Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

espy
1)naona hutaki kunitambulisha kwa rafiki zako
2) kama umenitambulisha rafiki zako hawanitaki
3) kutonitaka wao haimaanishi na wewe hunitaki
4) kutonitaka wewe haimaanishi sikutaki
5) ningekua sikutaki ningekwambia
6) ni bora uachane na hao marafiki zako kuliko kutengana na mimi
Mume wangu kipenzi marafiki na ndugu wote wanatambua wewe ndio kipenzi changu, hao wanaojifanya hawakutambui wana lao jambo, kwahiyo hila zao hazitofanikiwa.

Hivi nisikutake wewe nimtake nani tena!! Yo my everthing ma love i need no more.
 
Yaani jana tu nimemkuta anammendea binti aliyejitangaza anapenda pweza halafu akapotea mazimaa, leo kuna mwingine anataka akamdhibitishe halafu amepotea kabisaa. Hivi mie nitakuwa na moyo wa chuma au??? Babu moyo wangu ni wa nyama, mengine nipunguzie mie
Yani unaaanzaje kupata stress kwa kizee?Bora kijana ndio akupe stress,kizee ni kumlia pension yake tu sasa wewe unamkabidhi moyo hajui ni wengi mpo mnataka hiyo hiyo pension yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom