Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Nakufaham sana dada binamu huyu jamaa mpya hutamuweza .
Tabia zake zipo wazi siku ukipata muda uniambie nitazimwaga zote..
Kwa style ya mange
My kaka we dont hv a voice when our hearts makes choice. Yaani kwa MO11 ndio nimefika, hayo madhaifu yake nimeyakubali hivyo hivyo na kwa kiasi kikubwa amebadilika sana kwahiyo najua na hayo mengine yataisha.

I love him.
 
umeua na kuzika kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom