufirisika kama kampuni na sijui Nchi gani imewahi tokea.
 
Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁

Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Na ndiyo kinaendelea Tanzania kwa sasa. Hata wale CHADEMA waliokataliwa shughuli za siasa na Magufuli, wakatupwa jela, wakanyang'anywa fedha zao, wakatekwa na kuuliwa leo wanasema bora Magufuli kuliko Samia.
 
Hahaha… Mkuu, huenda una hoja, lakini mark my words, it won’t work out for this regime in the future. Maana utawala huu umeshakataliwa mbinguni na duniani.
Ozon Umefika lini mbinguni? Au ulienda safari pamoja na Mfalme Zumaridi??

Watu mnajipa umuhimu msiokuwa nao. Hapa duniani penyewe huna takwimu za wangapi wanamkubali Samia na wangapi wanamkataa, sembuse ya mbinguni?
 
Na ndiyo kinaendelea Tanzania kwa sasa. Hata wale CHADEMA waliokataliwa shughuli za siasa na Magufuli, wakatupwa jela, wakanyang'anywa fedha zao, wakatekwa na kuuliwa leo wanasema bora Magufuli kuliko Samia.
Wapumbavu kabsaa
Watu wanafiki sana
 
Back
Top Bottom