Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Mweeh si kwa hili baridi na gheto kwa watuUle ushauri ulisema hawatakiwi kutuacha tuondoke hivihivi maana ni kosa la jinai, hivyo watupatie pesa za kutosha.
Mweeh si kwa hili baridi na gheto kwa watuUle ushauri ulisema hawatakiwi kutuacha tuondoke hivihivi maana ni kosa la jinai, hivyo watupatie pesa za kutosha.
Yule kapotea toka Saint Ivuga aje hapa husna naye kapotea.. koh nmeanza kutafuta mupiya
Ujue sipendagi kukubaliwa haraka...Hivi si ulikuwaga unanitongoza? Uliishia wapi? Au ulighairi?
Hahaha... kaoneAsante kwa kukubali, nasubiri picha hapa.
my role modelKhaaaa babu asprin wa pili
Huko kwenu kuna baridi?Mweeh si kwa hili baridi na gheto kwa watu
Mmmh!!! We chiboko!Yule kapotea toka Saint Ivuga aje hapa husna naye kapotea.. koh nmeanza kutafuta mupiya
Kwani nilikukubaliUjue sipendagi kukubaliwa haraka...
Kaneno kamoja tu ukanikubalia shemeji...labda kama upo tayri kunizungushazungusha

Hahaha... kaone
Nenda kwenye gazeti la sani utaiona
Nilikuwa sijajua..MO11 ndio usingizi wa dada yako. Kwahiyo umheshimu sana.
Tena baridi kali haswaaaaaHuko kwenu kuna baridi?
We nenda kachukuea hela bwana mbona mbishi?
Haya my kaka, niombee tuNilikuwa sijajua..
Nashukuru kwa utambulisho maridadi.. Nisisikie umetoka tena huko

Au zile text za pm za kunikubalia hazikuwa zako shemeji!Kwani nilikukubali![]()
![]()
![]()
![]()
Hongereni, sie huku joto kali hatari.Tena baridi kali haswaaaaa